Mkuu Yani unaitwa kitimoto,na wakati kitimoto anakulaga hadi watoto zake sasa najua unataka ukamle haya nasubiri mirejesho kutoka kwa mtoa madaKaribu Rainbow nikununulie Heineken/Windhoek!
Kwa Muda TuNaona avatar zimebadilsihwq
Nimefurahi kuona ulifika Prime, karibu tena Makao Makuu mtumishi wa Bwana..Nilipita hapo tar 24 December, tukapita lunch bar Moja inaitwa Prime kama sikosei. Walikua na chakula kizuri sana na mazingira tulivu pia.
Ntarudi Tena January inshallah.
Amen mtumishi. Nikirudi Tena hapo tar 02 nikapata mlo maridadi wenye hadhi ya Makao Makuu. Ntaendelea kukaribia kama ntaendelea kupewa kibali.Nimefurahi kuona ulifika Prime, karibu tena Makao Makuu mtumishi wa Bwana..
Haha,Amen mtumishi. Nikirudi Tena hapo tar 02 nikapata mlo maridadi wenye hadhi ya Makao Makuu. Ntaendelea kukaribia kama ntaendelea kupewa kibali.