Kwa kipimo hiki naghairi ndoa, sioi tena

Baada ya kuweka mtego kwa mchumba wangu nimegundua huko mbeleni naweza kumchoma kwa gunia la mkaa nikaishiwa kufungwa jela

Zikiwa zimebaki siku chache tuhitimishe safari yetu ya uchumba na kuingia kwenye ndoa takatifu lakini naamua kuvunja mahusiano ,najua ndugu jamaa na marafiki watashangaa lakini nahisi kuua huko mbeleni

Iko hivi mwaka mmoja na miezi miwili tuliingia kwenye mahusiano na binti au mwanamke miaka 25 kwa lengo la kuoana na ilikuwa imebaki miezi 4 tufunge ndoa

Najua kwa umri huo hawezi kukosa ex maana si bikira na sikuwahi kumuuliza historia ya maex wake maana haileti maana

Siku moja niliamua kupitia account zake za mitandao ya kijamii ingawa niliperuzi kwa comments za marafiki zake walizokuwa wakizitoa alipokuwa akipost picha nikagundua kupitia comment zile jamaa Fulani atakuwa ex wake maana zile comments zilikuwa si za kawaida

Basi nikachukua picha ya yule jamaa nikatengeneza account whasap kwa namba nyingine ya asiyoijua kuwa ni yangu

Nikajifanya ex wake nikamtext akajibu tena kwa kuniita jina la ex wake huyo si ni baada ya kuona picha yake

Akawa analaumu kwa nini nilimuacha bila sababu na nataka nini kwake?

Nikajifanya kumuomba msamaha na nikimkumbusha tumetoka mbali naye,hakuendelea kujibu akakaa kimya

Turudi Mimi mwenyewe ili niamini huyu mwanamke ana msimamo na hawezi kurudiana na ex wake nikafanya jambo

Jambo lenyewe nikasafiri ghafla na sikumuaga na nikazima simu na sikuwa online kwenye mitandao ya kijamii

Usiku nikajifanya ex wake nikaanza kukomaa turudiane,akawa anakataa,nilikomaa naye kuanzia saa 5 hadi saa 9 akawa amekataa

Katika maongezi yale ya siku hiyo ndo nikagundua jamaa amewahi kumpiga ujauzito wakachomoa

Basi kesho yake saa 8 mchana nikamuona online nikamfuata tena ,awamu hii hakuwa na nyodo akawa anajibu kwa ulaini

Nikachochea moto wa kubembeleza ,akanambia atanijibu baadae

Ikawa usiku kama saa 7 hivi nikawa namuona online muda mrefu bila kumtext ,akanitext "Mambo" nikareply haraka sana,nikamuuliza hujalala akajibu bado

Nikarudi kwenye mada ya kurudiana .Daah! Unajua akakubali na amesahau kuwa ni mke wa mtu wa hivi karibuni

Ila akanipa masharti kuwa tutarudiana na hata kama anaolewa mapenzi yetu yataendelea kama kawaida ila niwe na nidhamu kwenye ndoa yao,nimheshim mume wake,nikifanya hivyo hawataachana licha ya kuolewa,nikamwambia poa ,akaomba nimpe mchango wa harusi kama laki moja .

Moyo wangu umeamia sana kwa huyu mwanamke,nimerudi mjini nikawa hewani na kuomba msamaha wa kupotea siku mbili ila nawaza sana

Naamua kuvunja mahusiano .

Ushauri wenu jamani,kumbe kuna umuhimu wa kuoa bikira ,kumbe maex hawaachani?

We jamaa mi mpumbavu, shwaini kabisa, takataka kabisa, punguani waheeed.
 
Sasa wewe ndo chizi, umelazimisha kukipata ulichokuwa unakitaka, mwanaume bizy kumtongoza mwanamke wako kwa jina la x wake badala ya kuspend time kujenga bond na mwenzio!!

mbona mnapendaga kucomplicate maisha ivo jamniiiiii,

aghhhhhhh..............
Ila inauma sana
 
Wakiitwa mbele watu wenye akili usitoke, maana huna akili.
 
Kama unampenda usingekuwa unamuwekea mitego hivo.Labda na wewe una makoloni yako yamekusimamia yaliposikia ndoa ndiyo maana unamtafutia sababu huyo binti
 
Sasa ndio unajua leo?
 
Leo
Bi dada....baby ex mambo...

Ex.....poa,leo kulikoni umenitafuta??

Bi dada.....aaaah nawe acha utani,nimekumiss sana

Ex,,,,,mmmmh,kwahiyo tunafanyaje?

Bi dada....nakusikiliza my

Ex...njoo nyumbani,tukumbushie,nikupe mambo hadi umsahau hilo jamaa lako

Bi dada......hahaha nawe mmmmh,nakuja ........

Nimewaza tu yaani
 
Mbona kama kunajambo unalolitafuta...nadhani hivyo sio vipimo sahihi vya mwanamke wa kumuoa,wanawake wako weak linapokuja swala kama hilo,ni jukumu la mwanaume kumlinda mwanamke hasa kama mwanamke anajielewa ili asiendelee kushawishika.
Mkuu unapoteza muda wako kulinda mtu mwingine,mwenye maamuzi na utashi wake binafsi?

Kikubwa ambacho mtoa mada anapaswa kufahamu Ni kuwa wanawake Ni dhaifu Sana,ukiyatafakari na kuyafatilia Mambo ya wanawake katika mahusiano ya kindoa utaishia kuugua presha!!

Wanawake wengi walio katika ndoa Ni very cheap Sana kuwapata,haihitaji mbwembwe, na akikukataa jua ya kwamba huenda amekuona wewe sio type yake lakini sio kwa kigezo Cha kulinda ndoa,hakika wanawake wengi Ni wachepukaji hasa!!

Hivyo ,nakushauri ufanye maamuzi yaliyo mazuri kwa mstakabari wa maisha yako,lakini tambua kwa miaka yangu hii,nimekuwa nikijaribu kufuatilia nini mwanamke anapenda toka kwa mwanamme ,Hadi sasa sijapata jibu sahihi,je ni pesa? ,True love? ,Hard https://jamii.app/JFUserGuide? Au Kuna kingine,ndoa yataka moyo.
 
Thread hii ni moja ya matokeo ya ule utafiti kuonensha watu wengi akili zishakuwa fyatu...

Umepata unachokitaka hivyo tambaa mbele
 
Baada ya kuweka mtego kwa mchumba wangu nimegundua huko mbeleni naweza kumchoma kwa gunia la mkaa nikaishiwa kufungwa jela

Zikiwa zimebaki siku chache tuhitimishe safari yetu ya uchumba na kuingia kwenye ndoa takatifu lakini naamua kuvunja mahusiano ,najua ndugu jamaa na marafiki watashangaa lakini nahisi kuua huko mbeleni

Iko hivi mwaka mmoja na miezi miwili tuliingia kwenye mahusiano na binti au mwanamke miaka 25 kwa lengo la kuoana na ilikuwa imebaki miezi 4 tufunge ndoa

Najua kwa umri huo hawezi kukosa ex maana si bikira na sikuwahi kumuuliza historia ya maex wake maana haileti maana

Siku moja niliamua kupitia account zake za mitandao ya kijamii ingawa niliperuzi kwa comments za marafiki zake walizokuwa wakizitoa alipokuwa akipost picha nikagundua kupitia comment zile jamaa Fulani atakuwa ex wake maana zile comments zilikuwa si za kawaida

Basi nikachukua picha ya yule jamaa nikatengeneza account whasap kwa namba nyingine ya asiyoijua kuwa ni yangu

Nikajifanya ex wake nikamtext akajibu tena kwa kuniita jina la ex wake huyo si ni baada ya kuona picha yake

Akawa analaumu kwa nini nilimuacha bila sababu na nataka nini kwake?

Nikajifanya kumuomba msamaha na nikimkumbusha tumetoka mbali naye,hakuendelea kujibu akakaa kimya

Turudi Mimi mwenyewe ili niamini huyu mwanamke ana msimamo na hawezi kurudiana na ex wake nikafanya jambo

Jambo lenyewe nikasafiri ghafla na sikumuaga na nikazima simu na sikuwa online kwenye mitandao ya kijamii

Usiku nikajifanya ex wake nikaanza kukomaa turudiane,akawa anakataa,nilikomaa naye kuanzia saa 5 hadi saa 9 akawa amekataa

Katika maongezi yale ya siku hiyo ndo nikagundua jamaa amewahi kumpiga ujauzito wakachomoa

Basi kesho yake saa 8 mchana nikamuona online nikamfuata tena ,awamu hii hakuwa na nyodo akawa anajibu kwa ulaini

Nikachochea moto wa kubembeleza ,akanambia atanijibu baadae

Ikawa usiku kama saa 7 hivi nikawa namuona online muda mrefu bila kumtext ,akanitext "Mambo" nikareply haraka sana,nikamuuliza hujalala akajibu bado

Nikarudi kwenye mada ya kurudiana .Daah! Unajua akakubali na amesahau kuwa ni mke wa mtu wa hivi karibuni

Ila akanipa masharti kuwa tutarudiana na hata kama anaolewa mapenzi yetu yataendelea kama kawaida ila niwe na nidhamu kwenye ndoa yao,nimheshim mume wake,nikifanya hivyo hawataachana licha ya kuolewa,nikamwambia poa ,akaomba nimpe mchango wa harusi kama laki moja .

Moyo wangu umeamia sana kwa huyu mwanamke,nimerudi mjini nikawa hewani na kuomba msamaha wa kupotea siku mbili ila nawaza sana

Naamua kuvunja mahusiano .

Ushauri wenu jamani,kumbe kuna umuhimu wa kuoa bikira ,kumbe maex hawaachani?
As far umefanya mwenyewe. Muonyeshe kuwa ni wewe mwenyewe ndo ulikuwa unamzingua. Afu mwambie sasa unajua. Huyu utamshika masikio hawezi furukuta tena. Coz wakati wote atajua kuwa wewe unamfuatilia hatakuwa na amani tena. Na ataogopa sana. Na umaweza ona ulivyo tumia nguvu kubwa. Sioni kama huyo mwanamke ni wa hivyo. Na uzuri wewe umejiridhisha. Huna haja ya kumuacha.
 
