Kwa kipimo hiki naghairi ndoa, sioi tena

Kwanza wewe ndio mvamizi alafu unajifanya una wivu!
Unajua bikra alitolewa na nani?badala ya kumlinda na kumpenda unamuwekea vimitego vya kijinga,sasa tambua wewe ndio mjinga juu ya ulichokifanya
 
Ulichokitafuta umekipata pimbi wewe. Nikuulize we hupashi viporo vyako? Kwanza ameonesha misimamo kiasi akili yako ikikua utaelewa

Luka 6:41-45

Luka 6:41-45 BHN

Kwa nini wakiona kibanzi jichoni mwa ndugu yako, na papo hapo huioni boriti iliyoko jichoni mwako? Au, wawezaje kumwambia ndugu yako, ‘Ndugu, ngoja nikuondoe kibanzi jichoni mwako,’ na huku huioni boriti iliyomo katika jicho lako mwenyewe? Mnafiki wewe! Toa kwanza boriti iliyomko jichoni mwako, na hapo ndipo utaona sawasawa kiasi cha kuweza kuondoa kibanzi kilicho jichoni mwa ndugu yako. “Mti mzuri hauzai matunda mabaya, wala mti mbaya hauzai matunda mazuri. Watu huutambua mti kutokana na matunda yake. Ni wazi kwamba watu hawachumi tini katika michongoma, wala hawachumi zabibu katika mbigili. Mtu mwema hutoa yaliyo mema kutoka katika hazina bora iliyomo moyoni mwake; na mtu mbaya hutoa yaliyo mabaya kutoka katika hazina mbaya iliyo moyoni mwake, kwa maana mtu huongea kutokana na yale yaliyojaa moyoni mwake.
 
Sasa wewe ndo chizi, umelazimisha kukipata ulichokuwa unakitaka, mwanaume bizy kumtongoza mwanamke wako kwa jina la x wake badala ya kuspend time kujenga bond na mwenzio!!

Mbona mnapendaga kucomplicate maisha ivo jamniiiiii,

aghhhhhhh..............
Hili toto kenge kabisa na lisioe maana litakufa mapema
 
Yule jamaa ambaye mda si mrefu atagongewa huyu huku njooni mumuone
IMG_20211014_072938.jpg

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Baada ya kuweka mtego kwa mchumba wangu nimegundua huko mbeleni naweza kumchoma kwa gunia la mkaa nikaishiwa kufungwa jela

Zikiwa zimebaki siku chache tuhitimishe safari yetu ya uchumba na kuingia kwenye ndoa takatifu lakini naamua kuvunja mahusiano ,najua ndugu jamaa na marafiki watashangaa lakini nahisi kuua huko mbeleni

Iko hivi mwaka mmoja na miezi miwili tuliingia kwenye mahusiano na binti au mwanamke miaka 25 kwa lengo la kuoana na ilikuwa imebaki miezi 4 tufunge ndoa

Najua kwa umri huo hawezi kukosa ex maana si bikira na sikuwahi kumuuliza historia ya maex wake maana haileti maana

Siku moja niliamua kupitia account zake za mitandao ya kijamii ingawa niliperuzi kwa comments za marafiki zake walizokuwa wakizitoa alipokuwa akipost picha nikagundua kupitia comment zile jamaa Fulani atakuwa ex wake maana zile comments zilikuwa si za kawaida

Basi nikachukua picha ya yule jamaa nikatengeneza account whasap kwa namba nyingine ya asiyoijua kuwa ni yangu

Nikajifanya ex wake nikamtext akajibu tena kwa kuniita jina la ex wake huyo si ni baada ya kuona picha yake

Akawa analaumu kwa nini nilimuacha bila sababu na nataka nini kwake?

Nikajifanya kumuomba msamaha na nikimkumbusha tumetoka mbali naye,hakuendelea kujibu akakaa kimya

Turudi Mimi mwenyewe ili niamini huyu mwanamke ana msimamo na hawezi kurudiana na ex wake nikafanya jambo

Jambo lenyewe nikasafiri ghafla na sikumuaga na nikazima simu na sikuwa online kwenye mitandao ya kijamii

Usiku nikajifanya ex wake nikaanza kukomaa turudiane,akawa anakataa,nilikomaa naye kuanzia saa 5 hadi saa 9 akawa amekataa

Katika maongezi yale ya siku hiyo ndo nikagundua jamaa amewahi kumpiga ujauzito wakachomoa

Basi kesho yake saa 8 mchana nikamuona online nikamfuata tena ,awamu hii hakuwa na nyodo akawa anajibu kwa ulaini

Nikachochea moto wa kubembeleza ,akanambia atanijibu baadae

Ikawa usiku kama saa 7 hivi nikawa namuona online muda mrefu bila kumtext ,akanitext "Mambo" nikareply haraka sana,nikamuuliza hujalala akajibu bado

Nikarudi kwenye mada ya kurudiana .Daah! Unajua akakubali na amesahau kuwa ni mke wa mtu wa hivi karibuni

Ila akanipa masharti kuwa tutarudiana na hata kama anaolewa mapenzi yetu yataendelea kama kawaida ila niwe na nidhamu kwenye ndoa yao,nimheshim mume wake,nikifanya hivyo hawataachana licha ya kuolewa,nikamwambia poa ,akaomba nimpe mchango wa harusi kama laki moja .

Moyo wangu umeamia sana kwa huyu mwanamke,nimerudi mjini nikawa hewani na kuomba msamaha wa kupotea siku mbili ila nawaza sana

Naamua kuvunja mahusiano .

Ushauri wenu jamani,kumbe kuna umuhimu wa kuoa bikira ,kumbe maex hawaachani?
Jinga sana wewe! Unamwingizaje mwenzako majaribuni?
 
Vunja kabisa hayo mahusiano tena kwa shoka......
uje utupe mrejesho am following....
 
Sitaki kujua kama ulilofanya ni jema au baya, naona watu wanakuzodoa kwerikweri... Nakushauri, kama umepata doa moyoni mwako ni vema ukasepa zako....
 
Mkuu nimegundua wanaume wengi mnagongewa na maex wao,ingawa nimefanya makosa ila nimegundua huko mbeleni ningeua ,kama ndo hivi first born anaweza akawa wa jamaa yaani tungegawana watoto kati yangu na jamaa halafu unaambiwa wote ni wako
Hujafanya kosa lolote mkuu.

Hao wanaokuponda ni wazinzi wenzake, hata usijali
 
Kwa hiyo tabia yako ya kuyatafuta matatizo, upo sahihi - nakuunga mkono, usioe tena maisha yako yote.

Nikukumbushe tu, hakuna NDOA iliyokamilika na msingi mkuu wa NDOA ni upendo na kusamehe.

Nakutakia kila la kheri katika maisha yako ya useja
 
Mm nilishawahi kupata demu bikra ila nilimfuma akichat na ex wake wakikumbishiana walikuwa wana romance kwenye geto la jamaa. Ina maana baada ya kutoa mzigo ex ameendelea kumla tu... Sasa sijui utaamua nini 😂
 
Baada ya kuweka mtego kwa mchumba wangu nimegundua huko mbeleni naweza kumchoma kwa gunia la mkaa nikaishiwa kufungwa jela

Zikiwa zimebaki siku chache tuhitimishe safari yetu ya uchumba na kuingia kwenye ndoa takatifu lakini naamua kuvunja mahusiano ,najua ndugu jamaa na marafiki watashangaa lakini nahisi kuua huko mbeleni

Iko hivi mwaka mmoja na miezi miwili tuliingia kwenye mahusiano na binti au mwanamke miaka 25 kwa lengo la kuoana na ilikuwa imebaki miezi 4 tufunge ndoa

Najua kwa umri huo hawezi kukosa ex maana si bikira na sikuwahi kumuuliza historia ya maex wake maana haileti maana

Siku moja niliamua kupitia account zake za mitandao ya kijamii ingawa niliperuzi kwa comments za marafiki zake walizokuwa wakizitoa alipokuwa akipost picha nikagundua kupitia comment zile jamaa Fulani atakuwa ex wake maana zile comments zilikuwa si za kawaida

Basi nikachukua picha ya yule jamaa nikatengeneza account whasap kwa namba nyingine ya asiyoijua kuwa ni yangu

Nikajifanya ex wake nikamtext akajibu tena kwa kuniita jina la ex wake huyo si ni baada ya kuona picha yake

Akawa analaumu kwa nini nilimuacha bila sababu na nataka nini kwake?

Nikajifanya kumuomba msamaha na nikimkumbusha tumetoka mbali naye,hakuendelea kujibu akakaa kimya

Turudi Mimi mwenyewe ili niamini huyu mwanamke ana msimamo na hawezi kurudiana na ex wake nikafanya jambo

Jambo lenyewe nikasafiri ghafla na sikumuaga na nikazima simu na sikuwa online kwenye mitandao ya kijamii

Usiku nikajifanya ex wake nikaanza kukomaa turudiane,akawa anakataa,nilikomaa naye kuanzia saa 5 hadi saa 9 akawa amekataa

Katika maongezi yale ya siku hiyo ndo nikagundua jamaa amewahi kumpiga ujauzito wakachomoa

Basi kesho yake saa 8 mchana nikamuona online nikamfuata tena ,awamu hii hakuwa na nyodo akawa anajibu kwa ulaini

Nikachochea moto wa kubembeleza ,akanambia atanijibu baadae

Ikawa usiku kama saa 7 hivi nikawa namuona online muda mrefu bila kumtext ,akanitext "Mambo" nikareply haraka sana,nikamuuliza hujalala akajibu bado

Nikarudi kwenye mada ya kurudiana .Daah! Unajua akakubali na amesahau kuwa ni mke wa mtu wa hivi karibuni

Ila akanipa masharti kuwa tutarudiana na hata kama anaolewa mapenzi yetu yataendelea kama kawaida ila niwe na nidhamu kwenye ndoa yao,nimheshim mume wake,nikifanya hivyo hawataachana licha ya kuolewa,nikamwambia poa ,akaomba nimpe mchango wa harusi kama laki moja .

Moyo wangu umeamia sana kwa huyu mwanamke,nimerudi mjini nikawa hewani na kuomba msamaha wa kupotea siku mbili ila nawaza sana

Naamua kuvunja mahusiano .

Ushauri wenu jamani,kumbe kuna umuhimu wa kuoa bikira ,kumbe maex hawaachani?
Tafuta Hela wewe
 
hivi kutokua mkamilifu maana yake ni kuwa malaya?? maana wengi mnaotetea humu mmekazania ukamilifu sasa mwanamke wa hivyo asiye na msimamo wa nini wax wote wakirudi si ndo atakua mpira wa kona kama hana msimamo.
Jamaa yuko sahihi piga chini tena kama katoa na mimba ndo fukuzia mbali panya hiyo kama aliuwa mtoto wake na wewe kukuua ni kazi ndogo tu hamna mwanamke hapo, ni muuaji na malaya full stop.
 
Ulichokofanya ni sawa na kuacha sufuria ya maziwa chini ikiwa wazi wakati unafuga paka na kisha kutegemea paka asilambe maziwa hayo😅 eti kwa sababu wewe upo sebleni!
 
[emoji23][emoji23][emoji23] sasa umeshamtengenezea mkulungwa njia kiulainiiii .

N.b
Kama unataka kuvunja mahusiano uwe na ushahidi concrete maana hizo meseji anaweza kukugeuka akasema alishajua ni wewe ndo akaamua kukuzingua.

Na pia una uhakika gani kwamba hakumfuata jamaa facebook pm huko akamuuliza kama ni namba yake?

Na unadhani chatting yako na ya jamaa haijui?

Jamaa ni boya kama huyo mchumba wake.
 
Huyo dada wa watu na umuache tu, atapata mwanaume mwengine mwenye akili sio wewe ambaye hujielewi
 
Back
Top Bottom