au BornTown?Deep state wanaakili sana!
Baada ya kumtumia konda boy enzi zile na kufanikisha sasa wanamtumia tena kwa mara nyingine wanamtumia kumalizia mission nyingine!!!
Taharuki atakayozua itasababisa kuleta hofu ya kisiasa na kiutawala na awam ambayo itabidi mabaka watishie kuingia mzigoni kabla ya hapo Busara pekee itakua kuitosa namba sita baharini Ili bahari itulie na itatulia baada ya namba sita kutoswa!!
Maoni huru haya ya mlipa kodi.asiekwepa!!
Sasa, aidha Makonda katumwa na Mama Samia, au ni kiherehere chake tu.Kwa uteuzi, matamshi na hasa kama kuwaumbua viongozi wakuu nchini, Makonda abaenda kukisambaratisha chama CCM.
Kwa sasa Makonda kampa Waziri Mkuu miezi sita kutekeleza majukumu yake.
Kiprotokali Makonda ni mdogo sana, hawezi kumwamrisha Waziri Mkuu.
Waziri Mkuu anasimamiwa na Mama Samia kama Mwenyekiti wa CCM na kama Rsis wa nchi.
Na hata ndani ya chama, kuna vikao mahsusi ya kuzungumzia utendaji wa serikali, vikao hivyo havijatumika.
Sasa, aidha Makonda katumwa na Mama Samia, au ni kiherehere chake tu.
Lakini kwa vyovyote kutakuwa na consequences.
Wanaokuwa lambasted hadharani sitegemei kuwa watakaa kimya.
Chama kinaenda kusambaratika na 2025 si mbali.
Ukiwa mwajiri ndiyo haki ya kuropokaHujui kwamba CCM ndo mwajiri wa Serikali nzima ya SAMIA na Samia mwenyewe?
Ndiyo hayo Sasa anayotoa MakondaHivi maagizo toka luu bado yap?
True miziziologyKwa kifupi sasa rais ni DAB
Kwa njia ya lopoloppo ama kwa kutumia njia ya mlevii watu wakidhani ni mlevi ama utoto kumbe ujumbe umefika, (delivered and received with mixed reactions)Ndiyo hayo Sasa anayotoa Makonda
Nchi Imekorogeka sasa
Anguko hilo linakuja muda si mrefu! Fuatilia nasaha za Kinana kwenye mazishi ya marehemu Zelothe Stephens kuhusu “ Viongozi na heshima” katika jamii.Makonda anatakiwa aanguke na ngazi iliyompandisha hapo juu
Nijuavyo, siasa siyo one way street.Sasa, aidha Makonda katumwa na Mama Samia, au ni kiherehere chake tu.
Jibu[emoji1541][emoji1541][emoji1541]View attachment 2800799
Sent using Jamii Forums mobile app
Kapumbavu sana haka kavulanaSasa, aidha Makonda katumwa na Mama Samia, au ni kiherehere chake tu.
Kwahiyo Makonda ndio CCM?Hujui kwamba CCM ndo mwajiri wa Serikali nzima ya SAMIA na Samia mwenyewe?
Kwa uteuzi, matamshi na hasa kama kuwaumbua viongozi wakuu nchini, Makonda anaenda kukisambaratisha chama CCM.
Kwa sasa Makonda kampa Waziri Mkuu miezi sita kutekeleza majukumu yake.
Kiprotokali Makonda ni mdogo sana, hawezi kumwamrisha Waziri Mkuu.
Waziri Mkuu anasimamiwa na Mama Samia kama Mwenyekiti wa CCM na kama Rsis wa nchi.
Na hata ndani ya chama, kuna vikao mahsusi ya kuzungumzia utendaji wa serikali, vikao hivyo havijatumika.
Sasa, aidha Makonda katumwa na Mama Samia, au ni kiherehere chake tu.
Lakini kwa vyovyote kutakuwa na consequences.
Wanaokuwa lambasted hadharani sitegemei kuwa watakaa kimya.
Chama kinaenda kusambaratika na 2025 si mbali.
Sisi tunataka maendeleo,hayo ma.individual issue ni mbelembele kwa mbeleKwa uteuzi, matamshi na hasa kama kuwaumbua viongozi wakuu nchini, Makonda anaenda kukisambaratisha chama CCM.
Kwa sasa Makonda kampa Waziri Mkuu miezi sita kutekeleza majukumu yake.
Kiprotokali Makonda ni mdogo sana, hawezi kumwamrisha Waziri Mkuu.
Waziri Mkuu anasimamiwa na Mama Samia kama Mwenyekiti wa CCM na kama Rsis wa nchi.
Na hata ndani ya chama, kuna vikao mahsusi ya kuzungumzia utendaji wa serikali, vikao hivyo havijatumika.
Sasa, aidha Makonda katumwa na Mama Samia, au ni kiherehere chake tu.
Lakini kwa vyovyote kutakuwa na consequences.
Wanaokuwa lambasted hadharani sitegemei kuwa watakaa kimya.
Chama kinaenda kusambaratika na 2025 si mbali.
Majaliwa aangalie namna ya kuaga kwa heshima it's time to say I quitSijui huyo mzee MP kachukuliaje kauli hiyo dah
🤣🤣🤣Makonda ni mkubwa kuliko Rais, itakuwa huyo Waziri Mkuu ebo mtupishe.
InawezekanaCCM siyo Makonda, na mark my words, Makonda ataingia chupa!
Sawasawa..Sisi tunataka maendeleo,hayo ma.individual issue ni mbelembele kwa mbele