Kwa mambo haya - JK ni Mdini!

Kwa mambo haya - JK ni Mdini!

Status
Not open for further replies.
Ukweli kaka tunakoelekea na udini ni kubaya tusipopata viongozi wa kutuongoza kuondokana na janga hili kama wananchi tutashindwa kujiongoza wenyewe. Kaka kuna kitu kilinisikitisha sana kilitokea UDOM mwaka jana kama sikosei, kuna mdahalo uliandaliwa na waislamu pale chuoni na kichokuwa kikijadiliwa na UDINI mtupu na mikakati ya ajabu ya kidini na kupandikiza chuki dhidi ya ukristo, walienda mbali na kudai watakwenda Butiama kumsomea hukumu baba wa Taifa kwa makosa aliyowafanyia waislamu. wakajadili na mikakati ya kuendelea kukaa ikulu eti wakidai kanisa haliwezi kuruhusu kibaragashia kuendelea tena miaka kumi pale white house, hivyo wamejipanga vema na kamili kwa mapambano mwaka 2015! ni kikao ambacho katika nchi isiyo kuwa na dili kama yetu kuruhusiwa kuandaliwa na tena wanaojfanya mjadala ni walimu wa vyuo. kwa kweli ni hatari sana kaka! na kwa haya siju JK amajiandaa kwa legacy ipi atakapo toka madarakani!

ni kikao kilichoendeshwa kwa siri kubwa lakini kama unavyojua kuna watu wanaelimu kuliko yao ya kukariri madrasa tulipata tape bila wao kujua! wakawa wanadai eti mabinti wa kiislamu kuolewa au kuchukuliwa na wakristo ni fadhaa kubwa kwao hivyo wasidhubutu kufanya hivyo. Na cha ajabu waislamu kwa sasa wanafanya vitu kama wanavyotaka bila hata onyo lolote kutoka serikalin. Wanafunzi wa UDOM mwaka jana kwenye uchaguzi walikuwepo wagombea wawili binti mkristo na jamaa wa kiislamu, jamaa wakaweka mabango kuwa ni MOHAMMED V JESUS. bahati nzuri wakapigwa chini kwenye kura. kweli ni hatari.

Hakuna kitu kibaya kama UNAFIKI na UZANDIKI.....waswahili wanasema wazi kwamba, MUNGU HAMFICHI MNAFIKI......hapo juu unadai kulikuwa na MDAHALO, ghafla unabadilika na kusema kilikuwa ni KIKAO CHA SIRI! Aibu sana, kama huko vyuo vikuu kuna watu staili yako ambao damu yao imejaa UDINI wa kutisha basi ni hatari kubwa kwa taifa hili. Yaani maandiko yako yanaonesha jinsi ulivyo mdini wa kutisha, na bahati mzuri haupo hodari kama alivyo jmushi1 katika kuficha udini wenu. Binafsi, wala sitafuni maneno, jmushi1 ni mdini sana lakini hana confidence ya kudhirisha udini wake....huwa anajitahidi sana kujificha lakini huwa inatokea mara moja moja anajisahau na kuishia kujivua nguo.....!!!
 
Kuna namna nimekusoma btn the lines,nimegundua una akili ila unatumika.Unaweza kutulia tukajadiliana kama watanzania?hilo ni ombi tu mkuu.Tukijadiliana kiustaarab,basi we will find a solution.Tuachane na maneno ambayo huwa yanatumiwa na wale wenye kutaka kutuondoa kwenye hoja za msingi.
Natanguliza shukrani za dhati kabisa!
mkuu labda tu nikwambie si kwamba ninachuki na wakristo. big No. nimekuwa nawakristo katika kila nyanja ya maisha yangu hata leo hii nawasidia na kusaidiwa na wakristo wengi sana. Na si kwamba natumika, again big NO. kiukweli hicho ninachoandika na maanisha hasa. nyinyi ni jirani na ni ndugu pia wadamu kwetu. Ila tu kunakasumba mbaya sana katika nchi hii kwa ujumla wake kwa wakristo juu ya waislam. naondoka lakini we soma tu hata baadhi ya comment hap janvini. hakunaga zuri la kiongozi muislam hata moja, na lamkristo kila jambo ni zuri ndo maana hata mikataba ya migodi mingi ilifanyika kipindi cha mkapa, kiwira, meremeata. lakini mguse humu mkapa, utaona cha moto. kipindi mwinyi akiwa rais, pale mlimani kila kukicha kulikuwa na badiko/katuni la kutukana. na kwasababu wengi waliosoma na waokuja kupost hapa ni wakristo, unaona clearly hali ilivyo. ninachokushauri tu, ni waambie wenzako kwamba hata sisi waislam waTz tuna haki sawa. just only. mkuu yangu ni hayo tu. kwa leo nasema bye.
 
jmushi1 bhana,
Nilipoona leo umeanzisha thread nikajua umemwaga vitu vya maana ile mbaya....!!! Inakuwaje tuhuma kali kama hizo umezithibitisha kwa hoja dhaifu na zisizo na mashiko yoyote?! Sasa wenzako wanasema aliyelifungia Mwanahalisi ni Membe, wewe unasema JK....lipi ni lipi?!

Hivi tutaacha lini kulinda udhaifu wa Mawaziri wa JK na kuishia kumlaumu JK kwa mambo yaliyo ndani ya uwezo wa waziri husika?! Kama kuna gazeti linastahili kufungiwa kwanini asilaumiwe waziri husika?! Mkuu wangu jmushi1, unakumbuka hotuba ya Dr. Mwakyembe pale Jangwani?!

Bila kutafuna maneno, Mwakyembe alizungumza wazi kwamba Mawaziri nchi hii wana uhuru mkubwa wa kufanya maamuzi na wala wasisingizie kwamba hawana mamlaka!! Na katika kuthibitisha hoja yake, Mwakyembe amemtoa ofisini Mkurugenzi wa ATCL na sasa amempumzisha yule wa TPA!!

Jana ktk mizunguko yangu, nilipishana na Ndumbaro, yule wa TAZARA! Yaani ukimwangalia hivi, anaonesha dalili zote kwamba ni mtu asiye na raha......bila shaka anafahamu wazi kwamba, kama ATCL na PTA kumekucha, basi hata wao(wa TAZARA) hawana maisha marefu!!! Hivi kweli rais mzima amuulize Waziri wa Habari kwanini hulifungii gazeti fulani?!

Come on buddy.....let's be serious bana. Good enough, Sio Mwakyembe tu, Kagasheki nae ameondoa baadhi ya watu pale Maliasili; mbona JK hakuwaingilia maamuzi yao?! Sasa kama hao wamechukua maamuzi, waziri wa habari anashindwa nini kuchukua maamuzi?! hivi huo Uislamu aalionao JK uko wapi wa kumfanya avitetee sana vyombo ya habari vya kiislamu kuliko vigogo watendaji watendaji wa taaisisi za umma?!

Duh! Nilisahau kuwa kumbe Mhando nae hayupo!!!! mbona hakuingilia hapo?! Jisikieni aibu kuleta issue za kidini ambazo hazina mashiko bana!
Nashukuru kwa mchango wako.Sasa tatizo hapa ni kumshambulia mjumbe.Tafadhali tuachane na hayo kwanza.Ukishasema eti mimi ni mdini kwasababu nimesema rais ni mdini kwakuwa ni responsible kwa udini ulioenea wakati wa utawala wake,basi mnaharibu dhana halisi ya mjadala huu.Mbona sikusema Mwinyi alikuwa mdini?

JK siyo siri amekuwa mnafiki kupindukia na ndiyo maana huwa watu wake wanawalaumu wasaidizi,mawaziri na washauri wake.Hataki kabisa kutake responsibility.Hii nchi ilipofikia ni matunda ya uongozi wake.Sasa wadini wenye kumsapoti,wanakuja hapa kusema eti ni chadema,na sometimes kusema ni mwalimu.Huu ni unafiki wa hali ya juu.Mbona hata mwalimu wanamsema hawasemi ni viongozi wasaidizi wake?udini unapofusha kabisa na haijalishi hata elimu mara nyingine.
Mimi ni mtanzania na nitasema ukweli daima.Unafiki kwangu mwiko.
JK ni mdini,kama siyo,anajuwa cha kufanya.Mnanishangaza sana mnapolaumu watu ambao hata madaraka hawahawahi kuyashika.Hayo ni upofu wa chuki za kidini.
Msikubali kutumika kama maji ya chooni,sisi ni ndugu.
 
Mkandara,naomba usiharibu hii thread mkuu wangu.Tafadhali sana,ni ombi tu.Nimekushangaa sana uliposapoti yale ya gazeti la sauti.Halafu eti unajiita chadema,please mkuu.
@jmushi1, sasa hapa ndipo unapokosea kuweka mada hii lakini hutaki kusahihishwa kwa sababu ya nimani yako wewe. Nakwambia tu mdini ni wewe na hilo la gazeti la sauti ni tuhuma ambazo nakitaka chama changu kikanushe kama ni uongo maana Chadema sio Dr. Slaa hata siku moja ameingia chama kakikuta kama sisi tulivyokikuta.

Yeye ni binadamu na anaweza kushawishika kwa lolote, hivyo siwezi kuweka dhamana yangu kwa mtu yeyote hata iwe mwanangu wa kumzaa anaweza kushawishika..Sipo Chadema kwa sababu ya Dr. Slaa, Mbowe wala Mnyika isipokuwa naamini ktk kupingana na sera za CCM na tuko mstari mmoja..Kama Chadema watazienzi baadhi ya sera za CCM zinazoendeleza ya mkoloni kwa madai ya Udini wakati elimu na Afya vinadorora nchini sintokubali kuendeshwa.Natanguliza fikra na mawazo yangu yanawakilishwa na chama gani ktk harakati hizi sio kuamini na kushabikia Uchadema..
 
Mkristo aliyelelewa chini ya mfumo 'kristo' hawezi kukubali ukweli wa
religious discrimination au biasness. Udini umejikita kila mahali, katika
public offices nk. Ukitembelea ofisi za serikali utaona ukristo
ulivyojikita, tena kwa uwazi kabisa. Prof. Malima alipowekwa wizara ya
elimu, kukuta uozo wa ukristo na udini na kuubadilisha; hasa kuubadilishaule utaratibu wa majina na kuuweka wa namba, alipigwa vita kila kona na wakristo wa all denominations. Aliitwa mdini eti anaswali ofisini nk.
Yaliyotokea si mageni kwetu.

Redio Imani inapigwa vita na wakristo uchwara
kwa kuwa imekuwa mstari wa mbele ku-highlight issues za ubaguzi wa kidini
hasa mashuleni. Suala la Ndanda Sec. School ni mfano tu wa hivi karibuni.
Ni waislamu wangapi wenye madaraka serikalini ikilinganishwa na wakristo?
Kwanini kuna hii imbalance? Udini huo. Na mwenye kukataa ukweli huu, basi
anaangalia mambo kwa akili na macho ya makengeza..,!
Kwahiyo JK ndo anaendeleza alipoishia Kighoma Malima?Maana haya ya mfumo kristo kayaleta yeye!huyu JK ni zaidi ya janga la taifa!
 
Hakuna kitu kibaya kama UNAFIKI na UZANDIKI.....waswahili wanasema wazi kwamba, MUNGU HAMFICHI MNAFIKI......hapo juu unadai kulikuwa na MDAHALO, ghafla unabadilika na kusema kilikuwa ni KIKAO CHA SIRI! Aibu sana, kama huko vyuo vikuu kuna watu staili yako ambao damu yao imejaa UDINI wa kutisha basi ni hatari kubwa kwa taifa hili. Yaani maandiko yako yanaonesha jinsi ulivyo mdini wa kutisha, na bahati mzuri haupo hodari kama alivyo jmushi1 katika kuficha udini wenu. Binafsi, wala sitafuni maneno, jmushi1 ni mdini sana lakini hana confidence ya kudhirisha udini wake....huwa anajitahidi sana kujificha lakini huwa inatokea mara moja moja anajisahau na kuishia kujivua nguo.....!!!
Miye ni mtanzania kwanza,imani inanisaidia kuwa mtanzania mwema.Na si kinyume chake.Ninaamini kuwa udugu tulikuwa nao kabla ya mwarabu na mzungu kufika Afrika!
 
Kuna namna nimekusoma btn the lines,nimegundua una akili ila unatumika.Unaweza kutulia tukajadiliana kama watanzania?hilo ni ombi tu mkuu.Tukijadiliana kiustaarab,basi we will find a solution.Tuachane na maneno ambayo huwa yanatumiwa na wale wenye kutaka kutuondoa kwenye hoja za msingi.
Natanguliza shukrani za dhati kabisa!

mi nadhani jambo la msingi mtu ajenge hoja ambayo atahisi ni ya msingi ni ya msingi zaidi ya ile aliyoitoa mwl Nyerere ambayo Waislam kwa Wakristo wengi tunaiunga mkoni...
 
HELL HELL HELL!! mlitaka kupata nini zaidi?? KIPI kingine?? zaidi ya mnavyoreap bila kupanda? Je mnajua BAKWATA ina Bajeti kutoka serikalini? Je mnajua mahakama ya kadhi inagharamiwa na serikali kinyemela!??
Hamtakiwi kulalamika baada ya kumruhusu kumchakachua muislamu msomi Salim Ahmed Salim. Kwa ule ubaguzi aliofanya yeye na mtandao ule wa kishetani kwa Salim laana ya ubaguzi itamla yeye na serikali yake hadi mwisho. Hata wale wanaokubali kutumika kama wewe hawataweza kuzuia!! Ona sasa dalili zote za utawala uliofitinika zi wazi. Mitandao inagongana!! Haponi!!

Kaka Mangikule...Bakwata si imeanzishwa na "Julius", labda utuwekee hizo data halisi za namna Budget yao inavyokuwa na si Vibaya tukujua chini ya Wizara "gani"

Mahakama ya Kadhi najua haijaanzishwa.....si Bakwata wala akina Ponda....Labda utujuze hio budget ya Mahakama ya Kadhi ikoje au kinyemela maana yake.nini..!!! Kama hadi wewe taarifa unazo, basi si kinyemela tena...ni vema ukaweka Data zako Hapa JF ili watanzania wajue Kodi zao zinavyokuwa misused...kama vile tujuavyo Kodi zetu zinakwenda Kanisani kuwa "misused"

Waislam hawakuhusika ktk kampeni za CCM za kumtoa Salim...Hayo ni makundi Maslahi ndani ya CCM. Hao waliomchagua wengi wao walikuwa wanaangalia Maslahi yao baada ya JK kuingia Ikulu...!!!hawakupima Uislam wao. "Inawezekana" Both JK na Salim hata Kuswali hawaswali, sasa sijui WanaCCM walitumia vigezo gani Kupima Uchamungu wa JK na Salim...!!!

Kama mie natumika, basi najituma kutetea "DINI" yangu...lkn sio "Kutumwa na hao unaowafikiria" na Labda wewe utusaidie utumiwa na "nani"
 
Miye ni mtanzania kwanza,imani inanisaidia kuwa mtanzania mwema.Na si kinyume chake.Ninaamini kuwa udugu tulikuwa nao kabla ya mwarabu na mzungu kufika Afrika!

Huna cha Utanzania kwanza...Ungekuwa una Utanzania kwanza Hii Mada leo "isingalikuwepo" Umesukumwa na Udini kuona kwanini "Ponda Hajakamatwa"
.
 
mkuu labda tu nikwambie si kwamba ninachuki na wakristo. big No. nimekuwa nawakristo katika kila nyanja ya maisha yangu hata leo hii nawasidiana na kusaidiwa na wakristo wengi sana. Na si kwamba natuka no. kiukweli hicho ninachoandika na maanisha hasa. nyinyi ni jirani na ni ndugu pia wamu kwetu. Ila tu kunasumba mbaya sana katika nchi hii kwa ujumla wake kwa wakristo juu ya waislam. naondoka lakini wesoma tu hata baadhi ya comment hap janvini. hakunaga zuri la kiongozi muislam hata moja, na lamkristo kila jambo ni zuri ndo maana hata mikataba ya migodi mingi ilifanyika kipindi cha mkapa. lakini mguse humu mkapa, utaona cha moto. kipindi mwinyi akiwa rais, pale mlimani kila kukicha kulikuwa na badiko/katuni la kutukana. na kwasababu wengi waliosoma na waokuja kupost hapa ni wakristo, unaona clearly hali ilivyo. ninachokushauri tu, ni waambie wenzako kwamba hata sisi waislam waTz tuna haki sawa. just only. mkuu yangu ni hayo tu. kwa leo nasema bye.
Mkuu nashukuru sana kwa maoni haya.Na kwa hakika namini tunakuhitaji kwenye mjadala huu.Mkuu mimi sidharau imani za watu,ila nawadharau wanaotumia imani za kuletewa vibaya kiasi kwamba zinageuza watu kwa kama watumwa!kama walioleta dini walikuwa na nia hiyo,basi wamefanikiwa sana kwenye bara la Afrika.Kama ni kweli waislam hawana haki,unaweza kuniambia ni haki gani hizo?Msingi wa mada hii,ni kuangalia ni kwa vipi tunaweza kumove forward.Lakini nakuhakikishia si kwa utendaji huu wa JK.Ni muislam lakini si kiongozi mzuri.Taifa liko hapa kwasababu ya unafiki wake,chuki zake alianza baada ya kupigwa chini huko kwenye chama chake na mwalimu,na sasa analipiza kisasi kwa wanaomjuwa wanasema ni mtu wa visasi,matokeo yake ndo haya ya udini.Na pia hata uchaguzi uliopita,ndo alipanda hizi chuki,mnaomtetea ndo mnaliingiza taifa kwenye matatizo zaidi.Kwasababu kwenu,uislam wake uko juu ya maslahi ya taifa hili.Very sad indeed!
 
Mkandara,naomba usiharibu hii thread mkuu wangu.Tafadhali sana,ni ombi tu.Nimekushangaa sana uliposapoti yale ya gazeti la sauti.Halafu eti unajiita chadema,please mkuu.
Anaharibu vipi kwa kukwambia ukweli AMA!?maana we huna hoja zaidi yakusema jk mdini bila kutoa sababu zenye mashiko....Kama Iyo ishu ya gazeti la sauti ni Uwongo cdm siwatolee maelezo tatizo liko wapi hapo inamaana wakikaa kimya huo Ndio ukweli wenyewe
 
Last edited by a moderator:
Kwahiyo JK ndo anaendeleza alipoishia Kighoma Malima?Maana haya ya mfumo kristo kayaleta yeye!huyu JK ni zaidi ya janga la taifa!

Jk ajaleta udini kama unavyotaka kulazimisha, wewe unasukumwa na chuki za udini bahati nzuri humu JF tunajuana kwa michango yetu wewe ni mdini mkubwa tena una chuki kubwa na Waislam na Uislam kwa ujumla, bora angekuja mtu mwingine kuanzisha hii thread labda tungemulewa lakini sio wewe Mushi, ndio maana unakwepa kumelezea Mtei kuhusu udini wake sababu ni kambi yako, unachofanya kwenye hii thread yako ni kiziba shimo la panya na mkate.
 
mkuu labda tu nikwambie si kwamba ninachuki na wakristo. big No. nimekuwa nawakristo katika kila nyanja ya maisha yangu hata leo hii nawasidia na kusaidiwa na wakristo wengi sana. Na si kwamba natumika, again big NO. kiukweli hicho ninachoandika na maanisha hasa. nyinyi ni jirani na ni ndugu pia wadamu kwetu. Ila tu kunakasumba mbaya sana katika nchi hii kwa ujumla wake kwa wakristo juu ya waislam. naondoka lakini we soma tu hata baadhi ya comment hap janvini. hakunaga zuri la kiongozi muislam hata moja, na lamkristo kila jambo ni zuri ndo maana hata mikataba ya migodi mingi ilifanyika kipindi cha mkapa, kiwira, meremeata. lakini mguse humu mkapa, utaona cha moto. kipindi mwinyi akiwa rais, pale mlimani kila kukicha kulikuwa na badiko/katuni la kutukana. na kwasababu wengi waliosoma na waokuja kupost hapa ni wakristo, unaona clearly hali ilivyo. ninachokushauri tu, ni waambie wenzako kwamba hata sisi waislam waTz tuna haki sawa. just only. mkuu yangu ni hayo tu. kwa leo nasema bye.
Mkuu Mkapa hapa anachukiwa vibaya mno!tafadhali sana usitake kulichafua jamvi letu.Wote tunajuwa jamvi hili linaunganishwa na maslahi ya Taifa na vita dhidi ya ufisadi.Hilo liko wazi humu.Fwatilia mijadala humu utaelewa.Jaribu kumtetea Mkapa humu uone.Kwanza pengine yeye anachukiwa zaidi ya JK.

Jk amekuja kuharibu kwa kuwatuma wafuasi wake kuingiza udini kila mara ufisadi ukihojiwa.

Mtu anayepita kwenye nyumba za ibada akisema mnichaguwe kwasababu mimi ni mwenzenu,ni hatari kwa Taifa.Na itafikia mahali tutajiuliza huo ulinzi anaopewa kama ni watanzania ama vipi.Tunataka rais wa watanzania kwa watanzania na si vinginevyo.
 
jmushi1 ni mdini sana lakini hana confidence ya kudhirisha udini wake....huwa anajitahidi sana kujificha lakini huwa inatokea mara moja moja anajisahau na kuishia kujivua nguo.....!!!

Well said mate...
 
Jk ajaleta udini kama unavyotaka kulazimisha, wewe unasukumwa na chuki za udini bahati nzuri humu JF tunajuana kwa michango yetu wewe ni mdini mkubwa tena una chuki kubwa na Waislam na Uislam kwa ujumla, bora angekuja mtu mwingine kuanzisha hii thread labda tungemulewa lakini sio wewe Mushi, ndio maana unakwepa kumelezea Mtei kuhusu udini wake sababu ni kambi yako, unachofanya kwenye hii thread yako ni kiziba shimo la panya na mkate.
Siyo lazima uchangie.
 
Nashukuru kwa mchango wako.Sasa tatizo hapa ni kumshambulia mjumbe.Tafadhali tuachane na hayo kwanza.Ukishasema eti mimi ni mdini kwasababu nimesema rais ni mdini kwakuwa ni responsible kwa udini ulioenea wakati wa utawala wake,basi mnaharibu dhana halisi ya mjadala huu.Mbona sikusema Mwinyi alikuwa mdini?

JK siyo siri amekuwa mnafiki kupindukia na ndiyo maana huwa watu wake wanawalaumu wasaidizi,mawaziri na washauri wake.Hataki kabisa kutake responsibility.Hii nchi ilipofikia ni matunda ya uongozi wake.Sasa wadini wenye kumsapoti,wanakuja hapa kusema eti ni chadema,na sometimes kusema ni mwalimu.Huu ni unafiki wa hali ya juu.Mbona hata mwalimu wanamsema hawasemi ni viongozi wasaidizi wake?udini unapofusha kabisa na haijalishi hata elimu mara nyingine.
Mimi ni mtanzania na nitasema ukweli daima.Unafiki kwangu mwiko.
JK ni mdini,kama siyo,anajuwa cha kufanya.Mnanishangaza sana mnapolaumu watu ambao hata madaraka hawahawahi kuyashika.Hayo ni upofu wa chuki za kidini.
Msikubali kutumika kama maji ya chooni,sisi ni ndugu.

jmushi1, acha kucheza na lugha ili kuficha hoja......wote hapa, sina shaka ni wajuvi wa lugha yetu adhimu; ya kiswahili! Sina shaka, hata baada ya kuzaliwa, neno langu la kwanza kulisikia lilikuwa ni la kiswahili na neno langu la kwanza kulitamka lilikuwa la kiswahili....kwahiyo, hata kama utajitahidi kupiga chenga za hapa na pale, bado dhima yako itakuwa peupe kwa mweledi!!!

Mkuu wangu jmushi1, wewe hoja yako si kwamba serikali ya JK imelea udini; la hasha...fumbo mfumbe mjinga broda! Wewe hoja yako ya msingi ni kwamba JK ni mdini simply because anaacha kuvichukulia hatua vyombo vya habari vya kiislamu na wanazuoni kama Sheikh Ponda!! By the way, mtu kama Sheikh Ponda alikuwapo kabla JK hajaingia White House ya Bongo....usitake kuniambia wewe ni mgeni wa siasa za nchi hii!! Sisi wana-Temeke tunamfahamu Sheikh Ponda tangu uchaguzi wa 1995.....kama kumbukumbu zangu zipo sawa; huyu bwana alikuwa mmoja wa wapiga kampeni wakubwa wa kumwingiza Augustino Mrema madarakani kupitia NCCR kwenye kinyang'anyiro cha ubunge jimbo la Temeke!!! Hiyo Redio Iman, Kheri, Annur n.k vilikuwapo kabla JK hajaingia madarakani na wala haijatokea vyombo hivyo vikaongea mazuri ya Ukristo! Hayo yanayosemwa, kutangazwa, kuandikwa na vyombo hivyo yalikuwa hivyo hivyo hata kipindi cha Mkapa!!

Pamoja na hayo, usipende kujificha kwenye hoja dhaifu za kwamba watu tunatumika......tunatumika ama kutumwa na nani?! Hapa hakuna suala la kumtetea mtu kama unavyotaka kutilia mkazo hoja yako; hapa kilichopo ni kusimamia ukweli. Kwanini tusimlaumu Waziri wa Habari kwa kulifungia Mwanahalisi na kuacha hivyo vyombo ambavyo umevitaja....!!! JK ni Rais, hakuna maana ya kjuteuwa Mawaziri wenye mamlaka ikiwa jambo lililo ndani ya uwezo wa Waziri ataanza tena kulifanya yeye mwenyewe! Waswahili, jinsi msivyoisha vihoja akifanya hivyo mtabadilika na kusema JK hawaamini mawaziri wake; JK anaingilia kazi za mawaziri wake na mambo mengine kadha wa kadha!
 
Jk ajaleta udini kama unavyotaka kulazimisha, wewe unasukumwa na chuki za udini bahati nzuri humu JF tunajuana kwa michango yetu wewe ni mdini mkubwa tena una chuki kubwa na Waislam na Uislam kwa ujumla, bora angekuja mtu mwingine kuanzisha hii thread labda tungemulewa lakini sio wewe Mushi, ndio maana unakwepa kumelezea Mtei kuhusu udini wake sababu ni kambi yako, unachofanya kwenye hii thread yako ni kiziba shimo la panya na mkate.

mkuu nakumbuka sana ile thread ya mzee mtei alikuwa akifunika kombe mwanaharamu apite! kuanzia kwenye ile thread nilikuja kuona true colors za huyu jamaa ..

Ujinga mwingine bana,eti JK anatetewa simply kwasababu ni muislam.Tatizo tulilonalo ni kubwa.Lakini madhali tumepata nafasi ya kujadiliana.Tukishindwa basi si mbaya,tunajuwa tulijaribu.Ila tukifika huko,JK lazima awe responsible yeye na wafuasi wake wa udini.Hamtaki kabisa kuona maelewano baina ya watanzania.Wanatumia falsafa ya wagawanye uwatawale.Kwa hili atalipa,labda taifa liwe limeishiwa na wazalendo wa kweli.
 
mkuu nakumbuka sana ile thread ya mzee mtei alikuwa akifunika kombe mwanaharamu apite! kuanzia kwenye ile thread nilikuja kuona true colors za huyu jamaa ..

Mjadala siyo jmushi1 hapa,kafungue thread hapa si pahala pake.Mkishindwa hoja ndo mnaleta personal attacks.Mjadala hapa ni mkuu wa nchi na udini wake.Unachotakiwa useme ni kwamba JK si mdini base on so and so...
 
jmushi1, acha kucheza na lugha ili kuficha hoja......wote hapa, sina shaka ni wajuvi wa lugha yetu adhimu; ya kiswahili! Sina shaka, hata baada ya kuzaliwa, neno langu la kwanza kulisikia lilikuwa ni la kiswahili na neno langu la kwanza kulitamka lilikuwa la kiswahili....kwahiyo, hata kama utajitahidi kupiga chenga za hapa na pale, bado dhima yako itakuwa peupe kwa mweledi!!!

Mkuu wangu jmushi1, wewe hoja yako si kwamba serikali ya JK imelea udini; la hasha...fumbo mfumbe mjinga broda! Wewe hoja yako ya msingi ni kwamba JK ni mdini simply because anaacha kuvichukulia hatua vyombo vya habari vya kiislamu na wanazuoni kama Sheikh Ponda!! By the way, mtu kama Sheikh Ponda alikuwapo kabla JK hajaingia White House ya Bongo....usitake kuniambia wewe ni mgeni wa siasa za nchi hii!! Sisi wana-Temeke tunamfahamu Sheikh Ponda tangu uchaguzi wa 1995.....kama kumbukumbu zangu zipo sawa; huyu bwana alikuwa mmoja wa wapiga kampeni wakubwa wa kumwingiza Augustino Mrema madarakani kupitia NCCR kwenye kinyang'anyiro cha ubunge jimbo la Temeke!!! Hiyo Redio Iman, Kheri, Annur n.k vilikuwapo kabla JK hajaingia madarakani na wala haijatokea vyombo hivyo vikaongea mazuri ya Ukristo! Hayo yanayosemwa, kutangazwa, kuandikwa na vyombo hivyo yalikuwa hivyo hivyo hata kipindi cha Mkapa!!

Pamoja na hayo, usipende kujificha kwenye hoja dhaifu za kwamba watu tunatumika......tunatumika ama kutumwa na nani?! Hapa hakuna suala la kumtetea mtu kama unavyotaka kutilia mkazo hoja yako; hapa kilichopo ni kusimamia ukweli. Kwanini tusimlaumu Waziri wa Habari kwa kulifungia Mwanahalisi na kuacha hivyo vyombo ambavyo umevitaja....!!! JK ni Rais, hakuna maana ya kjuteuwa Mawaziri wenye mamlaka ikiwa jambo lililo ndani ya uwezo wa Waziri ataanza tena kulifanya yeye mwenyewe! Waswahili, jinsi msivyoisha vihoja akifanya hivyo mtabadilika na kusema JK hawaamini mawaziri wake; JK anaingilia kazi za mawaziri wake na mambo mengine kadha wa kadha!
Udini uko nchini mwetu kuliko wakati wowote ule toka tupate uhuru.Kwani JK ana agenda ya kusilimisha taifa?Unadhani hata wasio na dini watakubali?hujui kuna wazalendo wa kweli watakaoyachanja makalio ya wadini?kama huamini,subiri tufike huko.Tuna muda na nafasi za kutizama kwa macho ya kizalendo,na kulipigania taifa hili na watu wake.Ninarudia tena,mafisadi wanajificha kwenye mwavuli wa udini,hilo hawataweza.Over our dead bodies,and I'm talking about nationalist and true patriots.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom