S Soki JF-Expert Member Jan 5, 2011 1,303 279 Nov 29, 2012 #1 Dah! Kweli Bujibuji kapamba moto! Threads hizo kama 9 alizozianzisha kwa leo tuu, ni mbali posts alizopost kwa leo! Naona hawa ndo wanaochangamsha JF Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Dah! Kweli Bujibuji kapamba moto! Threads hizo kama 9 alizozianzisha kwa leo tuu, ni mbali posts alizopost kwa leo! Naona hawa ndo wanaochangamsha JF
King Kong III JF-Expert Member Oct 15, 2010 51,672 68,637 Nov 29, 2012 #2 Haaaaaaa zika likwe likwe...
Nicas Mtei JF-Expert Member Dec 21, 2010 11,556 7,085 Nov 29, 2012 #5 Always online. Namkubali sana Bujibuji Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Madame B JF-Expert Member Apr 9, 2012 29,967 32,265 Nov 29, 2012 #8 Angel Msoffe said: Leo hajaenda job Yuko off Click to expand... nakupa LIKE ya maandishi.
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Feb 4, 2009 74,871 155,834 Nov 29, 2012 #9 kuna watu 28 wote wanatumia username moja ya bujibuji
Bishanga JF-Expert Member Jun 29, 2008 15,323 10,063 Nov 30, 2012 #10 bujibuji for president 2015 meeeeeeen!
CharmingLady JF-Expert Member Apr 16, 2012 18,253 12,869 Nov 30, 2012 #11 Bujibuji said: kuna watu 28 wote wanatumia username moja ya bujibuji Click to expand... kuna kaukweli kwa mbaaali kama mita 2000!
Bujibuji said: kuna watu 28 wote wanatumia username moja ya bujibuji Click to expand... kuna kaukweli kwa mbaaali kama mita 2000!
Arushaone JF-Expert Member Mar 31, 2012 15,136 13,258 Nov 30, 2012 #12 Bujibuji nakuvalia kamtura na nakuvalia kofia! wee mkareee! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Watu8 Platinum Member Feb 19, 2010 70,958 93,939 Nov 30, 2012 #13 Hizo threads kaziandika baada ya kuzinduka toka relini alikokua amelala...
Kaizer Platinum Member Sep 16, 2008 25,320 17,823 Nov 30, 2012 #14 mi Bujibuji nimemvulia kofie ile thread yake ya kutongoza kijanja ya jana/juzi kule MMU, eti kwa wadada wote wa MMU aliokwish kutana nao..... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
mi Bujibuji nimemvulia kofie ile thread yake ya kutongoza kijanja ya jana/juzi kule MMU, eti kwa wadada wote wa MMU aliokwish kutana nao.....
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Feb 4, 2009 74,871 155,834 Nov 30, 2012 #15 Kaizer said: mi Bujibuji nimemvulia kofie ile thread yake ya kutongoza kijanja ya jana/juzi kule MMU, eti kwa wadada wote wa MMU aliokwish kutana nao..... Click to expand... Kaizer acha bwana, mambo ya kuvujishiana ramani za vita sio mambo mazuri. Kila mtu akiwa na ramani yangu ya vita, nitaishije mjini? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Kaizer said: mi Bujibuji nimemvulia kofie ile thread yake ya kutongoza kijanja ya jana/juzi kule MMU, eti kwa wadada wote wa MMU aliokwish kutana nao..... Click to expand... Kaizer acha bwana, mambo ya kuvujishiana ramani za vita sio mambo mazuri. Kila mtu akiwa na ramani yangu ya vita, nitaishije mjini?
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Feb 4, 2009 74,871 155,834 Nov 30, 2012 #16 watu8 said: Hizo threads kaziandika baada ya kuzinduka toka relini alikokua amelala... Click to expand... Kwani nilizinduka basi??? Mi niliweka ngumu hadi garimoshi la Mwakyembe likashindwa kupita. Hawa watoto ndio waliokuja niondoa pale.
watu8 said: Hizo threads kaziandika baada ya kuzinduka toka relini alikokua amelala... Click to expand... Kwani nilizinduka basi??? Mi niliweka ngumu hadi garimoshi la Mwakyembe likashindwa kupita. Hawa watoto ndio waliokuja niondoa pale.
Judgement JF-Expert Member Nov 13, 2011 10,327 4,780 Nov 30, 2012 #17 Bishanga said: bujibuji for president 2015 meeeeeeen! Click to expand... Ooooh! Maa'maaa!