Kwa kadi ya Makonda, CCM inaelekea kuvurugika!

Kwa kadi ya Makonda, CCM inaelekea kuvurugika!

Protocol gani? Hakuna mtu mkubwa TZ zaidi ta CCM, je waziri mkuu anacheo gani CCM je mkubwa kuliko Paul makonda?.Wew Paul makonda bosi wake ni Mwenye kiti ,makalu, katibu wa CCM basi?.Uchaguzi wa Rais,wabunge. PAUL MAKONDA NI ndio wanao pendekeza wagombea mpaka Rais
Huyo mbwiga fala cheo chake ni kama ahmed ally au ally kamwe,ni msemaji tu usimpe kazi sio zake
 
eating-popcorn.gif
 
Baada ya kuongelewa kwenye vikao.

makonda ndo anatoka hadharan na kusema kile chama ambacho waliiongea kwenye vikao vyake vya ndani.
Exactly, huo ndo utaratibu.
Lakini vile vile yupo Katibu Mkuu Chongolo ,bosi wake Makonda.
Huyo ndo anaongelea yote mazito.

Makonda masikio yanazidi kichwa.
 
Kwa uteuzi, matamshi na hasa kama kuwaumbua viongozi wakuu nchini, Makonda abaenda kukisambaratisha chama CCM
Kwa sasa Makonda kampa Waziri Mkuu miezi sita kutekeleza majukumu yake.
Kiprotokali Makonda ni mdogo sana, hawezi kumwamrisha Waziri Mkuu.
Waziri Mkuu anasimamiwa na Mama Samia kama Mwenyekiti wa CCM na kama Rsis wa nchi.

Na hata ndani ya chama, kuna vikao mahsusi ya kuzungumzia utendaji wa serikali, vikao hivyo havijatumika.

Sasa, aidha Makonda katumwa na Mama Samia, au ni kiherehere chake tu.
Lakini kwa vyovyote kutakuwa na consequences.
Wanaokuwa lambasted hadharani sitegemei kuwa watakaa kimya.

Chama kinaenda kusambaratika na 2025 si mbali.
Wewe endelea kushangilia Tulia kushinda IPU
 
CCM iliisha jifia, manasema itakufa. Ife mara ngapi. CCM ni JWTZ,POLISI,USALAMA WA TAIFA,TUME YA UCHAGUZI na Wenzao.
Mnataka nini huko wacheni wafu wazikane.
Au mnavizia wowowo. Linaeneza chama chao.
 
Back
Top Bottom