Ndokeji
JF-Expert Member
- Jun 9, 2011
- 698
- 475
- Thread starter
- #21
mkuu ulichoadika ni ukweli mtupu kupunguza mishahara na haya maisha ni kuharibu utendaji kaziSerikali inaongeza mapato kwa kukusanya kodi,sio Kupunguza mishahara,hata wakati wa vita ya Uganda na baada ya vita Mwalimu nyerere hakupunguza mishahara,bali alijitahidi kuongeza uzalishaji Mali,
Tunataka kumsikia Mkuu akiongelea Mbuga za wanyama, migodi ya madini na gesi,kila siku watumishi,kila siku watumishi,kwenye mapesa mengi hagusi