Uchaguzi 2020 Kwa kupinga Uwanja wa Ndege Chato iliyo Geita na kupinga uwepo wa Mbuga, wana Geita wote msimpe Lissu na CHADEMA kura hata moja

Akiondoka wanachato watatumia kuanikia mazao na kuchungia plus kuchezea mpira
Kaangalie mji unavyokua kwa kasi kaangalie Aina za nyumba zinazojengwa kule Chato hoteli zilizoko kule unaongea utafikiri Chato wanaishi maskini
 
Uwanja wa ndege tulipiga kelele humu ujengwe Geita mjini

Hamkusikia why? Sasa hivi mnaanza propaganda ngoja muone watu wa Geita kama watakubaliana na huu upuuzi.
Uongo.mumekuwa mkipinga usijengwe kwenye huo mkoa kila kitu kikifanyika Geita mnapinga lakini kikifanyika kwenu kikimanjaro Hapo sawa !!!

Mumepinga uwanja mukahamia Hadi pirini kupinga mbuga isianzishwe Geita
 
Sasa hivi Chadema tutaelewana kila mlichokuwa mnapinga mtavuna sanduku la kura huu Dio Wakati wa kuwapa haki yenu na mshahara wenu
 
Hovyo kabisa, inamaana kuwa wale wananchi ambao Magufuli hajajenga uwanja wa ndege kwao,na hajawapelekea mbuga kwao wasimpe kura Magufuli hata moja?, kwa taarifa yako hata hiyo mbuga siyo ya Geita wala Chato imeporwa kutoka mkoa wa Kagera.
 
Mkoa wowote maendeleo yakienda haitakiwi kupinga ukizingatia kuwa maendeleo hayo yanatokana na sehemu Ndogo tu ya Kodi zinazokusanywa mkoani Kwao Wala sio kwamba wanatumia sehemu ya Kodi zilizokusanywa mikoa mingine

Ndio maana Hakuna aliyepinga kuwa kwa Nini kuwe na viwanja vya ndege viwili karibu karibu tu Cha Kilimanjaro Airport na kile Cha Arusha sababu Ni sehemu ya mapato Yao ya Kodi za utalii

Kupinga wazi kwa kuutaja mkoa Ni ubaguzi was Hali ya juu wa Chadema Ina maana Wana hasira kisa Raisi katokea Geita wanamchukia Raisi Hadi hasira zao wanahamishia kwa wakazi wa Geita

Jibu lao Ni kuwanyima kura
 
Kodi ya ALMASI ya SHINYANGA ingetumika Shinyanga, mji huo usingekuwa hivyo leo. Uwanja wa chato ni kwa FAIDA binfsi za mkazi mmoja wa chato.
Ile ilikuwa mikataba ya madini ya kinyonyaji pesa zote ziliondoka kwenda nje nchi na watu wa shinyanga walikuwa hawaambulii kitu
 
Lissu na CHADEMA wamekuwa wanapinga wazi uwepo uwanja wa ndege Chato ambao ni Mji wa Geita.

Wanaona wana Geita hawastahili kuwa na uwanja wa ndege pamoja na kuchangia Kodi mabilioni ya pesa za kigeni kupitia migodi mikubwa ya dhahabu Kama Geita Gold Mine nk

Kwa kupinga Geita kuwa Wana Geita hawafai na hawastahili kuwa na uwanja wa ndege wala mbuga kwa sababu kwa Lissu wana Geita hawastahili kupata maendeleo ikiwemo uwanja wa ndege na mbuga nawaomba kwa umoja wenu mnyimeni Lisu kura na susieni mikutano yote y CHADEMA kuonyesha wazi kuchukizwa na Upinzani wao dhidi ya mkoa wa Geita.

Mkoa mzima shikamaneni kwa hili kampeni ifanyike nyumba kwa nyumba kwa mtu kueleza kuwa CHADEMA Ni chama pinzani cha wazi kisichotaka mkoa wa Geita uwe na maendeleo kwa kuutaja kwa jina kabisa. Hata mbuga iliyoanzisha ya wanyama Lissu na CHADEMA hawataki wanaipinga hawataki Geita iwe Mbuga.

Kwa hili wana Geita wote bila kujali chama au itikadi wakiwemo wana CHADEMA walioko Geita ikataeni CHADEMA kwenye sanduku la kura kwa sababu hata kama ni chama chenu lakini kinautenga mkoa wenu wa Geita usiwe na maendeleo kinawatakia mabaya msikipe kura sababu chama kinabidi kipende wanachama wake wote maeneo Yao wapate maendeleo.

Shime shime shime wana Geita asipewe kura Lissu wala CHADEMA
Tumpe rungwe atupatie ubwabwa, wewe tangu ndege zimenunu;iwa, unajua kama zina faida ama hasara?
 
Eti watu wa Geita wasimpe kura?!!, Kwamba Kuna mtu wa Geita ananufaika na huo uwanja?? Hata waliopo chato hawajui maana ya huo uwanja kujengwa pale!!. Ni upuuzi km wa mobuttu huo.
Mobutu mkoa aliojenga ulikuwa hauingixi chochote kwenye pato la Kodi ya Taifa usilinganishe na mkoa wa Geita.Mkoa wa Geita Ni Giant kwenye kuingiza Pato la pesa za kigeni kuliko Singida anakotoka Tundu Lisu
 
Huo uwanja uliojengwa bila kifuata process za manunuzi!! Uwanja ambao Bunge letu halikupitisha hata senti yake ya ujenzi. Wana Geita hawawezi kubariki dhambi hii, dhuruma hii!!
 
Lissu na CHADEMA wamekuwa wanapinga wazi uwepo uwanja wa ndege Chato ambao ni Mji wa Geita.

Wanaona wana Geita hawastahili kuwa na uwanja wa ndege pamoja na kuchangia Kodi mabilioni ya pesa za kigeni kupitia migodi mikubwa ya dhahabu Kama Geita Gold Mine nk

Kwa kupinga Geita kuwa Wana Geita hawafai na hawastahili kuwa na uwanja wa ndege wala mbuga kwa sababu kwa Lissu wana Geita hawastahili kupata maendeleo ikiwemo uwanja wa ndege na mbuga nawaomba kwa umoja wenu mnyimeni Lisu kura na susieni mikutano yote y CHADEMA kuonyesha wazi kuchukizwa na Upinzani wao dhidi ya mkoa wa Geita.

Mkoa mzima shikamaneni kwa hili kampeni ifanyike nyumba kwa nyumba kwa mtu kueleza kuwa CHADEMA Ni chama pinzani cha wazi kisichotaka mkoa wa Geita uwe na maendeleo kwa kuutaja kwa jina kabisa. Hata mbuga iliyoanzisha ya wanyama Lissu na CHADEMA hawataki wanaipinga hawataki Geita iwe Mbuga.

Kwa hili wana Geita wote bila kujali chama au itikadi wakiwemo wana CHADEMA walioko Geita ikataeni CHADEMA kwenye sanduku la kura kwa sababu hata kama ni chama chenu lakini kinautenga mkoa wenu wa Geita usiwe na maendeleo kinawatakia mabaya msikipe kura sababu chama kinabidi kipende wanachama wake wote maeneo Yao wapate maendeleo.

Shime shime shime wana Geita asipewe kura Lissu wala CHADEMA
kwa wapenda katiba kuipenda nakuilinda katiba wa geita chato najuwa wengiwenu mnaheshim katiba msiipe kura ccm namgombea wetu japo nami ni ccm
 
Hizo ndege wanapanda? kuna timu hapo Chato?
 
Back
Top Bottom