Brilliant internationary
JF-Expert Member
- Feb 8, 2017
- 301
- 193
Habari za jioni wana Jf,
Leo nimependa kuongelea hutuba aliyoitoa Makonda ( Bashite) hivi karibuni yaani kauli ya kusema angeliwachapa watumishi viboko ni kama ameonyesha vyeti vyake vya zero kwa akili ndogo aliyonayo ameamini kuwa anaweza kuwachapa viboko watumishi.
Sasa kama anaweza ajaribu kuwachapa hata watumishi wa ofisini kwake kimsingi naweza kumshauri Bashite aombe radhi kwasababu amedhalilisha watumishi na ajifunze kutumia kauli ambazo hazitawaudhi watumishi wenzake.
Namaliza kwa kusema bashite vyeti vyake tumeviona inabidi arudi darasani tumchape sisi walimu manake bado hajafanya mtihani wa taifa