Kwa mambo haya - JK ni Mdini!

Kwa mambo haya - JK ni Mdini!

Status
Not open for further replies.
Ukweli kaka tunakoelekea na udini ni kubaya tusipopata viongozi wa kutuongoza kuondokana na janga hili kama wananchi tutashindwa kujiongoza wenyewe. Kaka kuna kitu kilinisikitisha sana kilitokea UDOM mwaka jana kama sikosei, kuna mdahalo uliandaliwa na waislamu pale chuoni na kichokuwa kikijadiliwa na UDINI mtupu na mikakati ya ajabu ya kidini na kupandikiza chuki dhidi ya ukristo, walienda mbali na kudai watakwenda Butiama kumsomea hukumu baba wa Taifa kwa makosa aliyowafanyia waislamu. wakajadili na mikakati ya kuendelea kukaa ikulu eti wakidai kanisa haliwezi kuruhusu kibaragashia kuendelea tena miaka kumi pale white house, hivyo wamejipanga vema na kamili kwa mapambano mwaka 2015! ni kikao ambacho katika nchi isiyo kuwa na dili kama yetu kuruhusiwa kuandaliwa na tena wanaojfanya mjadala ni walimu wa vyuo. kwa kweli ni hatari sana kaka! na kwa haya siju JK amajiandaa kwa legacy ipi atakapo toka madarakani!
Habari hii imenisikitisha sana!kama ni kweli,basi tumefika pabaya.Kama walimu hao wanasoma JF,basi ni matumaini yangu watasoma mjadala huu ili wajuwe kuwa sisi sote ni ndugu.Mambo kama haya,ni JK ndo ameyachochea na hata hayakuwepo kabisa hapo kabla.Si vyema kabisa kufikiria maendeleo ya watanzania kwa vigezo vya dini.Hata kama kuna matatizo kwenye jamii yetu,hii si njia ya kuyamaliza.
 
ni kikao kilichoendeshwa kwa siri kubwa lakini kama unavyojua kuna watu wanaelimu kuliko yao ya kukariri madrasa tulipata tape bila wao kujua! wakawa wanadai eti mabinti wa kiislamu kuolewa au kuchukuliwa na wakristo ni fadhaa kubwa kwao hivyo wasidhubutu kufanya hivyo. Na cha ajabu waislamu kwa sasa wanafanya vitu kama wanavyotaka bila hata onyo lolote kutoka serikalin. Wanafunzi wa UDOM mwaka jana kwenye uchaguzi walikuwepo wagombea wawili binti mkristo na jamaa wa kiislamu, jamaa wakaweka mabango kuwa ni MOHAMMED V JESUS. bahati nzuri wakapigwa chini kwenye kura. kweli ni hatari.
 
Muasisi wa udini ni baba wenu wa taifa. Hadharani alionekana kuwa ni mpinga udini lakini mafichoni alikuwa akiwapendelea wakristo.maneno haya siyasemi mimi, tafadhali soma kitabu cha Dr. Sivalon cha siasa za Tanzania. Ni mkatoliki safi yupo mbali na uislamu anaishi marekani.

Zile zinazomgusa usitegemee atakujibu anajibu zile zitakazo mtukana kikwete Ndio anapopapenda ukimpa ukweli analeta vitu vya kufikirika Mara kikwete kaongea mskitini Mara haikua zamu yake 1995 bs yani hajitambui nini anasema lakini bd analazimisha kikwete mdini bila ushahidi
 
ni kikao kilichoendeshwa kwa siri kubwa lakini kama unavyojua kuna watu wanaelimu kuliko yao ya kukariri madrasa tulipata tape bila wao kujua! wakawa wanadai eti mabinti wa kiislamu kuolewa au kuchukuliwa na wakristo ni fadhaa kubwa kwao hivyo wasidhubutu kufanya hivyo. Na cha ajabu waislamu kwa sasa wanafanya vitu kama wanavyotaka bila hata onyo lolote kutoka serikalin. Wanafunzi wa UDOM mwaka jana kwenye uchaguzi walikuwepo wagombea wawili binti mkristo na jamaa wa kiislamu, jamaa wakaweka mabango kuwa ni MOHAMMED V JESUS. bahati nzuri wakapigwa chini kwenye kura. kweli ni hatari.
nimesikitishwa sana na habari hii.Lakini mkuu wangu,naomba usiweke hayo maneno kuhusu "kukaririshwa",hayo hayatatupatia wasaa wa kujadili yale yaliyo muhimu kwa taifa letu.Kila wenye imani zao wana madhaifu yao.Sisi cha muhimu tujenge taifa moja la watanzania.La sivyo tutajikuta tumeingia kwenye mtego wa udini wa ccm na JK.Kama mambo hayo yanafanyika kwa wasomi wa chuo kikuu,itakuwaje kwa wananchi wasio na uelewa?
Ni lazima JK aukemee udini hata kama ni kwa unafiki hakuna shida kwasababu the nation's well being and the peace is on the line.
 
Umeyaona ya shekh PONDA tu, ya maasikofu hujayaona kweli wewe huiwezi siasa!!Waislam wanahaki ya kudai kipengele cha dini ktk sensa.kwanini wadai tembelea web hizi upate reference
1) www.wikipedia.com/tanzania
2) www.arc.com/tanzania

web zote hzo zinatoa idadi ya watanzania kwa mujibu wa dini yao wakati tangu 1967 watanzania hatuja hesabiwa kwa mjibu,wa dini zetu.swali hawa WA RC Takwim hz wanazitoa wapi????
hao RC wanahesabiana kanisani na kwenye vigango na jumuia ndogo ndogo, halafu wanatumia simultenous equation kupata jibu, sasa na kiongozi wako anaweza kufanya hivyo kuwaitisha mjiandikishe kwenye sehemu zenu za kuhesabia halafu mnafanya BODMAS za wake wa nne, watoto wanne wanne ? halafu unashindwa kuwapatia elimu? kwani uwezo wako mdogo, halafu anashindwa kufikia malengo yake katika maisha matokeo yake anaamua kubadili muelekeo, na kuwa mtukutu nk na katika utukutu kuna madhara yake. hivyo population badala ya kuongezeka ina pungua.
 
Vatican walituwekea JK madarakani?

Mbona ya mtei hutaki kuyajibu....nalini zamu ya muislam cdm Ulisema CCM wanapeana zamu au kwenu hamna kupishana ....au mpaka padre afe
 
nimesikitishwa sana na habari hii.Lakini mkuu wangu,naomba usiweke hayo maneno kuhusu "kukaririshwa",hayo hayatatupatia wasaa wa kujadili yale yaliyo muhimu kwa taifa letu.Kila wenye imani zao wana madhaifu yao.Sisi cha muhimu tujenge taifa moja la watanzania.La sivyo tutajikuta tumeingia kwenye mtego wa udini wa ccm na JK.Kama mambo hayo yanafanyika kwa wasomi wa chuo kikuu,itakuwaje kwa wananchi wasio na uelewa?
Ni lazima JK aukemee udini hata kama ni kwa unafiki hakuna shida kwasababu the nation's well being and the peace is on
the line.

nimefuta andishi hilo kaka lakini inaumiza sana kuona kama mtu unaishi nae lakini anakuchukulia kama kitu tu, JK angetambua kuwa hao anaowabagua ndo waliomweka ikulu hasingekuwa anafanya au kutuma watu wafanye yale yanayofanyika, si kuna askofu alisema Jk chaguo la Mungu, wangekuwa wadini wangelisema hayo?
 
Mbona ya mtei hutaki kuyajibu....nalini zamu ya muislam cdm Ulisema CCM wanapeana zamu au kwenu hamna kupishana ....au mpaka padre afe
Siera,hakuna kiongozi wa chadema aliyewahi kuwa rais wa nchi.Kupisha kupo,lakini lazima pia uqualify ama uwe na sifa hizo.Jiunge chadema mkuu hakuna shida.Usidanganywe na udini wa JK.

Ingia chadema uone kama kuna huo udini.Hayo ni maneno tu ya kutugawa watanzania.Ni mbinu ya mafisadi ili wasiulizwe.Sisi sote ni ndugu.Na undugu hauangalii dini.

Hiyo ndo Tanzania.Tusidhani kwamba ukristo wa Tanzania ni sawa na ule wa vaticana,ama uislam wa Tanzania ni sawa na ule wa huko kwa waarabu.Sisi tuna culture zetu kama Taifa.

Haina maana kwamba eti vatican ikiingia vitani na Tz basi wakatoliki watapigana dhidi ya Tz,same with Saudi nk,haina maana kama tukiingia vitanai,basi utaipigania saudi dhidi ya Tz.Kama utafanya hivyo,basi tumeshapishana tayari.Otherwise ni vyema kufikri kwa mapana zaidi.

Sisi sote ni ndugu,adui ni JK mdini na ccm mafisadi.
 
Nchi ilipofikia,credits huwa anapewa rais na serikali yake,kwahili la udini,hakuna ubishi umeshaota mizizi.Na sijawahi kusikia kauli ama vitendo kutoka kwa JK vya kukemea haya mambo ya udini.

Kinachonifanya niamini ni JK,ni kwasababu hao wanaopinga kasi ya upinzani,wanapoijibia serikali ya ccm,basi wanaoonyesha chuki za wazi kabisa za kidini.Ule udugu tuliokuwa nao wakitanzania haupo tena,na sijui utarudi kwa njia gani.

Kuna habari kuwa hata mtu na mke wake wanataka kutoana roho kwasbabu hizo hizo.Sheick Ponda alipotoa kauli kinyume na yakwake kuhusu sensa,kaliachia na gazeti lenye kusambaza sumu hizo huku akilifungia lenye kusema ukweli(mwanahalisi)

Ninamini kabisa kuwa tulipofikia,uwezekano wa kuingia kwenye vurugu na mapigano ya kidini ni mkubwa kuliko wakati wowote ule kwenye historia ya Tz toka tupate uhuru.

Kama JK ni mdini,tufanyeje?Ni wazi anapenda haya yaendelee kuwepo kwasababu ni kama anauwa ndege wawili kwa jiwe moja,yani kwasababu yeye ni fisadi na mdini,basi issue za ufisadi wake anazifukia kwa kupenyeza sentiments za kidini kwasababu anajuwa the issue is extremely sensitive.

Je kama taifa tutapona dhidi ya udini huu wa JK?je kukitokea mapigano,nani atakuwa responsible?Je nini kifanyike kukomesha udin8I hu?ama tumeridhika?!....
wewe kalewe mbege tu na uchaga wako. udini ulianza tangu kipindi cha jkn miaka ya 60's. au ndo makengeza?
 
nimefuta andishi hilo kaka lakini inaumiza sana kuona kama mtu unaishi nae lakini anakuchukulia kama kitu tu, JK angetambua kuwa hao anaowabagua ndo waliomweka ikulu hasingekuwa anafanya au kutuma watu wafanye yale yanayofanyika, si kuna askofu alisema Jk chaguo la Mungu, wangekuwa wadini wangelisema hayo?
Nashukuru kwa busara zako.Stay blessed.
 
wewe kalewe mbege tu na uchaga wako. udini ulianza tangu kipindi cha jkn miaka ya 60's. au ndo makengeza?
Mkuu tafadhali toa nasaha,haya hayajengi.Jk kawatuma basi na nyie manakuwa kama toilet paper tu.Inasikitisha kwa ubinafsi mnaouonyesha,azs if binadamu ni nyie tu.Mko radhi kuona machafuko ili tu muendelee kulifisadi taifa.Nakuhakikishia mafisadi mtalipa na mtakuwa held accountable bila kujalisha kama nyie ni waislam,wakristo ama hata wachagga na wakwere.Adui yetu ni nyie,kama mmetokea kuwa waislam,ama wachagga ama wakwere,too bad.Hapa ni taifa kwanza.
Stay blessed.
 
Nchi ilipofikia,credits huwa anapewa rais na serikali yake,kwahili la udini,hakuna ubishi umeshaota mizizi.Na sijawahi kusikia kauli ama vitendo kutoka kwa JK vya kukemea haya mambo ya udini.

Kinachonifanya niamini ni JK,ni kwasababu hao wanaopinga kasi ya upinzani,wanapoijibia serikali ya ccm,basi wanaoonyesha chuki za wazi kabisa za kidini.Ule udugu tuliokuwa nao wakitanzania haupo tena,na sijui utarudi kwa njia gani.

Kuna habari kuwa hata mtu na mke wake wanataka kutoana roho kwasbabu hizo hizo.Sheick Ponda alipotoa kauli kinyume na yakwake kuhusu sensa,kaliachia na gazeti lenye kusambaza sumu hizo huku akilifungia lenye kusema ukweli(mwanahalisi)

Ninamini kabisa kuwa tulipofikia,uwezekano wa kuingia kwenye vurugu na mapigano ya kidini ni mkubwa kuliko wakati wowote ule kwenye historia ya Tz toka tupate uhuru.

Kama JK ni mdini,tufanyeje?Ni wazi anapenda haya yaendelee kuwepo kwasababu ni kama anauwa ndege wawili kwa jiwe moja,yani kwasababu yeye ni fisadi na mdini,basi issue za ufisadi wake anazifukia kwa kupenyeza sentiments za kidini kwasababu anajuwa the issue is extremely sensitive.

Je kama taifa tutapona dhidi ya udini huu wa JK?je kukitokea mapigano,nani atakuwa responsible?Je nini kifanyike kukomesha udin8I hu?ama tumeridhika?!....
Nadhani mdini atakuwa wewe unayefikiria Sheikh Ponda alikuwa na anastahili kuchukuliwa hatua kwa sababu hutaki kuelewa sababu gani zilimsukuma hadi kutaka kipengele cha dini kiwekwe. Na JK kama kawaida yake aliwasikiliza nyie zaidi ya kufikiria mawazo ya waislaam hasa pale serikali inaposhirikiana na kanisa ktk kutoa huduma muhimu sana za ELIMU na AFYA. Udini umeanzia hapo na pengine unatakiwa wewe kupingana na muafaka huo kwanza kabla ya kupinga mawazo ya Sheikh Ponda kama sisi Chadema tunavyopinga muafaka wa CCM na CUF kuunda katiba mpya ya serikali ya mseto kabla hata ya uchaguzi kufanyika pasipo ridhaa ya vyama vinginevyo..
 
Ni ngumu sana kwa Tanzania Padre kuwa Rais labda apigiwe kura na data za TBC.
 
Mkuu nilitegemea nasaha zako mapema sana.Hata hivyo umechelea,nadhani sababu ya kufanya hivyo ndo hii.

Since wewe unajinasibisha kama chadema humu,basi ni vyema ukawa unafikra kama za wanachadema,yani ukombozi wa nchi ni muhimu sana!na ndiyo agenda kuu.

Hilo la Ponda,siyo jambo pekee lilopelekea miye kusema JK ni mdini.Nazungumzia utawala wake kwa ujumla umetufikisha huku,sasa kama hutaki kutoa credit where its due,hapo unakuwa umeshaonyesha bias ya udini.Huwezi ukawa chadema ukamtetea JK kwa haya...haya ndo yanayotukwamisha kwasababu kuna dini vs taifa kwenye mawazo yenu.Na sikufichi mkuu,kuna imani ambazo zinawasaidia watu kuwa raia wema wa mataifa yao.Lakini kama imani inakufanya uwe adui wa utaifa na taifa lako,basi hiyo si imani ya kweli.

Sisi kama taifa,tayari ni ndugu.Kwangu miye,utaifa ni udugu.Kama kwako siyo,basi tutapishana na hakuna haja ya kujadiliana.
Lakini kama unaamini kuwa utaifa ni udugu,basi tutajadiliana.Tuwe kwenye ukurasa mmoja kwanza,yani sisi ni ndugu.Ni hayo kwasasa.
 
Mkuu tafadhali toa nasaha,haya hayajengi.Jk kawatuma basi na nyie manakuwa kama toilet paper tu.Inasikitisha kwa ubinafsi mnaouonyesha,azs if binadamu ni nyie tu.Mko radhi kuona machafuko ili tu muendelee kulifisadi taifa.Nakuhakikishia mafisadi mtalipa na mtakuwa held accountable bila kujalisha kama nyie ni waislam,wakristo ama hata wachagga na wakwere.Adui yetu ni nyie,kama mmetokea kuwa waislam,ama wachagga ama wakwere,too bad.Hapa ni taifa kwanza.
Stay blessed.
Nasikitika kunihusisha na ufisadi. yapo mengi moyo sijui hata niandike lipi. sijawahi kuwa katika system, na hapa nalipa kodi isiyopungua 500,000 kwa menzi, na hizo hela mnaenda kukusanya kanisani kwa sababu mishahara mnalipana wenyewe, kwani ndo mlipo kwenye system, kwanza hilo ujue.

Nani asiyejua kuwa hata wale waccm wakristo wako nyuma ya chadema? Ni udini upi unaeleza? hebu soma waraka wa mchungaji mtikila wa mei 27 2010 miezi michache tu kuelekea uchaguzi.

Kwa kifupi tu mnaudhi sana, na wala nisikufiche kama hali iataendelea hivi huko mbele tusishangae TZ kukawa na boko haramu, alshabab na mengineyo mengi.

Tuwe makini sana na hii hali siyakuleta propaganda, otherwise yatatokea puani. watch my words, watu (waislam) wameamka sana kuliko unavyofikiria.

TUWE MAKINI SANA KAMA KWELI TUNA NIA YA DHATI YA KUIJENGA NCHI YETU NA SI PROPAGANDA MNAZOENEZA. nilishangaa sana eti hata wale watu wa sensa wanajifanya hawajui kwanini waislam wanagomea sensa. too bad. badala ya kutafuta suluhisho la tatizo wao wanafunia. litafumka tu.
 
Ni ngumu sana kwa Tanzania Padre kuwa Rais labda apigiwe kura na data za TBC.

Hii si thread ya urais wa Slaa mkuu,itakuwa umepost kwenye wrong thread.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom