ww utakua mwandishi wa habar maana ulivyokilemba kichwa cha habari kila mtu kimemvutia hahahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Habari za jioni wana Jf,
Leo nimependa kuongelea hutuba aliyoitoa Makonda ( Bashite) hivi karibuni yaani kauli ya kusema angeliwachapa watumishi viboko ni kama ameonyesha vyeti vyake vya zero kwa akili ndogo aliyonayo ameamini kuwa anaweza kuwachapa viboko watumishi.
Sasa kama anaweza ajaribu kuwachapa hata watumishi wa ofisini kwake kimsingi naweza kumshauri Bashite aombe radhi kwasababu amedhalilisha watumishi na ajifunze kutumia kauli ambazo hazitawaudhi watumishi wenzake.
Namaliza kwa kusema bashite vyeti vyake tumeviona inabidi arudi darasani tumchape sisi walimu manake bado hajafanya mtihani wa taifa
Kabisa mkuu make hata sasa hivi akionyesha vyeti watubkutokana na kauli zake za ziro hataaminimkuu hunipiti mimi kwa nduki niliyokuja nayo hapa.any way bashite kuonesha vyeti ni vigumu kuliko simba kushinda rufaa fifa.
Pole sana nduguww utakua mwandishi wa habar maana ulivyokilemba kichwa cha habari kila mtu kimemvutia hahahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tehteh! Ila hapo kwenye Simba umenionea asee. Nyie yanga wazee wa mbeleko. Yaonyesha mna Jecha wenu huko FAT sjui TFF!mkuu hunipiti mimi kwa nduki niliyokuja nayo hapa.any way bashite kuonesha vyeti ni vigumu kuliko simba kushinda rufaa fifa.
Makonda anawapa tabu sanaHabari za jioni wana Jf,
Leo nimependa kuongelea hutuba aliyoitoa Makonda ( Bashite) hivi karibuni yaani kauli ya kusema angeliwachapa watumishi viboko ni kama ameonyesha vyeti vyake vya zero kwa akili ndogo aliyonayo ameamini kuwa anaweza kuwachapa viboko watumishi.
Sasa kama anaweza ajaribu kuwachapa hata watumishi wa ofisini kwake kimsingi naweza kumshauri Bashite aombe radhi kwasababu amedhalilisha watumishi na ajifunze kutumia kauli ambazo hazitawaudhi watumishi wenzake.
Namaliza kwa kusema bashite vyeti vyake tumeviona inabidi arudi darasani tumchape sisi walimu manake bado hajafanya mtihani wa taifa
Naunga mkono hatupaswi kumlaumu bashite zero aliyonayo ameitafsiri vyema kwa kauli yakeHivi kabisa MTU aliyepata zero kabisa unadhani angesema nini pale mbele ya watu wanaojua uchungu wa kufanya mtihani Na kufaulu
Nadhani laana inaanza kumtafuna na bado tutaona mengi. Yaani makonda busara zeroDuuh kma kaongea hivyo basis jamaa amuombe Mungu ampe busara
Usinivunje mbavu mkuu. Maana kweli makonda hajui uchungu wa kupasua pepa ukoje. Tatizo la kuongozwa na zero ndo hiloHivi kabisa MTU aliyepata zero kabisa unadhani angesema nini pale mbele ya watu wanaojua uchungu wa kufanya mtihani Na kufaulu
Yupo kwa basha anamrejeshea ufahamuChochochanel njoo huku
Yeye pia hana ufahamu hapo watakuwa wanaendelea kujenga ujinga tuYupo kwa basha anamrejeshea ufahamu
Kweli Mkuu nilimshauri mara nyingi atafute bwana maana kichwa chake hakijakaa vizriYeye pia hana ufahamu hapo watakuwa wanaendelea kujenga ujinga tu
Piga kazi RC Makonda usisikilize sauti za mbwa mwitu.Habari za jioni wana Jf,