Kwa kipimo hiki naghairi ndoa, sioi tena

Jokajeusi akiwa anasema muoe mabikra muwe mnaelewa

Ma-ex huwa wanaachana kama mwanamke ana msimamo. Ila kama hana msimamo na jamaa akawa ni player/manipulator/narcissist ndo hivyo tena jamaa ataendelea kupasha kiporo tu mpaka utimilifu wa dahari.

Huyu wa kwako inaonekana ana bond sana na huyo jamaa yake pengine kwa kuwa walishiriki dhambi ya mauaji ya kiumbe kisicho na hatia; na dhambi hiyo imewafunga pamoja...damu!

Ila nikuulize kitu: ulipokuwa umekomaa kufanya huu upelelezi wako, ulikuwa umejiandaa vizuri kisaikolojia? Ulikuwa tayari kwa maumivu ambayo ungeyapata? Sasa ulichokuwa unakitafuta umekipata, then what?

Kwa hali ya sasa kama binti hujamkuta bikra basi ni kufumba macho tu vinginevyo hutaoa wala kujiingiza kwenye mahusiano yenye malengo. Inabidi uwe na kifua hasa na mwanamke asipokuwa mpumbavu kama huyo wa kwako akajiheshimu angalau kipindi hiki cha uchumba na mwanzoni mwanzoni wakati ndoa bado tamu ndo kabisaaaaaa!

Pole sana lakini ni afadhali umegundua mapema japo sidhani kama ulikuwa tayari. Tulizana sasa ili usije ukafanya jambo la kijinga (zaidi). Kama ni Mkristo rudi kwa Mungu uanze kusali sana Roho Mtakatifu Akusaidie. Hata kama una mtu wa makamo unayemwamini (mchungaji, baba, rafiki wa kweli, mjomba...) anaweza kukusaidia sana.

Kuna mwenzako hapa pia aliwahi kutatanika sana na hizi ndoa za kizazi hiki:

#KuchapiwaHakuepukiki
#KitandaHakizaiHaramu
#Kuchapiwanisiriyandani
 
ndio vunja hayo mahusiano tena haraka sana mda mwingine Mungu hukuonesha aina ya mtu uliyenaye sema binadamu wengi tunashidwa kuelewa

Ni kama tu samsoni na delila,samsoni alikuwa na mashaka delila huenda ni msaliti ndio maana hakumueleza weakness yake moja kwa moja akawa anamzungusha yote hii kutokana na Mungu alikuwa anamuonya ambapo ilipelekea kutokuwa na amani na delila lakini pale alipoanza eti kujipa moyo kwamba amebadilika na anampenda yeye kuliko watu wa taifa lake ndio akarapoka hiyo sili

sasa stori inaendana na wewe,hiyo akili ya kufanya jambo hilo usizani ni wewe bali ni Mungu alitaka akufumbue fikra zako na kweli mwisho wa siku umeona ukweli.
Kikawaida siyo rahisi kwa wakati huo wa kukaribia kufunga ndoa kuwaza hekima maana wengi huwaza mahaba ya siku ya harusi itakuwaje
ila kwa wewe Mungu anakupenda ndio maana akaondoa hali ya utulivu na amani katika nafsi yako juu ya huyo mpenzi wako ndio maana ukajikuta unafanya jambo ilo kuchunguza na mwisho wa siku wasiwasi wako ulikuwa kweli
 
Mnasoma sana makala za kuwasakama wanawake humu, kiasi kwamba usipoweza kuchanganya na za kwako matokeo yake ndo haya kuanza kumjaribu wa kwako uone utimilifu wake utadhani wewe huna mapungufu, haya mtengeneze wako sasa ili asikusumbue..
 
Baada ya kuweka mtego kwa mchumba wangu nimegundua huko mbeleni naweza kumchoma kwa gunia la mkaa nikaishiwa kufungwa jela

Zikiwa zimebaki siku chache tuhitimishe safari yetu ya uchumba na kuingia kwenye ndoa takatifu lakini naamua kuvunja mahusiano ,najua ndugu jamaa na marafiki watashangaa lakini nahisi kuua huko mbeleni

Iko hivi mwaka mmoja na miezi miwili tuliingia kwenye mahusiano na binti au mwanamke miaka 25 kwa lengo la kuoana na ilikuwa imebaki miezi 4 tufunge ndoa

Najua kwa umri huo hawezi kukosa ex maana si bikira na sikuwahi kumuuliza historia ya maex wake maana haileti maana

Siku moja niliamua kupitia account zake za mitandao ya kijamii ingawa niliperuzi kwa comments za marafiki zake walizokuwa wakizitoa alipokuwa akipost picha nikagundua kupitia comment zile jamaa Fulani atakuwa ex wake maana zile comments zilikuwa si za kawaida

Basi nikachukua picha ya yule jamaa nikatengeneza account whasap kwa namba nyingine ya asiyoijua kuwa ni yangu

Nikajifanya ex wake nikamtext akajibu tena kwa kuniita jina la ex wake huyo si ni baada ya kuona picha yake

Akawa analaumu kwa nini nilimuacha bila sababu na nataka nini kwake?

Nikajifanya kumuomba msamaha na nikimkumbusha tumetoka mbali naye,hakuendelea kujibu akakaa kimya

Turudi Mimi mwenyewe ili niamini huyu mwanamke ana msimamo na hawezi kurudiana na ex wake nikafanya jambo

Jambo lenyewe nikasafiri ghafla na sikumuaga na nikazima simu na sikuwa online kwenye mitandao ya kijamii

Usiku nikajifanya ex wake nikaanza kukomaa turudiane,akawa anakataa,nilikomaa naye kuanzia saa 5 hadi saa 9 akawa amekataa

Katika maongezi yale ya siku hiyo ndo nikagundua jamaa amewahi kumpiga ujauzito wakachomoa

Basi kesho yake saa 8 mchana nikamuona online nikamfuata tena ,awamu hii hakuwa na nyodo akawa anajibu kwa ulaini

Nikachochea moto wa kubembeleza ,akanambia atanijibu baadae

Ikawa usiku kama saa 7 hivi nikawa namuona online muda mrefu bila kumtext ,akanitext "Mambo" nikareply haraka sana,nikamuuliza hujalala akajibu bado

Nikarudi kwenye mada ya kurudiana .Daah! Unajua akakubali na amesahau kuwa ni mke wa mtu wa hivi karibuni

Ila akanipa masharti kuwa tutarudiana na hata kama anaolewa mapenzi yetu yataendelea kama kawaida ila niwe na nidhamu kwenye ndoa yao,nimheshim mume wake,nikifanya hivyo hawataachana licha ya kuolewa,nikamwambia poa ,akaomba nimpe mchango wa harusi kama laki moja .

Moyo wangu umeamia sana kwa huyu mwanamke,nimerudi mjini nikawa hewani na kuomba msamaha wa kupotea siku mbili ila nawaza sana

Naamua kuvunja mahusiano .

Ushauri wenu jamani,kumbe kuna umuhimu wa kuoa bikira ,kumbe maex hawaachani?
Bora muoeni mabikra maana hawanaga kumweka mtu MOYONI kivileee
 
Amina mkuu
 
Nikilala naomba simu usiiisogelee📱
Unachezea moto🔥,
Kuna message zao na video zao💬,
Moyo utaupa joto🌡️,
Unanifuata nyuma nyuma hutaki nitembee🚶
Yaani kila chocho🛣️,
Mwisho ujenifuma kwao nikifanya nao
Guest gongo la mboto🛏️
 
Pole sana...

Huna tunakosea sehemu moja, hawa binadamu hawachunguzwi wala kujaribiwa, ukipenda penda mengine unakusha...
 
Atafutae lazima apate yan nasema iviii lazima apate na ww ulichokitafuta umekipata ila la muhimu zaidi n kwamba subir ukue ndo uoe namaanisha ukue akili na s umri
 
Kakataa umemlazimisha,kakubali unalia

Halafu eti uvunje uchumba weeeeh....unachukulia poa
 
Baada ya kuweka mtego kwa mchumba wangu nimegundua huko mbeleni naweza kumchoma kwa gunia la mkaa nikaishiwa kufungwa jela

Zikiwa zimebaki siku chache tuhitimishe safari yetu ya uchumba na kuingia kwenye ndoa takatifu lakini naamua kuvunja mahusiano ,najua ndugu jamaa na marafiki watashangaa lakini nahisi kuua huko mbeleni

Iko hivi mwaka mmoja na miezi miwili tuliingia kwenye mahusiano na binti au mwanamke miaka 25 kwa lengo la kuoana na ilikuwa imebaki miezi 4 tufunge ndoa

Najua kwa umri huo hawezi kukosa ex maana si bikira na sikuwahi kumuuliza historia ya maex wake maana haileti maana

Siku moja niliamua kupitia account zake za mitandao ya kijamii ingawa niliperuzi kwa comments za marafiki zake walizokuwa wakizitoa alipokuwa akipost picha nikagundua kupitia comment zile jamaa Fulani atakuwa ex wake maana zile comments zilikuwa si za kawaida

Basi nikachukua picha ya yule jamaa nikatengeneza account whasap kwa namba nyingine ya asiyoijua kuwa ni yangu

Nikajifanya ex wake nikamtext akajibu tena kwa kuniita jina la ex wake huyo si ni baada ya kuona picha yake

Akawa analaumu kwa nini nilimuacha bila sababu na nataka nini kwake?

Nikajifanya kumuomba msamaha na nikimkumbusha tumetoka mbali naye,hakuendelea kujibu akakaa kimya

Turudi Mimi mwenyewe ili niamini huyu mwanamke ana msimamo na hawezi kurudiana na ex wake nikafanya jambo

Jambo lenyewe nikasafiri ghafla na sikumuaga na nikazima simu na sikuwa online kwenye mitandao ya kijamii

Usiku nikajifanya ex wake nikaanza kukomaa turudiane,akawa anakataa,nilikomaa naye kuanzia saa 5 hadi saa 9 akawa amekataa

Katika maongezi yale ya siku hiyo ndo nikagundua jamaa amewahi kumpiga ujauzito wakachomoa

Basi kesho yake saa 8 mchana nikamuona online nikamfuata tena ,awamu hii hakuwa na nyodo akawa anajibu kwa ulaini

Nikachochea moto wa kubembeleza ,akanambia atanijibu baadae

Ikawa usiku kama saa 7 hivi nikawa namuona online muda mrefu bila kumtext ,akanitext "Mambo" nikareply haraka sana,nikamuuliza hujalala akajibu bado

Nikarudi kwenye mada ya kurudiana .Daah! Unajua akakubali na amesahau kuwa ni mke wa mtu wa hivi karibuni

Ila akanipa masharti kuwa tutarudiana na hata kama anaolewa mapenzi yetu yataendelea kama kawaida ila niwe na nidhamu kwenye ndoa yao,nimheshim mume wake,nikifanya hivyo hawataachana licha ya kuolewa,nikamwambia poa ,akaomba nimpe mchango wa harusi kama laki moja .

Moyo wangu umeamia sana kwa huyu mwanamke,nimerudi mjini nikawa hewani na kuomba msamaha wa kupotea siku mbili ila nawaza sana

Naamua kuvunja mahusiano .

Ushauri wenu jamani,kumbe kuna umuhimu wa kuoa bikira ,kumbe maex hawaachani?
Hauna sababu yyte ya msingi ya kunishawishi ili nikupe go ahead ya kuvunja uchumba na kuteketeza ndoto zenu zote. MWANAMKE NI KIUMBE DHAIFU HIVYO ISHI NAE KWA AKILI. Kifupi ishi humo na uendelee na mipango ya ndoa kama unataka mkamilifu basi usioe tu maana hautampata maisha yako yote
 
Mnasoma sana makala za kuwasakama wanawake humu, kiasi kwamba usipoweza kuchanganya na za kwako matokeo yake ndo haya kuanza kumjaribu wa kwako uone utimilifu wake utadhani wewe huna mapungufu, haya mtengeneze wako sasa ili asikusumbue..
Kuvumilia mapungufu ya hivyo ni kujikaanga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom