Kwa kipimo hiki naghairi ndoa, sioi tena

Kwa kipimo hiki naghairi ndoa, sioi tena

Leo
Bi dada....baby ex mambo...

Ex.....poa,leo kulikoni umenitafuta??

Bi dada.....aaaah nawe acha utani[emoji7],nimekumiss sana

Ex,,,,,mmmmh,kwahiyo tunafanyaje?

Bi dada....nakusikiliza my[emoji7]

Ex...njoo nyumbani,tukumbushie,nikupe mambo hadi umsahau hilo jamaa lako

Bi dada......hahaha nawe mmmmh,nakuja ........

Nimewaza tu yaani[emoji2902][emoji2902][emoji2902]
Kiubwete ubwete mno yani jamaa anatatua marinda ya X
 
Saa 5 mpaka saa 9 halafu ukarudia na kesho yake, nia na lengo lako ni nini?
Kuwa na malengo unapotaka kuoa, siku hizi tunaoa ili watulelee na kutuongezea watoto tuu.....
 
Tuna msemo unasema kwamba La kujitakia halina majuto.

Kila la kheri mkuu
 
We jamaa ni boya kinyama asee Yan huna kazi za msingi za kufanya Hadi ukawaza huo upumbavu ..utakufa mapema sana kwa akili hizo
 
Nafikiri ulikuwa unatafuta sababu ya kumuacha na umeshaipata,, sasa tukushauri nn.!???

Pia Jamaa hapo atakula huyo demu kiulaini sana..

Halafu hata yeye pia akijifanya demu akakutongoza pia huwez kuchomoa... So umefanya utoto..

Pambana na hali yako,,, na hata ukipata bikira utagongewa tu
 
Mbona kama kunajambo unalolitafuta...nadhani hivyo sio vipimo sahihi vya mwanamke wa kumuoa,wanawake wako weak linapokuja swala kama hilo,ni jukumu la mwanaume kumlinda mwanamke hasa kama mwanamke anajielewa ili asiendelee kushawishika.
Hajui kuwa mwanamke ni mtoto ama anadanganywa ama kushawishiwa
 
Bigup umefanya vizuri sana.
1. Kila mwanaume ana wish kujua weakness ya mpenzi wake.
2. Backdoor ni nzuri sana sema wengine hawana uwezo wa kufanya uchunguzi kama huo.
3. Hata mimi ilinisaidia sana kwa asilimia kubwa. Bila hivyo ningelea watoto si wangu, nilikuwa nahudumia mke asiyenipenda, pia ningeuliwa bila kujua, n.k.
4. Kuwa na mpenzi usiye mchunguza ni sawa na nchi kama Tz kuwa na Jeshi(JWTZ) bila Intelijensia(TISS).

n.b mwanaume ambaye yupo kwenye mahusiano na hamchunguzi mpenzi/mke wake yupo kwenye wakati mgumu sana hapo baadaye. Hivi viumbe ni zaidi ya mnavyo vielewa.
 
Mm sitaki shida ntaona mcharuko ili tusisumbuane maana ata mm mwanamke mmoja swez kaa nae
 
Alikuwa akimla tigo?

Hayo ni machache sikuandika yote ,nilivyokuwa namuingia kisaikolojia alidhani ni ex wake na kueleza yote waliyokuwa wanayafanya
 
Back
Top Bottom