kesho kutwa
JF-Expert Member
- Dec 7, 2016
- 1,722
- 1,993
- Thread starter
- #41
Sijafuata izo mambo nipo katika shuguli maalumuNenda Chako ni Chako kajipatie gono, kaswende na ule kuku wa juzi
Sijafuata izo mambo nipo katika shuguli maalumuNenda Chako ni Chako kajipatie gono, kaswende na ule kuku wa juzi
Mbna umeona mbali sana mkuu! Unatumia uchaw huu huu tunao tumia.Mkuu nakushaurii hii offer ipige chini.
Utakuja kunishkuru
Kati ya tar 02 au 03 kiongozi. Nilipita hapo kupata lunch nikaendelea na safari. Nakula Samaki Kanda ya ziwa nikisubiria mwaka mpya.January ngap?
Uwahi kuludi sasa, mawelewe au zizi la ng'ombe,Swadakta mkuu ni kweli ila machinga complex pamechangamka sana milembe nimeona
ni leo au kesho kutwa ?Hatimae Leo kwa mara ya kwanza nimeingia Dodoma makao makuu. Nipo hapa mtaa wa samaki sijui katika hotel za simba sijui Faru kwa anaejua atakua ananielewa tafadhali kesho nawaza nitaanzia wapi mizunguko.
Naomba nipewe mitaa konki. NB nimetoka iringa
Mpaka saiv nimefanikiwa kuona machinga complex, milembe hospital, raund about kama 3 hivi ila pamechangamka sana aisee
13 mkuu hiyo mitatu ni kwa zanzibarUmefanikiwa kufika mikoa mingapi kwa Tanzania hii mkuu
Asante mkuu ubarikiweKaribu sana katika mji mkuu, kiongozi. Ukimaliza majukumu yako sio mbaya ukazurula zurula tu hapa mjini na maeneo yake ya Pembezoni, unaweza mchukua boda akakuzungusha kisha akakurejesha eneo lako ukilofikia kwa namna flan utapata picha ya mji ulivyo siku nyigine ukija hutakuwa mgeni sana.
Wezi haoTafuta Watoto Wazuri Wakuelekeze Mitaa.
Una shingapii nikuletee hapo mtoto mmoja wa kirangi, mpokee nae Mwaka mpya.Hatimae Leo kwa mara ya kwanza nimeingia Dodoma makao makuu. Nipo hapa mtaa wa samaki sijui katika hotel za simba sijui Faru kwa anaejua atakua ananielewa tafadhali kesho nawaza nitaanzia wapi mizunguko.
Naomba nipewe mitaa konki. NB nimetoka iringa
Mpaka saiv nimefanikiwa kuona machinga complex, milembe hospital, raund about kama 3 hivi ila pamechangamka sana aisee
Mm n mtaalamu wa mambo ya ulozi toka kitambo.Mbna umeona mbali sana mkuu! Unatumia uchaw huu huu tunao tumia.
Mkuu nakushaur tena kama utakubaliana na hili la kuletewa shombeshombe la Kirangi hakikisha laptop yako, simu na fedha taslimu unapeleka reception. Kisha pitia kaunta ya juu chukua zile zenye vipele vipele.Una shingapii nikuletee hapo mtoto mmoja wa kirangi, mpokee nae Mwaka mpya.
Hahahaha uhakikaMkuu nakushaur tena kama utakubaliana na hili la kuletewa shombeshombe la Kirangi hakikisha laptop yako, simu na fedha taslimu unapeleka reception. Kisha pitia kaunta ya juu chukua zile zenye vipele vipele.
Kabla ya mwaka kuisha utanishkuru
Nauli bei gani boda?Karibun uhindin street, huko maeneo ya Airport pamechoka sana