Nguruvi3
Platinum Member
- Jun 21, 2010
- 15,409
- 31,394
Mkuu Waberoya, katika maandishi yako kuna hoja za kujadiliwa kama umuhimu wa daraja,Kigamboni city n.k ikiwa ni pamoja na zile zitokanazo na makala ya Mwanahalisi.Imetokea kama ajali hivi kusoma gazeti la Mwanahalisi nikavutwa na kichwa hicho cha habari ambacho kimeandikwa na mwandishi nguli, guru, mzee wa busara na kaka yetu ambaye wengi tunamwona ni mentor wetu wa mambo mengi.
Ukiisoma inaonekana aidha huyu mzee ana gubu fulani, ana hasira ambayo haiko wazi, ni nakala hasa kama yeye!
wakati mwingine tunataka kujionyesha kwa jamii, tunapinga kila kitu, tunawaza sana, tuna akili mno, ni wazalendo sana, na tunampenda Nyerere mno...ila mara nyingi tunaharibu na hatuwi sahihi
Hivi ni lazima uandike nakala kama huna cha kuandika???
Your article was so boring !!!! where is real you???
Hoja zako zinafunikwa na hoja kuu kwamba tuhuma ulizotoa dhidi ya mtu na siyo mada ni nzito.
Jambo jema aliyetuhumiwa amekuja na kauli hii
Nami naungana na mkuu EMT kwa kauli hiziMakala original ni hiyo ya Tanzania Daima. Sikutuna makala nyingine Mwanahalisi.
Tafadhali tunaomba upande wa pili wa shilingi. Hii itatusaidia tuweze ku 'attack' hoja na siyo personalityAsante kwa clarification. Labda Mkuu Waberoya atupe ufafanuzi zaidi juu ya hiyo makala aliyoisoma kwenye gazeti la Mwanahalisi titled: "Daraja la Kigamboni na Utakaso wa Magufuli". Inawezekana Mwanahalisi wame republish hiyo makala halafu waka-spin title?