Kwa kipimo hiki naghairi ndoa, sioi tena

Haa Haa Teh Teh
Tanzania, Nchi Ngumu Sana Hii
Mpaka Sasa Hivi Mmeachana Ama Mtaachana
 
Sikubaliani na jamaa ku mjaribu lakini ameupata Ukweli. Kitendo cha bidada kumwekea Masharti xboy wake awe anampigia kwa utaratibu. Huyo mwanamke hafai huwezi kumwamini tena Ni heri kuvunja uchumba kuliko ndoa Vunja Haraka sana. Zinaa ni mbaya sana mkuu itakuondolea heshima yako kijamii na wewe utajikuta unachepuka kushindana na huyo Malaya. Vunja mara moja hana msimamo huyo. Na Mungu akusaidie
 
Namuonea huruma mwanamke au mchumba wa huyu mtumba,mwamke alidhani huenda kpata mchumba,kumbe mtumba,
Muache binti hufai kuishi nae tafuta shetani mwenzio huyo mtaendana.
Hata ungekua mwanamke ww,kwa tabia hizi ww hakuna mwanaume angewza kudumu na ww,ht ungekuwa kuku usingeishi na mmiliki,ungechinjwa mapema mno.
 
😃😃 umemuekea mtego na bado ukalazimisha anase....kwa ufupi wewe ndio umetengeneza matatizo
 
Baada ya kuweka mtego kwa mchumba wangu nimegundua huko mbeleni naweza kumchoma kwa gunia la mkaa nikaishiwa kufungwa jela

Zikiwa zimebaki siku chache tuhitimishe safari yetu ya uchumba na kuingia kwenye ndoa takatifu lakini naamua kuvunja mahusiano ,najua ndugu jamaa na marafiki watashangaa lakini nahisi kuua huko mbeleni

Iko hivi mwaka mmoja na miezi miwili tuliingia kwenye mahusiano na binti au mwanamke miaka 25 kwa lengo la kuoana na ilikuwa imebaki miezi 4 tufunge ndoa

Najua kwa umri huo hawezi kukosa ex maana si bikira na sikuwahi kumuuliza historia ya maex wake maana haileti maana

Siku moja niliamua kupitia account zake za mitandao ya kijamii ingawa niliperuzi kwa comments za marafiki zake walizokuwa wakizitoa alipokuwa akipost picha nikagundua kupitia comment zile jamaa Fulani atakuwa ex wake maana zile comments zilikuwa si za kawaida

Basi nikachukua picha ya yule jamaa nikatengeneza account whasap kwa namba nyingine ya asiyoijua kuwa ni yangu

Nikajifanya ex wake nikamtext akajibu tena kwa kuniita jina la ex wake huyo si ni baada ya kuona picha yake

Akawa analaumu kwa nini nilimuacha bila sababu na nataka nini kwake?

Nikajifanya kumuomba msamaha na nikimkumbusha tumetoka mbali naye,hakuendelea kujibu akakaa kimya

Turudi Mimi mwenyewe ili niamini huyu mwanamke ana msimamo na hawezi kurudiana na ex wake nikafanya jambo

Jambo lenyewe nikasafiri ghafla na sikumuaga na nikazima simu na sikuwa online kwenye mitandao ya kijamii

Usiku nikajifanya ex wake nikaanza kukomaa turudiane,akawa anakataa,nilikomaa naye kuanzia saa 5 hadi saa 9 akawa amekataa

Katika maongezi yale ya siku hiyo ndo nikagundua jamaa amewahi kumpiga ujauzito wakachomoa

Basi kesho yake saa 8 mchana nikamuona online nikamfuata tena ,awamu hii hakuwa na nyodo akawa anajibu kwa ulaini

Nikachochea moto wa kubembeleza ,akanambia atanijibu baadae

Ikawa usiku kama saa 7 hivi nikawa namuona online muda mrefu bila kumtext ,akanitext "Mambo" nikareply haraka sana,nikamuuliza hujalala akajibu bado

Nikarudi kwenye mada ya kurudiana .Daah! Unajua akakubali na amesahau kuwa ni mke wa mtu wa hivi karibuni

Ila akanipa masharti kuwa tutarudiana na hata kama anaolewa mapenzi yetu yataendelea kama kawaida ila niwe na nidhamu kwenye ndoa yao,nimheshim mume wake,nikifanya hivyo hawataachana licha ya kuolewa,nikamwambia poa ,akaomba nimpe mchango wa harusi kama laki moja .

Moyo wangu umeamia sana kwa huyu mwanamke,nimerudi mjini nikawa hewani na kuomba msamaha wa kupotea siku mbili ila nawaza sana

Naamua kuvunja mahusiano .

Ushauri wenu jamani,kumbe kuna umuhimu wa kuoa bikira ,kumbe maex hawaachani?
Pole mkuu
 
Huyo mtu anaerudiana na ex wake anarydia matapishi, kwangu mimi haitokaa itokee nirudiane na ex wangu!! NEVER.
 
Bora kuoa vibinti vya miaka 19 ambavyo havijatiwa sana na havina strong bond na maX wake
Hakuna cha strong bond bwana ukishamuacha mtu muache! Mwanamke unarudije kwa ex na unajua kabisa unachumbiwa? Hata akushawishi vipi hutakiwa hata kama mlikuwa vipi.
 
Namuonea huruma mwanamke au mchumba wa huyu mtumba,mwamke alidhani huenda kpata mchumba,kumbe mtumba,
Muache binti hufai kuishi nae tafuta shetani mwenzio huyo mtaendana.
Hata ungekua mwanamke ww,kwa tabia hizi ww hakuna mwanaume angewza kudumu na ww,ht ungekuwa kuku usingeishi na mmiliki,ungechinjwa mapema mno.
Mkuu wew unakubaliana na msemo wa kitanda hakizai haramu?
 
Mnaomtukana mleta Mada mnakosea. Katika dunia hii hakuna Mtu anapenda kuishi na mwenza mwenye madhaifu sema tumepewa tu roho za kuvumiliana.

Kifua cha mleta mada kimeishia hapo. Hawezi vumilia udhaifu wa namna hii kwa mke wake mtarajiwa. Ni maamzi yake, kwa faida yake na future yake.

Mkuu, nakuunga mkono na huo ndio Uanaume. Hata ukibadili mawazo, kizuri umeshajua mchumba wako ni wa namna gani. Hao wanaokukejeli % kubwa ni failures wa feminism, Vitonga, wahanga wa mizizi na Watoto wa Mama (hata kama wameoa).

Mwanaume simamia unachokiamini na kuona bora kwa faida yako kwa maslai mapana ya familia yako na jamii yako. Mwanaume unamwita mwanaume mwenzako mpumbavu kisa kuvunja uchumba na mtu aliyemuona hafai!!? Aisee. Kuna mabinti wengi waliojitunza na hawajaolewa. Hawa watoa mimba tayari wana laana ya mauaji, wanaweza kukusababishia kifo hata wewe mwenyewe.
 
Wewe mw
Baada ya kuweka mtego kwa mchumba wangu nimegundua huko mbeleni naweza kumchoma kwa gunia la mkaa nikaishiwa kufungwa jela

Zikiwa zimebaki siku chache tuhitimishe safari yetu ya uchumba na kuingia kwenye ndoa takatifu lakini naamua kuvunja mahusiano ,najua ndugu jamaa na marafiki watashangaa lakini nahisi kuua huko mbeleni

Iko hivi mwaka mmoja na miezi miwili tuliingia kwenye mahusiano na binti au mwanamke miaka 25 kwa lengo la kuoana na ilikuwa imebaki miezi 4 tufunge ndoa

Najua kwa umri huo hawezi kukosa ex maana si bikira na sikuwahi kumuuliza historia ya maex wake maana haileti maana

Siku moja niliamua kupitia account zake za mitandao ya kijamii ingawa niliperuzi kwa comments za marafiki zake walizokuwa wakizitoa alipokuwa akipost picha nikagundua kupitia comment zile jamaa Fulani atakuwa ex wake maana zile comments zilikuwa si za kawaida

Basi nikachukua picha ya yule jamaa nikatengeneza account whasap kwa namba nyingine ya asiyoijua kuwa ni yangu

Nikajifanya ex wake nikamtext akajibu tena kwa kuniita jina la ex wake huyo si ni baada ya kuona picha yake

Akawa analaumu kwa nini nilimuacha bila sababu na nataka nini kwake?

Nikajifanya kumuomba msamaha na nikimkumbusha tumetoka mbali naye,hakuendelea kujibu akakaa kimya

Turudi Mimi mwenyewe ili niamini huyu mwanamke ana msimamo na hawezi kurudiana na ex wake nikafanya jambo

Jambo lenyewe nikasafiri ghafla na sikumuaga na nikazima simu na sikuwa online kwenye mitandao ya kijamii

Usiku nikajifanya ex wake nikaanza kukomaa turudiane,akawa anakataa,nilikomaa naye kuanzia saa 5 hadi saa 9 akawa amekataa

Katika maongezi yale ya siku hiyo ndo nikagundua jamaa amewahi kumpiga ujauzito wakachomoa

Basi kesho yake saa 8 mchana nikamuona online nikamfuata tena ,awamu hii hakuwa na nyodo akawa anajibu kwa ulaini

Nikachochea moto wa kubembeleza ,akanambia atanijibu baadae

Ikawa usiku kama saa 7 hivi nikawa namuona online muda mrefu bila kumtext ,akanitext "Mambo" nikareply haraka sana,nikamuuliza hujalala akajibu bado

Nikarudi kwenye mada ya kurudiana .Daah! Unajua akakubali na amesahau kuwa ni mke wa mtu wa hivi karibuni

Ila akanipa masharti kuwa tutarudiana na hata kama anaolewa mapenzi yetu yataendelea kama kawaida ila niwe na nidhamu kwenye ndoa yao,nimheshim mume wake,nikifanya hivyo hawataachana licha ya kuolewa,nikamwambia poa ,akaomba nimpe mchango wa harusi kama laki moja .

Moyo wangu umeamia sana kwa huyu mwanamke,nimerudi mjini nikawa hewani na kuomba msamaha wa kupotea siku mbili ila nawaza sana

Naamua kuvunja mahusiano .

Ushauri wenu jamani,kumbe kuna umuhimu wa kuoa bikira ,kumbe maex hawaachani?
wewe mwenyewe vipi kuhusu max wako? unao wangapi?
 
Mapenzi haya.........ila usimuache mwambie tu ukweli
 
Weka kilakitu hadharani ajue ukweli kuwa alikuwa anachat na wewe na sio ex wake muoneshe hizo chat akimuahidi ex wake kuwa awataachana kisha vunja uchumba. Hayo ndio maamuzi ya kiume.
 
Ukitaka mpenzi wa peke yako kata MGOMBA lala juu bro.... hakuna aliye mkamilifu kidole kimoja kwa mwenzako vitatu kwako, jihukumu wewe kwanza utapata majibu ya mahusiano yako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom