mangikule
JF-Expert Member
- Jun 11, 2012
- 6,464
- 6,011
HELL HELL HELL!! mlitaka kupata nini zaidi?? KIPI kingine?? zaidi ya mnavyoreap bila kupanda? Je mnajua BAKWATA ina Bajeti kutoka serikalini? Je mnajua mahakama ya kadhi inagharamiwa na serikali kinyemela!??Jmushi1...unafahamika kwa Udini wako.
Wewe ulitaka JK atoe amri ya Kukamatwa Ponda...kwakuwa hakutoa hio Kauli umesema "Mdini"
Wala hukutaka Kumwambia JK au Serikali ichukue hatua kwa wale waliotoa Takwimu "Feki" Hizi Takwimu Feki even Wizara ya Pinda imetoa Kalenda ikiweka Hizo "Takwimu Feki"
Kwa hili wewe Umemuita JK "Mdini"
Uchaguzi unafahamika Namna Kampeni zilivyofanywa, JK na Wenzake walikuwa hawaamini the so called "UDINI" hadi mlipoanza Kampeni "Makanisani" hadi wengine "kutengwa" Mkadai "elimu ya Uraia mnaitoa"
Wakati CUF wanaitwa Wadini Hamkusema chochote...Hadi post nyingi hapa JF zinaonesha hivyo...ila Mkiitwa nyie Chadema wadini mnakuja juu kutafuta visingizio!!!
Huyu JK amefanya mengi kuwafavor wakristo kuliko waislam...Hizi kelele mnazoendelea kuzipiga ili mzidi kupewa nafasi zaid...!!! Maana mshazoea tangu huko nyuma waislam wasiipinge Serikali, wakiipinga basi wakalale "JELA" hapo mtakunywa sana Pombe zenu kwa "furaha"
Waislam hawajapata chochote cha Maana kutoka kwa JK, zaid hilo la kusema kutokamatwa shk Ponda....May be kilio chako kitasikilizwa Maana Sensa haijaaisha...so Ponda akikamatwa labda utaweka Post ya Kumpongeza JK...So far wanafamilia wengi wameshaanza kukamatwa hadi watoto kisa baba zao Hawapo ktk "kuhesabiwa"...Labda hizi taarifa za kukamatwa wanafamilia wa kiislam kwasababu za sensa zitakuridhisha kiasi...Maana wenzako washaweka mada kwanini wanaopinga sensa "wasikamatwe" Halafu unataka Amani au Kujenga Nchi mmoja wakati unamuombea Mabaya mwezio yamkute...!!!
Twendeni...JK ataondoka litakuja "chaguo Lenu"
Hamtakiwi kulalamika baada ya kumruhusu kumchakachua muislamu msomi Salim Ahmed Salim. Kwa ule ubaguzi aliofanya yeye na mtandao ule wa kishetani kwa Salim laana ya ubaguzi itamla yeye na serikali yake hadi mwisho. Hata wale wanaokubali kutumika kama wewe hawataweza kuzuia!! Ona sasa dalili zote za utawala uliofitinika zi wazi. Mitandao inagongana!! Haponi!!