Kwa leo tuu, @Bujibuji ameanzisha threads takaribani 9

Soki

JF-Expert Member
Jan 5, 2011
1,303
279
Dah! Kweli Bujibuji kapamba moto!

Threads hizo kama 9 alizozianzisha kwa leo tuu, ni mbali posts alizopost kwa leo!

Naona hawa ndo wanaochangamsha JF
 
Last edited by a moderator:
mi Bujibuji nimemvulia kofie ile thread yake ya kutongoza kijanja ya jana/juzi kule MMU, eti kwa wadada wote wa MMU aliokwish kutana nao.....
 
Last edited by a moderator:
Hizo threads kaziandika baada ya kuzinduka toka relini alikokua amelala...
Kwani nilizinduka basi???
Mi niliweka ngumu hadi garimoshi la Mwakyembe likashindwa kupita.
Hawa watoto ndio waliokuja niondoa pale.

polisi.jpg
 
Back
Top Bottom