Ubungo Mataa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2018
- 541
- 986
Hivi siku hizi kuna kukosa tena?Namba zote ulizowahi kupewa na mademu uliwatamani
ulipiga ngapi?
Ulisave ngapi?
Ulikumbuka ngapi?
Ulifanikiwa ngapi?
Ulizofanikiwa
Ngapi zilikuwa na ladha?
Ngapi zilikuwa pasua?
Ngapi ulijutia?😂
Kuwa mkweli mbingu zinakuona🤣
View attachment 3663340
Kumbe tulokimbia dini tupo wengi!!!! Si mbaya,majambazi simama hawa hapa 😁😁View attachment 3663542
Tusidanganyane😅Walaa sipendi hata kidogo 😅
Namaanisha kabisa, fungu la kukosa, mlango wa saba! Zipo cheap ila sio kwa kila mtu..Sasa mbona kauli yako ya mwanzo na ya pili zinapingana legend, au unatukoga tu hapa ukimaanisha vice versa.
Unabishaje labda? Mbona kuna watu wako hivyo kabisa.. hujatembea?Tusidanganyane😅
mhh toka hapa!Namaanisha kabisa, fungu la kukosa, mlango wa saba! Zipo cheap ila sio kwa kila mtu..
Manina. Kuvua nguo tu,kumbe kajitu kazima, na maziwa yashakuwa malala hoi(kama ndala za lodge). Hata mpaka leo najuta hela yangu ningenunua tu mtaani size nilochagua mwenyewe.😂Sasa na wewe kweli mpaka Phantom!!!! Ulitakiwa mshuke Mwendakulima,upande Bajaj ukachuke lodge pale uwanjani.
Terminus-Inn, ingekufaa zaidi.
Nasra popote ulipo,hongera zako. Siku moja tunatoka Kahama,nimekaa na kamama,ila ukikaona kwenye mtandio,kama kadada. Mpaka Morogoro,tishaelewana na kuliwa. Kufika Mbezi,tukashuka,tukazama lodge kwanza. Manina. Kuvua nguo tu,kumbe kajitu kazima, na maziwa yashakuwa malala hoi(kama ndala za lodge). Hata mpaka leo najuta hela yangu ningenunua tu mtaani size nilochagua mwenyewe.
Sijawahi kuchukua namba , nikafanikiwa kuipata pisi zote ni failedNamba zote ulizowahi kupewa na mademu uliwatamani
ulipiga ngapi?
Ulisave ngapi?
Ulikumbuka ngapi?
Ulifanikiwa ngapi?
Ulizofanikiwa
Ngapi zilikuwa na ladha?
Ngapi zilikuwa pasua?
Ngapi ulijutia?😂
Kuwa mkweli mbingu zinakuona🤣
View attachment 3663340
😅😅.. Chukua mtu na sio nambaSijawahi kuchukua namba , nikafanikiwa kuipata pisi zote ni failed
Shukuru Mungu umeepushiwa mengi😀Sijawahi kuchukua namba , nikafanikiwa kuipata pisi zote ni failed
Unabishaje labda? Mbona kuna watu wako hivyo kabisa.. hujatembea?
Nataka kutembea na wewe nijifunze😅Unabishaje labda? Mbona kuna watu wako hivyo kabisa.. hujatembea?
Napenda watoto wazuri kama hivi yaani, so kuchezea vya mbavu kawaida sana. I'm selective ndio maana...mnaita high class, nikiichapa naenda kujipongeza kwa Pepsi ya baridi sana😅😅mhh toka hapa!