Daraja kubwa la Baltimore Nchini Marekani laanguka baada ya kugongwa na Meli

Mhaya

JF-Expert Member
Aug 20, 2023
1,658
4,866
Daraja hilo laanguka baada ya kugongwa na meli, na inadaiwa gari kadhaa zilizokuwepo kwenye daraja hilo zimeanguka na daraja hilo hapo Nchini Marekani.

Daraja la Baltimore ni moja ya miundo maarufu ya kivuko katika jiji la Baltimore, katika jimbo la Maryland, Marekani. Lilijengwa mwaka 1957 na linavuka Mto wa Patapsco. Daraja hili linaunganisha sehemu mbili za jiji na ni sehemu muhimu ya miundombinu ya usafiri katika eneo hilo. Ni moja ya vivuko maarufu vinavyohudumia trafiki ya gari kwa jumla ya magari zaidi ya 6,000 kwa siku.

West said the Dali, a 948ft (29 metres) Singapore-flagged cargo ship, had hit the bridge, which is part of Interstate 695. The Dali had left Baltimore at 1am and was heading for the Sri Lankan capital, Colombo, according to the maritime data platform, MarineTraffic
 
Daraja hilo laanguka baada ya kugongwa na meli, na inadaiwa gari kadhaa zilizokuwepo kwenye daraja hilo zimeanguka na daraja hilo hapo Nchini Marekani.

View: https://www.instagram.com/reel/C4-EQdoNcR2/?igsh=YnUwYWd0cng1aTdv

Daraja la Baltimore ni moja ya miundo maarufu ya kivuko katika jiji la Baltimore, katika jimbo la Maryland, Marekani. Lilijengwa mwaka 1957 na linavuka Mto wa Patapsco. Daraja hili linaunganisha sehemu mbili za jiji na ni sehemu muhimu ya miundombinu ya usafiri katika eneo hilo. Ni moja ya vivuko maarufu vinavyohudumia trafiki ya gari kwa jumla ya magari zaidi ya 6,000 kwa siku.

Sisi wapalestina na warusi wa nyanchenche tumefurahi sana
 
Sisi wapalestina na warusi wa nyanchenche tumefurahi sana
Huwezi kufurahia maafa ya binadamu wenzako,Hivi mdivyo Mungu anavyoonyesha jinsi nchi ya Amerika,inavyosababisha kuwepo na vikundi visivyo vya amani,na yeye wakati wowte yaweza kumtokea maafa,bila kutegemea.Amani duniani ni muhimu sana.
 
DALI CONTAINER SHIP ikitoka Baltimore kuelekea Colombo, Sri Lanka. Inapeperusha bendera ya Singapore. Imekodishwa na kampuni ya Synergy Group huku kampuni ya Maersk ikiiendesha kwa kukodi.
  • Urefu 300 meters (viwanja 3 vya mpira wa miguu)
  • Upana 48 meters
  • Mzigo container 4,600 (uwezo wake wa juu kabisa container 10,000)
  • Mabaharia 22

Mmiliki wa meli ya makasha / container bima yake inahusika vipi kushughulika ikitokea wakati wa kuingiza meli ikiwa inaendeshwa na master/pilot wa bandari, captain wa meli kugonga gati, daraja, kuharibu mali ktk container au ajali baharini maji makuu n.k

Julius Nguhulla* mtaalamu mbobezi wa shipping anafafanua masharti, vigezo na kanuni hizo za IACS zilizowekwa katika sekta ya shipping

View: https://m.youtube.com/watch?v=3VNOwOo253o
Source : Nguhulla TV

Julius Nguhulla*(FICS) Chartered Professional In Shipping, A Member of World Shipping Board, MBA in Shipping.
 
Back
Top Bottom