Mkuu unapoteza muda wako kulinda mtu mwingine,mwenye maamuzi na utashi wake binafsi?

Kikubwa ambacho mtoa mada anapaswa kufahamu Ni kuwa wanawake Ni dhaifu Sana,ukiyatafakari na kuyafatilia Mambo ya wanawake katika mahusiano ya kindoa utaishia kuugua presha!!

Wanawake wengi walio katika ndoa Ni very cheap Sana kuwapata,haihitaji mbwembwe, na akikukataa jua ya kwamba huenda amekuona wewe sio type yake lakini sio kwa kigezo Cha kulinda ndoa,hakika wanawake wengi Ni wachepukaji hasa!!

Hivyo ,nakushauri ufanye maamuzi yaliyo mazuri kwa mstakabari wa maisha yako,lakini tambua kwa miaka yangu hii,nimekuwa nikijaribu kufuatilia nini mwanamke anapenda toka kwa mwanamme ,Hadi sasa sijapata jibu sahihi,je ni pesa? ,True love? ,Hard JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala Au Kuna kingine,ndoa yataka moyo.
Na hakika hutapata mkuu umenena vema
 
Baada ya kuweka mtego kwa mchumba wangu nimegundua huko mbeleni naweza kumchoma kwa gunia la mkaa nikaishiwa kufungwa jela

Zikiwa zimebaki siku chache tuhitimishe safari yetu ya uchumba na kuingia kwenye ndoa takatifu lakini naamua kuvunja mahusiano ,najua ndugu jamaa na marafiki watashangaa lakini nahisi kuua huko mbeleni

Iko hivi mwaka mmoja na miezi miwili tuliingia kwenye mahusiano na binti au mwanamke miaka 25 kwa lengo la kuoana na ilikuwa imebaki miezi 4 tufunge ndoa

Najua kwa umri huo hawezi kukosa ex maana si bikira na sikuwahi kumuuliza historia ya maex wake maana haileti maana

Siku moja niliamua kupitia account zake za mitandao ya kijamii ingawa niliperuzi kwa comments za marafiki zake walizokuwa wakizitoa alipokuwa akipost picha nikagundua kupitia comment zile jamaa Fulani atakuwa ex wake maana zile comments zilikuwa si za kawaida

Basi nikachukua picha ya yule jamaa nikatengeneza account whasap kwa namba nyingine ya asiyoijua kuwa ni yangu

Nikajifanya ex wake nikamtext akajibu tena kwa kuniita jina la ex wake huyo si ni baada ya kuona picha yake

Akawa analaumu kwa nini nilimuacha bila sababu na nataka nini kwake?

Nikajifanya kumuomba msamaha na nikimkumbusha tumetoka mbali naye,hakuendelea kujibu akakaa kimya

Turudi Mimi mwenyewe ili niamini huyu mwanamke ana msimamo na hawezi kurudiana na ex wake nikafanya jambo

Jambo lenyewe nikasafiri ghafla na sikumuaga na nikazima simu na sikuwa online kwenye mitandao ya kijamii

Usiku nikajifanya ex wake nikaanza kukomaa turudiane,akawa anakataa,nilikomaa naye kuanzia saa 5 hadi saa 9 akawa amekataa

Katika maongezi yale ya siku hiyo ndo nikagundua jamaa amewahi kumpiga ujauzito wakachomoa

Basi kesho yake saa 8 mchana nikamuona online nikamfuata tena ,awamu hii hakuwa na nyodo akawa anajibu kwa ulaini

Nikachochea moto wa kubembeleza ,akanambia atanijibu baadae

Ikawa usiku kama saa 7 hivi nikawa namuona online muda mrefu bila kumtext ,akanitext "Mambo" nikareply haraka sana,nikamuuliza hujalala akajibu bado

Nikarudi kwenye mada ya kurudiana .Daah! Unajua akakubali na amesahau kuwa ni mke wa mtu wa hivi karibuni

Ila akanipa masharti kuwa tutarudiana na hata kama anaolewa mapenzi yetu yataendelea kama kawaida ila niwe na nidhamu kwenye ndoa yao,nimheshim mume wake,nikifanya hivyo hawataachana licha ya kuolewa,nikamwambia poa ,akaomba nimpe mchango wa harusi kama laki moja .

Moyo wangu umeamia sana kwa huyu mwanamke,nimerudi mjini nikawa hewani na kuomba msamaha wa kupotea siku mbili ila nawaza sana

Naamua kuvunja mahusiano .

Ushauri wenu jamani,kumbe kuna umuhimu wa kuoa bikira ,kumbe maex hawaachani?
Umefanya uchunguzi na ukathibitisha, ila bado unaomba ushauri kwa jinsi ninavyo kuona kuna siku utamfumania na bado utakuja huku kutuomba ushauri.

Haya muoe.
 
Tuache unafiki ww mwenyewe ex wako akitaka urudiane unaweza kukubal na ndoa huiwez

Dada mbona umejibu vizuri hivi jmn! Nimekuhusudu yoga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom