long live my love
JF-Expert Member
- Feb 23, 2014
- 1,083
- 1,037
Unakiuka makubaliano ya kutomuandika humu jamii forum.
Wewe ndo kilaza wa kweli, yaani maneno yake chujio lako limeyapitisha kama yalivyo.Habari za jioni wana Jf,
Leo nimependa kuongelea hutuba aliyoitoa Makonda ( Bashite) hivi karibuni yaani kauli ya kusema angeliwachapa watumishi viboko ni kama ameonyesha vyeti vyake vya zero kwa akili ndogo aliyonayo ameamini kuwa anaweza kuwachapa viboko watumishi.
Sasa kama anaweza ajaribu kuwachapa hata watumishi wa ofisini kwake kimsingi naweza kumshauri Bashite aombe radhi kwasababu amedhalilisha watumishi na ajifunze kutumia kauli ambazo hazitawaudhi watumishi wenzake.
Namaliza kwa kusema bashite vyeti vyake tumeviona inabidi arudi darasani tumchape sisi walimu manake bado hajafanya mtihani wa taifa
Aaaaaaagh mambo gani haya!
Nimekuja mbio nishuhudie hivyo vyeti kumbe hakuna chochote!
Akionyesha mtavikubali au mtaanzisha topic nyingine??Aaaaaaagh mambo gani haya!
Nimekuja mbio nishuhudie hivyo vyeti kumbe hakuna chochote!
Mnakiuka makubaliano na wahariri, msimjadili makonda!Hakuna vyeti Mkuu! Haiwezekani miezi yote hii ikatike bila kutuonyesha vyeti vyake. Ni kwa sababu ni Mkolomije na pia mbeba mazabe ya nanihii ndiyo sababu bado yuko wadhifani vinginevyo huyu angekuwa kishafukuzwa kazi na sasa yuko kizimbani kwa kufoji na kutumia jina ambalo si la kwake.
Mnakiuka makubaliano na wahariri, msimjadili makonda!
Atavipata wapi labda fakeAkionyesha mtavikubali au mtaanzisha topic nyingine??
[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu unanikumbusha ushuhuda wa Gwaji [emoji23][emoji23][emoji23] 'kazungusha yani...zilo yani' [emoji23][emoji23][emoji23]Hivi kabisa MTU aliyepata zero kabisa unadhani angesema nini pale mbele ya watu wanaojua uchungu wa kufanya mtihani Na kufaulu
Mkuu makonda amemaanisha Pogba alikosea! Hii hatari sana lakini simlaumu sana mambumbumbu ndiyo yalivyo ila kesho aruhusu maswali tu na wasikatishe matangazo tukimbana mbavuAmemkosea heshima rais kwa kusema angekuwa rais angewachapa wafanyakazi viboko.
Ni kama kasema rais hajui kufanya kazi ya urais, na yeye Makonda anaiweza zaidi kazi hiyo.
Makonda amejionyesha alivyo mtupu kichwani.
Wewe ndio makonda?Akionyesha mtavikubali au mtaanzisha topic nyingine??
Itakuwa wew nayeye mnapeana zamu zakwenda kufumuliwa ndo maana unamteteaWewe ndo kilaza wa kweli, yaani maneno yake chujio lako limeyapitisha kama yalivyo.
Hatavipata wapi? Labda kauli zake ndo tumebakia kuzihakikiAkionyesha mtavikubali au mtaanzisha topic nyingine??
2020[emoji111] [emoji111] [emoji111] [emoji111]Wapo watu wenye akili mbovu na wangependa kila mtu ajue, ikiwamo Bashite. Hii inaonesha hata taratibu za kazi na mipaka yake hajui. Ukilewa madaraka inafikia kipindi unadhani baada ya Mungu ni wewe, na kwamba wewe ndio unafikiri vizuri zaidi na wewe ndio una haki kuliko wengine. Shame on him, Bastar.d.
Utamtawaza Bashite mpaka liniWewe ndo kilaza wa kweli, yaani maneno yake chujio lako limeyapitisha kama yalivyo.