myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,143
Katibu wa itikadi na mwenezi....Tatizo lenu mnamuangalia Mokonda kama Makonda, Makonda haongei kwa utashi wake apo kila analoliongea ni maagizo ya chama na makonda hajamuamrisha waziri mkuu bali chama ndo kimemuamrisha waziri mkuu.
Ukisoma katiba ta ccm utajua majukumu yake.