Kwa mambo haya - JK ni Mdini!

Kwa mambo haya - JK ni Mdini!

Status
Not open for further replies.
Dawa ya kukomesha udini ni Waislam kugawana hii nchi kila mtu apate nchi yake kelele zote zitakwisha
 
Umeyaona ya shekh PONDA tu, ya maasikofu hujayaona kweli wewe huiwezi siasa!!Waislam wanahaki ya kudai kipengele cha dini ktk sensa.kwanini wadai tembelea web hizi upate reference
1) www.wikipedia.com/tanzania
2) www.arc.com/tanzania

web zote hzo zinatoa idadi ya watanzania kwa mujibu wa dini yao wakati tangu 1967 watanzania hatuja hesabiwa kwa mjibu,wa dini zetu.swali hawa WA RC Takwim hz wanazitoa wapi????
Kwa taarifa yako RC huwa wanafanya Sensa zao kwa utaratibu wa kikanisa, yaani kuanzia Jumuiya Ndogo Ndogo mpaka Parokia mpaka Jimbo mpaka Taifa. Labda badala ya kulalmika kila saa Waislam na ninyi mgeiga na kufanya za kwenu badala ya kutaka kulazimisha mambo yanayoleta utengano.
 
Mkuu nilitegemea nasaha zako mapema sana.Hata hivyo umechelea,nadhani sababu ya kufanya hivyo ndo hii.

Since wewe unajinasibisha kama chadema humu,basi ni vyema ukawa unafikra kama za wanachadema,yani ukombozi wa nchi ni muhimu sana!na ndiyo agenda kuu.

Hilo la Ponda,siyo jambo pekee lilopelekea miye kusema JK ni mdini.Nazungumzia utawala wake kwa ujumla umetufikisha huku,sasa kama hutaki kutoa credit where its due,hapo unakuwa umeshaonyesha bias ya udini.Huwezi ukawa chadema ukamtetea JK kwa haya...haya ndo yanayotukwamisha kwasababu kuna dini vs taifa kwenye mawazo yenu.Na sikufichi mkuu,kuna imani ambazo zinawasaidia watu kuwa raia wema wa mataifa yao.Lakini kama imani inakufanya uwe adui wa utaifa na taifa lako,basi hiyo si imani ya kweli.

Sisi kama taifa,tayari ni ndugu.Kwangu miye,utaifa ni udugu.Kama kwako siyo,basi tutapishana na hakuna haja ya kujadiliana.
Lakini kama unaamini kuwa utaifa ni udugu,basi tutajadiliana.Tuwe kwenye ukurasa mmoja kwanza,yani sisi ni ndugu.Ni hayo kwasasa.
Kutufikisha hapa tulipo ni jambo jingine kabisa na fikra za kila mmoja wetu ktk imani ya dini yake. Ni wewe na mimi ndio tunayeweza kuueneza Udini lkn sio kazi ya rais kuueneza wala kuuzuia isipokuwa pale udini unapokuwa ktk maana yake halisi. Udini ni pale imani moja ya dini inapodharau na kuwadhalilisha wenye imani tofauti. Yule anayepigania usawa hawezi kuwa mdini isipokuwa mwenye nguvu ya kumtawala mwingine, na maajabu Sheikh Ponda ni mlalamikaji tu..Tatizo lenu kila wanapolalamika Waislaam kwa kuonewa mnawaita wao wadini lakini sio wale wanaotuhumiwa kuwakandamiza.
 
nasikitika kunihusisha na ufisadi. yapo mengi moyo sijui hata niandike lipi. sijawahi kuwa katika system, na hapa nalipa kodi isiyopungua 500,000 kwa menzi, na hizo hela mnaenda kukusanya kanisani kwa sababu mishahara mnalipana wenyewe, kwani ndo mlipo kwenye system, kwanza hilo ujue. Nani asiyejua kuwa hata wale waccm wakristo wako nyuma ya chadema? Ni udini upi unaeleza? hebu soma waraka wa mchungaji mtikila wa mei 27 2010 miezi michache tu kuelekea uchaguzi. kwa kifupi tu mnaudhi sana, na wala nisikufiche kama hali iataendelea hivi huko mbele tusishangae TZ kukawa na boko haramu, alshabab na mengineyo mengi. tuwe makini sana na hii hali siyakuleta propaganda, otherwise yatatokea puani. watch my words, watu (waislam) wameamka sana kuliko unavyofikiria.
TUWE MAKINI SANA KAMA KWELI TUNA NIA YA DHATI YA KUIJENGA NCHI YETU NA SI PROPAGANDA MNAZOENEZA. nilishangaa sana eti hata wale watu wa sensa wanajifanya hawajui kwanini waislam wanagomea sensa. too bad. badala ya kutafuta suluhisho la tatizo wao wanafunia. litafumka tu.
Kuna namna nimekusoma btn the lines,nimegundua una akili ila unatumika.Unaweza kutulia tukajadiliana kama watanzania?hilo ni ombi tu mkuu.Tukijadiliana kiustaarab,basi we will find a solution.Tuachane na maneno ambayo huwa yanatumiwa na wale wenye kutaka kutuondoa kwenye hoja za msingi.
Natanguliza shukrani za dhati kabisa!
 
sasa kweli tutafika

Na ma grit tunaowategemea ndio nyie hapa.

Tena kuna watu hapa wanafaa sana, maana wako waongeaji na wana misimamo.

Sasa naona bado tuko kwenye mapito ya kulaumiana, tukivuka hapa tutakuwa pazuri kukaa mezani sasa.
 
Kutufikisha hapa tulipo ni jambo jingine kabisa na fikra z akila mmoja wetu ktk imani ya dini. NI wewe unayeweza kuueneza Udini lkn sio kazi ya rais kuueneza wala kuuzuia isipokuw apale udini unapokuwa ktk maana yake halisi. Udini ni pale imani moja ya dini inapodharau na kuwadhalilisha wenye imani tofauti...Yule anayepigania usawa hawezi kuwa mdini isipokuwa mwenye nguvu ya kumtawala mwingine..Tatizo lenu kila wanapolalamika Waislaam kw akuonewa mnawaita wao wadini lakini sio wale wanaotuhumiwa kuwakandamiza.
Kama wewe ni mwanachadema unayeamini kwamba JK anaonewa kwasababu ni muislam,tayari hatutaweza kuwa na mjadala constructive.

Nina ndugu waislam mkuu wangu,na siwezi kuwafanyia ndgu zangu hila.Watanzania sisi ni ndugu usisahahu hilo mkuu.Nilitegemea wewe ndo ungekuwa kiunganisha cha hii migawanyiko.Ila sasa nashindwa kuelewa kama badala ya kusema ni kivipi tutamove forward kwa kuprovide solutions,wewe tena unarudi kule kule kwa kusema JK anaonewa coz ni muislam.
 
sasa kweli tutafika

Na ma grit tunaowategemea ndio nyie hapa.

Tena kuna watu hapa wanafaa sana, maana wako waongeaji na wana misimamo.

Sasa naona bado tuko kwenye mapito ya kulaumiana, tukivuka hapa tutakuwa pazuri kukaa mezani sasa.

Tuko one page Great Thinker wangu...Uliyoyasema ni ukweli mtupu,I can see light at the end of the tunnel!I appreciate your time as well as your input.Tuendelee kuwa pamoja coz taifa linatuhitaji...Stay blessed.
 
Kama wewe ni mwanachadema unayeamini kwamba JK anaonewa kwasababu ni muislam,tayari hatutaweza kuwa na mjadala constructive.

Nina ndugu waislam mkuu wangu,na siwezi kuwafanyia ndgu zangu hila.Watanzania sisi ni ndugu usisahahu hilo mkuu.Nilitegemea wewe ndo ungekuwa kiunganisha cha hii migawanyiko.Ila sasa nashindwa kuelewa kama badala ya kusema ni kivipi tutamove forward kwa kuprovide solutions,wewe tena unarudi kule kule kwa kusema JK anaonewa coz ni muislam.
Hatuwezi kwa sababu kichwa chako cha mada tayari kimeshamshutumu yeye MDINI na kwa sababu Muislaam lakini hulioni hilo isipokuwa wale wanaokujibu kinyume.. jmushi1 nambie nini hasa sababu na maana ya kuanzisha mada hii kama hujasukumwa na fikra za Udini na kwa kutetea kundi la imani yako!.

Hizi mada zote humu JF zinazoungumzia Udini zinatokana na mawazo, msimamo na imani ya kila mtu na sio kuitafuta haki ya Watanzania kwa sababu sijaona Mkristu au muislaam akisimama upande mwingine kutetea haki za kundi jingine isipokuwa kutumia umoja wetu kama ngao ilihali anatukana upande wa pili. Ni ubishi kwa kwenda mbele kutukanana na kuonyeshana nani zaidi.. Please tuacheni huu ujinga maana mkoloni alituachia sii kwa bahati mbaya ila tuendelee kuwa na fikra za namna hii..
 
Ingekuwa ni wakristu wamegomea sensa ungeona jinsi mabomu yangerushwa na wangewaua wote hadi wale wanaohesabiwa. Kwa kuwa ni waislam wamegoma action ni ndogo ndogo ukizingatia JK islam, shemeji Mwema Islam, na wengine wa mikoa wanateuliwa basing on islam. Wakristu wachache kuficha udini!!! Na hii ni kila post kubwa hata serikalini kwa sasa ni udini mtupu. Hii awamu ya nne imetuvuruga sana. Tanzania tuwe makini tunapochagua rais, kipengele cha dini kiwe must!!! Msinitupie maneno ila ni maoni yangu maana kwa kweli tunakoelekea kubaya. Wakristu wako calm sana.
ni kweli mkuu hata wale waliouliwa hapa mwembechai na kule zanzibar january 26-27 2001 ni wakristo
 
jmushi1 bhana,
Nilipoona leo umeanzisha thread nikajua umemwaga vitu vya maana ile mbaya....!!! Inakuwaje tuhuma kali kama hizo umezithibitisha kwa hoja dhaifu na zisizo na mashiko yoyote?! Sasa wenzako wanasema aliyelifungia Mwanahalisi ni Membe, wewe unasema JK....lipi ni lipi?!

Hivi tutaacha lini kulinda udhaifu wa Mawaziri wa JK na kuishia kumlaumu JK kwa mambo yaliyo ndani ya uwezo wa waziri husika?! Kama kuna gazeti linastahili kufungiwa kwanini asilaumiwe waziri husika?! Mkuu wangu jmushi1, unakumbuka hotuba ya Dr. Mwakyembe pale Jangwani?!

Bila kutafuna maneno, Mwakyembe alizungumza wazi kwamba Mawaziri nchi hii wana uhuru mkubwa wa kufanya maamuzi na wala wasisingizie kwamba hawana mamlaka!! Na katika kuthibitisha hoja yake, Mwakyembe amemtoa ofisini Mkurugenzi wa ATCL na sasa amempumzisha yule wa TPA!!

Jana ktk mizunguko yangu, nilipishana na Ndumbaro, yule wa TAZARA! Yaani ukimwangalia hivi, anaonesha dalili zote kwamba ni mtu asiye na raha......bila shaka anafahamu wazi kwamba, kama ATCL na PTA kumekucha, basi hata wao(wa TAZARA) hawana maisha marefu!!! Hivi kweli rais mzima amuulize Waziri wa Habari kwanini hulifungii gazeti fulani?!

Come on buddy.....let's be serious bana. Good enough, Sio Mwakyembe tu, Kagasheki nae ameondoa baadhi ya watu pale Maliasili; mbona JK hakuwaingilia maamuzi yao?! Sasa kama hao wamechukua maamuzi, waziri wa habari anashindwa nini kuchukua maamuzi?! hivi huo Uislamu aalionao JK uko wapi wa kumfanya avitetee sana vyombo ya habari vya kiislamu kuliko vigogo watendaji watendaji wa taaisisi za umma?!

Duh! Nilisahau kuwa kumbe Mhando nae hayupo!!!! mbona hakuingilia hapo?! Jisikieni aibu kuleta issue za kidini ambazo hazina mashiko bana!
 
Ingekuwa ni wakristu wamegomea sensa ungeona jinsi mabomu yangerushwa na wangewaua wote hadi wale wanaohesabiwa. Kwa kuwa ni waislam wamegoma action ni ndogo ndogo ukizingatia JK islam, shemeji Mwema Islam, na wengine wa mikoa wanateuliwa basing on islam. Wakristu wachache kuficha udini!!! Na hii ni kila post kubwa hata serikalini kwa sasa ni udini mtupu. Hii awamu ya nne imetuvuruga sana. Tanzania tuwe makini tunapochagua rais, kipengele cha dini kiwe must!!! Msinitupie maneno ila ni maoni yangu maana kwa kweli tunakoelekea kubaya. Wakristu wako calm sana.
na wewe ni kweli hujui kwanini waislam wamesusia sensa? si kwamba wamegoma ila kuna vitu vinahitajiaka viingizwe. kwanini nyinyi wakristo mnakataa na huku mkitoa takwimu za dini? niambie huo u-calm unaosema kwa wakristo ni wepi? hata kikwete mwenyewe nafsi yake inamsuta kwa hili analolikataa. I believe.
 
Hatuwezi kwa sababu kichwa chako cha mada tayari kimeshamshutumu yeye MDINI na kwa sababu Muislaam lakini hulioni hilo isipokuwa wale wanaokujibu kinyume.. jmushi1 nambie nini hasa sababu na maana ya kuanzisha mada hii kama hujasukumwa na fikra za Udini na kwa kutetea kundi la imani yako!.

Hizi mada zote humu JF zinazoungumzia Udini zinatokana na mawazo, msimamo na imani ya kila mtu na sio kuitafuta haki ya Watanzania kwa sababu sijaona Mkristu au muislaam akisimama upande mwingine kutetea haki za kundi jingine isipokuwa kutumia umoja wetu kama ngao ilihali anatukana upande wa pili. Ni ubishi kwa kwenda mbele kutukanana na kuonyeshana nani zaidi.. Please tuacheni huu ujinga maana mkoloni alituachia sii kwa bahati mbaya ila tuendelee kuwa na fikra za namna hii..
Kwahiyo mkuu credit za udini huu uliopo tumpe "rais Dr Slaa" siyo?Kwani Mwinyi hakuwa rais muislam?mkuu ni kweli huwezi kuusimamia utanzania kwanza?hili ndo tatizo kuu.
JK ni mdini kwasababu ya udini uliokithiri kwasasa kwenye jamii yetu.The bucks stops with him.
 
Mkandara,naomba usiharibu hii thread mkuu wangu.Tafadhali sana,ni ombi tu.Nimekushangaa sana uliposapoti yale ya gazeti la sauti.Halafu eti unajiita chadema,please mkuu.
 
Last edited by a moderator:
kwa nini haikamati mashekhe wanaohutubia hadharani na kuzuia sensa
 
Kwa taarifa yako RC huwa wanafanya Sensa zao kwa utaratibu wa kikanisa, yaani kuanzia Jumuiya Ndogo Ndogo mpaka Parokia mpaka Jimbo mpaka Taifa. Labda badala ya kulalmika kila saa Waislam na ninyi mgeiga na kufanya za kwenu badala ya kutaka kulazimisha mambo yanayoleta utengano.
Nani anayeleta utengano? Yule anayetoa data zauongo au yule ambaye hajaleta data? hivi akili umepeleka wapi wewe? chanzo cha yote haya ni uongo na propaganda za kanisa juu ya waislam na uislam.

Ndo maana wailam tukasema hivi mpaka sensa ya mwisho 1967 wailam walikuwa 65% na hata ya 1978 waliweka kipengele cha dini lakini baada ya kuona jumuia za kimataifa zinahoji wingi wa waislam na hawaonekani kwenye system wakazichana zile data. real we know every thing.

Ndo maana hatutaki tufike huko mnakotaka tuende. tumekuwa wastaarabu kwa miaka mingi sana. Ndo maana sasa tunawonya na kuwaonesha njia sahihi.
 
Mkuu chama,
Tafsiri ya Udini ni Uslam ukiwa Mkristo uwezi kuwa mdini muhasisi wa Chadema Edwin Mtei, alitoa kauli kuhoji uwiano wa dini wakati Rais JK, alivyowateuwa wajumbe wa tume ya katiba lakini kwa Wakiristo kwa hilo sio udini wanasema Mtei alikuwa sahihi kutoa hiyo kauli, jana nimeanzisha thread kutaja kauli ya Mtei, hatimaye thread yangu imepotezwa imechanganywa na JK mdini, mkuu chama, hivi kweli Wakiristo Tanzania wanaweza kweli kulalamika wakati keki ya taifa wanakula wao, Wizara zote za serikali taasisi zote za umma kote huko wamejaa wao...tunapoelekea ni kubaya kuna siku tutapigana mitutu sisi kwa sisi.

Mkuu Ritz,
Wengi humu JF ni wadini -wanashabikia ukristu ajabu ni kuwa hawaelewi madhara ya udini; alichosema Mtei ni udini mtupu hakulisema lile kwa misingi ya kisiasa; nimeona thread imechanganywa si nilishasema hili jukwaa sio huru lipo kwa manufaa ya kikundi fulani ukiliangalia kwa makini ni hatari hata kuliko redio Imani; labda tupendekeze watoe hili neno "we dare to talk truth." Ni ukweli gani utakaongea wakati tayari umejiegemeza kwenye kundi fulani? Huu ndio unafiki mkubwa! Zomba akisema ukweli anaambiwa mdini ila masanilo akisema pumba za kidini anashabikiwa ajabu ni hao washabiki hawajui wanashabikia kitu gani historia inaonyesha hata ndani ya ukristo yapo matabaka ya kubaguana huo utakuwa mwanzo wa kuja kuuana; kwa wajiulize kama udini una maana mbona Dayosisi ya Meru bado haijakaa sawa kwa sababu ya dhana hizi za ukabila na udini.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
jmushi1 weye udini wa chadema unapozungumziwa unabishana hadi jugular veins zasimama , mara nyingi kwenye mijadala wajifanya upo neutral lakini inafika kipindi unashindwa na hisia zako wajeweka wazi chuki zako ... leo hii limetokea hili jambo ambalo ukiangalia kwa makini serikali imechemka wadai ni udini..!

JK mbona katoa kauli nyingi kuhusu sensa na waislam kugomea sensa ... mlitaka aseme nini tena jamani ..?! give a guy break ! afanye kazi yake ...!
 
Mkristo aliyelelewa chini ya mfumo 'kristo' hawezi kukubali ukweli wa
religious discrimination au biasness. Udini umejikita kila mahali, katika
public offices nk. Ukitembelea ofisi za serikali utaona ukristo
ulivyojikita, tena kwa uwazi kabisa. Prof. Malima alipowekwa wizara ya
elimu, kukuta uozo wa ukristo na udini na kuubadilisha; hasa kuubadilishaule utaratibu wa majina na kuuweka wa namba, alipigwa vita kila kona na wakristo wa all denominations. Aliitwa mdini eti anaswali ofisini nk.
Yaliyotokea si mageni kwetu.

Redio Imani inapigwa vita na wakristo uchwara
kwa kuwa imekuwa mstari wa mbele ku-highlight issues za ubaguzi wa kidini
hasa mashuleni. Suala la Ndanda Sec. School ni mfano tu wa hivi karibuni.
Ni waislamu wangapi wenye madaraka serikalini ikilinganishwa na wakristo?
Kwanini kuna hii imbalance? Udini huo. Na mwenye kukataa ukweli huu, basi
anaangalia mambo kwa akili na macho ya makengeza..,!
 
....swali hawa wa rc takwim hz wanazitoa wapi????
sasa we ndugu yangu kokote walikozitoa kwa nini usitafute na we za kwako uzi'publish badala ya kuilazimisha serikaki ambayo haina dini? Muislam yeyote mwenye akili timamu zisizo kama za yule kijana aliyemnasa kibao mzee mwinyi hawezi kutoa hoja ya kijinga kama hiyo?badilika...
 
Mkandara,naomba usiharibu hii thread mkuu wangu.Tafadhali sana,ni ombi tu.Nimekushangaa sana uliposapoti yale ya gazeti la sauti.Halafu eti unajiita chadema,please mkuu.

jmushi;
Hapa ndipo ninapohoji ufahamu wako; yaani kwasababu Mkandara amesapoti gazeti hastahili kuwa Chadema? Kama nyie mmezoea kuburuzwa waachieni wanachadema wenye hekima ya kupima na kuelewa waulize; Mkandara ni mtu huru na ana haki ya kutoa maoni yake.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom