Kwa mambo haya - JK ni Mdini!

Kwa mambo haya - JK ni Mdini!

Status
Not open for further replies.
@Kongosho vita haiko mbali. Haya mauaji yanayoendelea kufanywa na polisi magamba ni dalili tosha kwamba vita vya wenyewe kwa wenyewe vinainyemelea Tanzania kwa karibu sana. Angalia mauaji yanavyozidi kutokea katika sehemu mbali mbali nchini na hakuna hata wa kukemea mauaji hayo. Kikwete yuko kimyaaa yule Pinda naye yuko kimyaaa wanaacha mbegu ya chuki nchini izidi kushamiri kila kukicha.

Halafu mie kinanishangaza sana kuona wale Viongozi wastaafu kama akina Mwinyi, SAS, Warioba na wengine wengi ambao bado wanaheshimika na wananchi wengi nao pia wako kimya kabisa. Wanayaona na kuyasikia matukio ya kutisha nchini yakishamiri siku hadi siku lakini wanaangalia pembeni kama vile hayawahusu lakini vita hii ikitokea utakuwa ni kama mtego wa panya wataingia waliokuwemo na wasiokuwemo.

Wapumbavu kama akina Mwigulu na magamba wengine wanaachiwa kupandikiza mbegu ya chuki nchini kila kukicha kwa sababu tu ya kutaka kutimiza ndoto yao ya magamba kuitawala Tanzania milele bila kuangalia athari kubwa za chuki wanazozipandikiza kila kukicha.

Amani imeshapotea nchini miaka mingi sasa na hali inazidi kuwa mbaya kila siku iendayo kwa Mungu. Wananchi wamechoshwa kuona Watanzania wenzao wanauwawa na polisi magamba bila hatua zozote kuchukuliwa na Serikali sasa watakapoanza kurudisha mapigo hapo ndio nchi itawaka moto na hakutakuwa na msalie mtume.

NB: Uwe unakuja huku mara nyingi badala ya kuishia kule nanihii

tutajipamba hapa kwa maneno, lakini ikitokea vita, tutakaoathirika hasa ni sie tusokuwa na uwezo wa kugharimia familia zetu kwenda kuishi nje.

Wao utakuta familia zote ziko nje.
 
Jmushi1...unafahamika kwa Udini wako.
Wewe ulitaka JK atoe amri ya Kukamatwa Ponda...kwakuwa hakutoa hio Kauli umesema "Mdini"

Wala hukutaka Kumwambia JK au Serikali ichukue hatua kwa wale waliotoa Takwimu "Feki" Hizi Takwimu Feki even Wizara ya Pinda imetoa Kalenda ikiweka Hizo "Takwimu Feki"

Kwa hili wewe Umemuita JK "Mdini"

Uchaguzi unafahamika Namna Kampeni zilivyofanywa, JK na Wenzake walikuwa hawaamini the so called "UDINI" hadi mlipoanza Kampeni "Makanisani" hadi wengine "kutengwa" Mkadai "elimu ya Uraia mnaitoa"
Wakati CUF wanaitwa Wadini Hamkusema chochote...Hadi post nyingi hapa JF zinaonesha hivyo...ila Mkiitwa nyie Chadema wadini mnakuja juu kutafuta visingizio!!!

Huyu JK amefanya mengi kuwafavor wakristo kuliko waislam...Hizi kelele mnazoendelea kuzipiga ili mzidi kupewa nafasi zaid...!!! Maana mshazoea tangu huko nyuma waislam wasiipinge Serikali, wakiipinga basi wakalale "JELA" hapo mtakunywa sana Pombe zenu kwa "furaha"

Waislam hawajapata chochote cha Maana kutoka kwa JK, zaid hilo la kusema kutokamatwa shk Ponda....May be kilio chako kitasikilizwa Maana Sensa haijaaisha...so Ponda akikamatwa labda utaweka Post ya Kumpongeza JK...So far wanafamilia wengi wameshaanza kukamatwa hadi watoto kisa baba zao Hawapo ktk "kuhesabiwa"...Labda hizi taarifa za kukamatwa wanafamilia wa kiislam kwasababu za sensa zitakuridhisha kiasi...Maana wenzako washaweka mada kwanini wanaopinga sensa "wasikamatwe" Halafu unataka Amani au Kujenga Nchi mmoja wakati unamuombea Mabaya mwezio yamkute...!!!

Twendeni...JK ataondoka litakuja "chaguo Lenu"
 
Kaka achana propaganda zako hizo. Ni sumu. Sioni haja yako ya kumtetea kikwete. He is a worldwide joke, dangerous to humanity, dangerous to our economy and social stability. Huwezi kusimama haapa na kumsafisha. Maana yake unatutusi sis wote hapa. Tetea taifa tetea umoja wa kitaifa. Sio huyo puke wako kikwete.
 
Nimeshavgunduwa,waislam nyie ni ndugu zetu,hamkupata mwakilishi mzuri kuwa rais.Ni muhimu tushirikiane ili makosa yasijirudie.Asante.
 
nngu007! Mkuu acha kukurupuka! Nani kasema Nyerere hakuwa na waziri Mchagga au Mhaya? Naona historia imekupita pembeni kaisome tena!
 
Hivi Mtei alivyowaita baadhi ya wana CDM wakuja alikuwa anamaanisha nini au alilenga kundi gani? mbona huo uwiano wa dini asianze nao kwenye NGO yake CDM.
 
Hata vilaza na wajinga kama wewe wapewe wadhifa kwa sababu ya uwiano wa dini

Hell no !

ondoa thread hii ya kipuuzi
 
Hivi Mtei ndie aliyempa kamanda Mbowe ukarani BoT?
 
Jmushi nyinyi Hamtaki Ushirikiano...!!!Sisi kweli tunahitaji kujenga Nchi....!!!Na twajua nchi Inaharibika lkn mambo mengi mnayafanya kwa sense ya "Udini" Sisi na wengine hatuna haja ya Kumsafisha JK, ila mnapoleta sense ya Udini hapo ndipo mnapokosea.

Nyinyi ambao Historia ya Tanganyika inaonesha wengi wenu "mmesoma" miaka yote ya Uchaguzi mmekuwa Tayari Kumchagua mtu ambae si "MSOMI" na kumuacha "Msomi" kisa ni "Udini" na kama kweli Mngalikuwa mna Mapenzi ya Nchi msingefanya hivyo...!!! Haya Mapenzi ya Nchi mnayoyataka yanatia "Mashaka"
 
BAK, nakubaliana na wewe kuwa hizi vurugu zinazoendelea zinazidi kupanda mbegu ya chuki.

Je hudhani kama kuna namna ambayo tunaweza kujisahihisha kabla mauaji haya hayajafikia hatua kubwa zaidi??

Je, vyombo vya habari havina nafasi katika hili????

Huwa najiuliza sana sipati majibu, kwa nini vyombo vya habari na au wanahabari wanakubali kutumiwa??
Tena wakati mwingine, wanatumia wazi kabisa pasipo kificho, je tufanye nini?? Au tujirekebisheje?? Uzalendo urudishweje kwa wanahabari??

Katika nchi changa kama TZ ambayo ukomavu/uelewa wa wanachi wake kwa asilimia kadhaa bado ni 'simama dede', mie huwa sipuuzii nafasi ya wanahabari. Natamani tuwe na wanahabari wanaoweza ku-take lead katika hili. Ila wasianze finger pointing maana hapo hatutafikia muafaka.

Kuna umuhimu wa kuundwa chombo/kamati/task force au sijui nini kwa ajili ya kuchunguza kwa kina wapi tulipo katika suala zima la amani ya nchi. Na chombo hiki kisisimamiwe wala kujihusisha na serikali bali kiwe cha wananchi wenyewe na makundi ya dini zote. Nafasi ya serikali ni kukitambua na kukipa uhuru chombo hiki ili kiweze fanya kazi zake. Hapa tunaongea zaidi kwa kuona viashiria kama vya mauaji, lakini tunahitaji uchunguzi zaidi wa wapi tulijikwaa.

Na kingine, pande zote inabidi tuvuke mpaka fulani tuliojiwekea ili tuwe tayari kupokea ukweli mgumu 'bitter truth' utaopatikana baada ya uchunguzi na kuwajibika kama timu moja. Nachohofia au nachokiona ni kuwa, hata tukiamua kama taifa kushighulikia hili suala, tuko tayari kupokea ukweli kama ukweli mtupu bila kusema hawa wanatuonea au hawa walipendelewa au hawa vile.

Bila kujua tulijikwaa wapi na kukubali kweli itakuwa ngumu ku-move forward.
 
Last edited by a moderator:
Nchi ilipofikia,credits huwa anapewa rais na serikali yake,kwahili la udini,hakuna ubishi umeshaota mizizi.Na sijawahi kusikia kauli ama vitendo kutoka kwa JK vya kukemea haya mambo ya udini.

Kinachonifanya niamini ni JK,ni kwasababu hao wanaopinga kasi ya upinzani,wanapoijibia serikali ya ccm,basi wanaoonyesha chuki za wazi kabisa za kidini.Ule udugu tuliokuwa nao wakitanzania haupo tena,na sijui utarudi kwa njia gani.

Kuna habari kuwa hata mtu na mke wake wanataka kutoana roho kwasbabu hizo hizo.Sheick Ponda alipotoa kauli kinyume na yakwake kuhusu sensa,kaliachia na gazeti lenye kusambaza sumu hizo huku akilifungia lenye kusema ukweli(mwanahalisi)

Ninamini kabisa kuwa tulipofikia,uwezekano wa kuingia kwenye vurugu na mapigano ya kidini ni mkubwa kuliko wakati wowote ule kwenye historia ya Tz toka tupate uhuru.

Kama JK ni mdini,tufanyeje?Ni wazi anapenda haya yaendelee kuwepo kwasababu ni kama anauwa ndege wawili kwa jiwe moja,yani kwasababu yeye ni fisadi na mdini,basi issue za ufisadi wake anazifukia kwa kupenyeza sentiments za kidini kwasababu anajuwa the issue is extremely sensitive.

Je kama taifa tutapona dhidi ya udini huu wa JK?je kukitokea mapigano,nani atakuwa responsible?Je nini kifanyike kukomesha udin8I hu?ama tumeridhika?!....

Muasisi wa udini ni baba wenu wa taifa. Hadharani alionekana kuwa ni mpinga udini lakini mafichoni alikuwa akiwapendelea wakristo.maneno haya siyasemi mimi, tafadhali soma kitabu cha Dr. Sivalon cha siasa za Tanzania. Ni mkatoliki safi yupo mbali na uislamu anaishi marekani.
 
Umeyaona ya shekh PONDA tu, ya maasikofu hujayaona kweli wewe huiwezi siasa!!Waislam wanahaki ya kudai kipengele cha dini ktk sensa.kwanini wadai tembelea web hizi upate reference
1) www.wikipedia.com/tanzania
2) www.arc.com/tanzania

web zote hzo zinatoa idadi ya watanzania kwa mujibu wa dini yao wakati tangu 1967 watanzania hatuja hesabiwa kwa mjibu,wa dini zetu.swali hawa WA RC Takwim hz wanazitoa wapi????

Ndugu wakatoriki wanazo register za waumini wao kwa kutumia orodha ya ubatizo na taarifa kutoka kwenye jumuiya ndogo ndogo za kikatoriki ambazo zimetapakaa kila mtaa zikiwa active na uongozi thabiti hivyo basi WAKATORIKI kujua idadi yao ni zoezi rahisi kufanikiwa tena kwa siku moja tu sababu parokia zote za kikatoriki zina computer zenye taarifa ya idadi ya waumini katika eneo husika kwa maelezo hayo WAKATORIKI wala hawahitaji SENSA ya serikali iwasaidie kujua wako wangapi kinachowacost ndugu zangu WAISLAM(mama angu ni mwislam safi) network yao imekaa kienyeji sana.
 
BAK, nakubaliana na wewe kuwa hizi vurugu zinazoendelea zinazidi kupanda mbegu ya chuki.

Je hudhani kama kuna namna ambayo tunaweza kujisahihisha kabla mauaji haya hayajafikia hatua kubwa zaidi??

Je, vyombo vya habari havina nafasi katika hili????

Huwa najiuliza sana sipati majibu, kwa nini vyombo vya habari na au wanahabari wanakubali kutumiwa??
Tena wakati mwingine, wanatumia wazi kabisa pasipo kificho, je tufanye nini?? Au tujirekebisheje?? Uzalendo urudishweje kwa wanahabari??

Katika nchi changa kama TZ ambayo ukomavu/uelewa wa wanachi wake kwa asilimia kadhaa bado ni 'simama dede', mie huwa sipuuzii nafasi ya wanahabari. Natamani tuwe na wanahabari wanaoweza ku-take lead katika hili. Ila wasianze finger pointing maana hapo hatutafikia muafaka.

Kuna umuhimu wa kuundwa chombo/kamati/task force au sijui nini kwa ajili ya kuchunguza kwa kina wapi tulipo katika suala zima la amani ya nchi. Na chombo hiki kisisimamiwe wala kujihusisha na serikali bali kiwe cha wananchi wenyewe na makundi ya dini zote. Nafasi ya serikali ni kukitambua na kukipa uhuru chombo hiki ili kiweze fanya kazi zake. Hapa tunaongea zaidi kwa kuona viashiria kama vya mauaji, lakini tunahitaji uchunguzi zaidi wa wapi tulijikwaa.

Na kingine, pande zote inabidi tuvuke mpaka fulani tuliojiwekea ili tuwe tayari kupokea ukweli mgumu 'bitter truth' utaopatikana baada ya uchunguzi na kuwajibika kama timu moja. Nachohofia au nachokiona ni kuwa, hata tukiamua kama taifa kushighulikia hili suala, tuko tayari kupokea ukweli kama ukweli mtupu bila kusema hawa wanatuonea au hawa walipendelewa au hawa vile.

Bila kujua tulijikwaa wapi na kukubali kweli itakuwa ngumu ku-move forward.

ni vile natumia simu ningekupa like mkuu,back to the topic....kwenye kuukubali huo ukweli mchungu ndipo panapotia shaka,ila tunaweza kuridhiana na kuaminiana kwanza kabla ya kuunda hicho kikosi kazi huku tukihimiza utaifa wetu mbele kuliko kitu kingine chochote.
 
Last edited by a moderator:
Muasisi wa udini ni baba wenu wa taifa. Hadharani alionekana kuwa ni mpinga udini lakini mafichoni alikuwa akiwapendelea wakristo.maneno haya siyasemi mimi, tafadhali soma kitabu cha Dr. Sivalon cha siasa za Tanzania. Ni mkatoliki safi yupo mbali na uislamu anaishi marekani.

inawezekana huyo mwandishi yuko right kulingana na utafiti wake alioufanya na vile vile anaweza asiwe right kulingana na tafiti za wengine walio examine mchango wa mwalimu ktk ujenzi wa taifa hili,ila whatever happens mwalimu has gone na kilichobaki tu ni his legacy,tukiendelea kunyoosheana vidole hatufiki kokote.kama tatizo lipo tulitafutie ufumbuzi kama taifa na sio kusema fulani ndio kaanzisha,likitokea la kutokea waathirika wakuu itakua ni sisi tusiokuwa na uwezo wa kukimbiza familia zetu nje ya nchi,embu tujitazame upya kama taifa ni wapi tulipokosea na tufanye jitihada za makusudi za kujinasua ktk taifa.
 
Umeyaona ya shekh PONDA tu, ya maasikofu hujayaona kweli wewe huiwezi siasa!!Waislam wanahaki ya kudai kipengele cha dini ktk sensa.kwanini wadai tembelea web hizi upate reference
1) www.wikipedia.com/tanzania
2) www.arc.com/tanzania

web zote hzo zinatoa idadi ya watanzania kwa mujibu wa dini yao wakati tangu 1967 watanzania hatuja hesabiwa kwa mjibu,wa dini zetu.swali hawa WA RC Takwim hz wanazitoa wapi????

Ni ajabu ukawa muumini halafu dini hiyo ikishindwa kutunza kumbukumbu sahihi za waamini wake, cha msingi jua tuu kwamba takwimu yetu haitegemei Serikali itufanyie ila tunafanya wenyewe ndani ya dini yetu, kila rekodi ya muumini mubatizwa hutunzwa na aliyeasi naye huwekwa wazi, sasa kuna ubaya gani kwa RC kujua kuwa ina idadi ya waumini kadhaa, kwani kuhesbu waamini ndani ya dini yenu mnahitaji serikali iwasidie?
 
inawezekana huyo mwandishi yuko right kulingana na utafiti wake alioufanya na vile vile anaweza asiwe right kulingana na tafiti za wengine walio examine mchango wa mwalimu ktk ujenzi wa taifa hili,ila whatever happens mwalimu has gone na kilichobaki tu ni his legacy,tukiendelea kunyoosheana vidole hatufiki kokote.kama tatizo lipo tulitafutie ufumbuzi kama taifa na sio kusema fulani ndio kaanzisha,likitokea la kutokea waathirika wakuu itakua ni sisi tusiokuwa na uwezo wa kukimbiza familia zetu nje ya nchi,embu tujitazame upya kama taifa ni wapi tulipokosea na tufanye jitihada za makusudi za kujinasua ktk taifa.

Kwa mjinga kila kilichoandikwa kwake ni sahihi na ukweli lakini kwa mwerevu hukichunguza na kuangalia katika mapana yake(TATIZO ELIMU) Utawala wa Waarabu ulipendelea Waislamu,ukaja wa Wazungu ukapendelea Wakristo, kutokana na mizizi hiyo wakristo wanaendelea kuonekana na wanapendelewa ili hali Waislmu wanabaki kuwa watu waliojiseti kulalamika
 
@Kongosho tunaweza kabisa kuzuia hizi chuki zisiendelee kusambaa nchi nzima na hivyo kuwa chanzo cha mauaji ya kutisha. Vita vya wenyewe kwa wenyewe kama itatokea lawama hazitaishia kwa Kikwete, Pinda na Baraza la Mawaziri bali hata wale Viongozi wastaafu nao watabeba lawama kwa kukaa kimya huku wakiona na kusikia mauaji dhidi ya Watanzania yakizidi kushamiri siku hadi siku. Na Watanzania wote popote pale tulipo inabidi tuyakemee mauaji haya kwa nguvu zetu zote na kuwazomea wahuni wote kama akina Mwigulu na magamba wenzie ambao wanapandikiza hizi chuki za kuwagawa Watanzania ili waendelee kufaidika na kubaki madarakani milele. Tukumbuke yaliyotokea Rwanda 1994 kama haturudisha akili na kutafakari kwa kina haya yanayofanywa na wahuni wa magamba basi yaliyotokea Rwanda mwaka ule yanaweza kabisa kutokea Tanzania.

BAK, nakubaliana na wewe kuwa hizi vurugu zinazoendelea zinazidi kupanda mbegu ya chuki.

Je hudhani kama kuna namna ambayo tunaweza kujisahihisha kabla mauaji haya hayajafikia hatua kubwa zaidi??

Je, vyombo vya habari havina nafasi katika hili????

Huwa najiuliza sana sipati majibu, kwa nini vyombo vya habari na au wanahabari wanakubali kutumiwa??
Tena wakati mwingine, wanatumia wazi kabisa pasipo kificho, je tufanye nini?? Au tujirekebisheje?? Uzalendo urudishweje kwa wanahabari??

Katika nchi changa kama TZ ambayo ukomavu/uelewa wa wanachi wake kwa asilimia kadhaa bado ni 'simama dede', mie huwa sipuuzii nafasi ya wanahabari. Natamani tuwe na wanahabari wanaoweza ku-take lead katika hili. Ila wasianze finger pointing maana hapo hatutafikia muafaka.

Kuna umuhimu wa kuundwa chombo/kamati/task force au sijui nini kwa ajili ya kuchunguza kwa kina wapi tulipo katika suala zima la amani ya nchi. Na chombo hiki kisisimamiwe wala kujihusisha na serikali bali kiwe cha wananchi wenyewe na makundi ya dini zote. Nafasi ya serikali ni kukitambua na kukipa uhuru chombo hiki ili kiweze fanya kazi zake. Hapa tunaongea zaidi kwa kuona viashiria kama vya mauaji, lakini tunahitaji uchunguzi zaidi wa wapi tulijikwaa.

Na kingine, pande zote inabidi tuvuke mpaka fulani tuliojiwekea ili tuwe tayari kupokea ukweli mgumu 'bitter truth' utaopatikana baada ya uchunguzi na kuwajibika kama timu moja. Nachohofia au nachokiona ni kuwa, hata tukiamua kama taifa kushighulikia hili suala, tuko tayari kupokea ukweli kama ukweli mtupu bila kusema hawa wanatuonea au hawa walipendelewa au hawa vile.

Bila kujua tulijikwaa wapi na kukubali kweli itakuwa ngumu ku-move forward.
 
Mtu aliyekuwa anawamudu waislam ni Mkapa ninamheshimu sana kwa ile ishu ya Mwembechai huwezi ukaiacha mijitu inayohatarisha amani ya dunia kwa kisingizio cha dini ni kuyakata tuu makoo yao.
 
Umeyaona ya shekh PONDA tu, ya maasikofu hujayaona kweli wewe huiwezi siasa!!Waislam wanahaki ya kudai kipengele cha dini ktk sensa.kwanini wadai tembelea web hizi upate reference
1) www.wikipedia.com/tanzania
2) www.arc.com/tanzania

web zote hzo zinatoa idadi ya watanzania kwa mujibu wa dini yao wakati tangu 1967 watanzania hatuja hesabiwa kwa mjibu,wa dini zetu.swali hawa WA RC Takwim hz wanazitoa wapi????

Jiulize swali la rahisi, Hizo takwimu zimeanza kutolewa lini? kwa nini hizi haki zinazodaiwa zimekandamizwa au kunyang'anywa hazikudaiwa awamu ya pili au ya tatu. Unaweza kujibu haraka kwamba wakati sahihi ni huu. linaweza kuwa jibu zuri lakini pia angalia upande wa pili kuwa kwa sasa upinzani umeshika kasi na CCM inajaribu kuhakikisha inabaki madarakani kwa namna yeyeto. Ikifanikiwa kuwaonyesha waislamu kuwa wanakandamizwa na wakristo focus itapotea na kuanza kutetea haki zao wakati huohuo wakristo wataona wamesalitiwa na ndugu zao CCM itaendelea kutawala na maisha yataendelea kuwa hovyo.
Kama tatizo ni takwimu kweli na hizo site sio za serikali ya TZ kwanini taasisi yeyote ya kiislam isisimame nakutoa takwimu mbadala?
Tukikubali kuhadaiwa na sera ya dini mafisadi wataendelea kufisadi na hatutatoka kwenye umaskini unasababishwa na ufisadi.
 
Nchi ilipofikia,credits huwa anapewa rais na serikali yake,kwahili la udini,hakuna ubishi umeshaota mizizi.Na sijawahi kusikia kauli ama vitendo kutoka kwa JK vya kukemea haya mambo ya udini.

Kinachonifanya niamini ni JK,ni kwasababu hao wanaopinga kasi ya upinzani,wanapoijibia serikali ya ccm,basi wanaoonyesha chuki za wazi kabisa za kidini.Ule udugu tuliokuwa nao wakitanzania haupo tena,na sijui utarudi kwa njia gani.

Kuna habari kuwa hata mtu na mke wake wanataka kutoana roho kwasbabu hizo hizo.Sheick Ponda alipotoa kauli kinyume na yakwake kuhusu sensa,kaliachia na gazeti lenye kusambaza sumu hizo huku akilifungia lenye kusema ukweli(mwanahalisi)

Ninamini kabisa kuwa tulipofikia,uwezekano wa kuingia kwenye vurugu na mapigano ya kidini ni mkubwa kuliko wakati wowote ule kwenye historia ya Tz toka tupate uhuru.

Kama JK ni mdini,tufanyeje?Ni wazi anapenda haya yaendelee kuwepo kwasababu ni kama anauwa ndege wawili kwa jiwe moja,yani kwasababu yeye ni fisadi na mdini,basi issue za ufisadi wake anazifukia kwa kupenyeza sentiments za kidini kwasababu anajuwa the issue is extremely sensitive.

Je kama taifa tutapona dhidi ya udini huu wa JK?je kukitokea mapigano,nani atakuwa responsible?Je nini kifanyike kukomesha udin8I hu?ama tumeridhika?!....
Yeyote atakayemwita JK fisadi, mdini utasikia viongozi wa DINI moja wakikusanyika Diamond Jubillee wakila na kupiga kelele "mnamuonea Rais kwa sababu ni DINI fulani; kila akiingia wa Dini hiyo mnashambulia serikali yake"
Kumbe hata chakula kule Diamond Jubilee waligharamiwa na JK.
Apende asipende atajibu tuhuma za uharibifu aliotenda kwa kupandikiza hii mbegu chafu!! JK = Janga la Kitaifa/aka "dhaifu"
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom