Kwa mambo haya, kusherekea uhuru hakuna maana na bora siku hii iwe siku ya kazi tu kama siku zingine

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,014
144,372
By Martin Maranja Masese kupitia twitter:

Leo pia chakula kutoka kwa familia ya Freeman Mbowe kimekataliwa gereza la Ukonga. sababu zilizotolewa ni kwamba huo ndio utaratibu mpya na maelekezo yapo hivyo hadi hapo watakapotoa utaratibu mwingine. Kumbuka leo ni maadhimisho ya uhuru wa Tanganyika, yanaendelea hayo.

Maoni yangu:
Wanatafuta kila mbinu kuhakikisha Mbowe anawapigia magoti.

Mambo ya kikoloni halafu tunajisifu kufikisha miaka 60 ya uhuru. Hovyo!

Siku kama ya leo bora tu iwe ni siku ya kazi kuliko kudanganyana kuwa tuna uhuru tulioutaka wakati bado kuna mambo yana elements za kikoloni yanaendelea mpaka leo hii.
 
Birth day ya Mbowe unauziwa na T shirt , unavaa na kusherehekea- MWAMBA- GAIDI
Sherehe za Uhuru wa Tanzania unaona ni upuuzi- sawa
 
Uhuru ni uhuru tu lazima tuuenzi.... madhara ya ukoloni vs faida za uhuru na haya mengine ni vitu viwili tofauti...

issue ya Mbowe ni suala lingine jombaa, either tusubiri mahakama iamue au tuingie barabarani kuishinikiza serikali imuachie..... CDM digitali imesajili mpaka sasa 8mil members, mkiweza kuwahimiza hawa kuingia barabarani kesho tu Mbowe anakuwa huru....
 
Back
Top Bottom