Kwa kauli hii Makonda ameonyesha vyeti

Kwa kauli hii Makonda ameonyesha vyeti

Kupata ZERO si mchezo.

Jamaa haamini kama amekuwa RC

Habari za jioni wana Jf,
Leo nimependa kuongelea hutuba aliyoitoa Makonda ( Bashite) hivi karibuni yaani kauli ya kusema angeliwachapa watumishi viboko ni kama ameonyesha vyeti vyake vya zero kwa akili ndogo aliyonayo ameamini kuwa anaweza kuwachapa viboko watumishi.

Sasa kama anaweza ajaribu kuwachapa hata watumishi wa ofisini kwake kimsingi naweza kumshauri Bashite aombe radhi kwasababu amedhalilisha watumishi na ajifunze kutumia kauli ambazo hazitawaudhi watumishi wenzake.

Namaliza kwa kusema bashite vyeti vyake tumeviona inabidi arudi darasani tumchape sisi walimu manake bado hajafanya mtihani wa taifa
 
swali: embu tupe historia ya elimu yako?
Jibu: me natetea watoto na vijana wanaoangamia kwa madawa ya kulevya..
 
Ina maana hata somo la communication skills alilifeli!? Maana first year chuo kikuu lazima ujinze communication language
 
huyo tuu hana akili mbona wapo ambao walipata zero wapo vizuri na wengine hawajasoma kabisa lakini sio kama bashite
 
Hivi kabisa MTU aliyepata zero kabisa unadhani angesema nini pale mbele ya watu wanaojua uchungu wa kufanya mtihani Na kufaulu
IMG-20170505-WA0022.jpg
bila picha watu wanaweza wasielewe kwa, nini watu wana uchungu
 
huyo tuu hana akili mbona wapo ambao walipata zero wapo vizuri na wengine hawajasoma kabisa lakini sio kama bashite
Anasema cheo chake ni sawa na cha waziri. Yaani hata mipaka yake ya kazi haijui.
Nasikia alienda Kilimanjaro anapeperusha bendera kwenye utawala wa mwenzake.
Kuna kupata zero na kuna kugushi vyeti...
 
Hajitambui.Tatizo hana mshauri huenda kwa sababu kazaliwa peke yake.Sie mwengine ukikosea simu zinafululiza za kaka au Dada unaonywa.Huenda kijana huyu amemis hawa watu muhimu.
 
Kama yule mkuu wa wilaya aliwachapa, mkuu wa mkoa atashindwa nn?!
 
Back
Top Bottom