Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 11,912
- 21,969
Halooo nimeshangaa😃Mods wanahabari zetu zote
😂😂🙊
Halooo nimeshangaa😃Mods wanahabari zetu zote
😂😂🙊
😂😂😂acha tu...jf si jf tenaHalooo nimeshangaa😃
Serikali ni kubwa kuliko Chama kwa sababu kina maslai kwa wengi bila kujali ni wanachama au sio wanachamaHujui kwamba CCM ndo mwajiri wa Serikali nzima ya SAMIA na Samia mwenyewe?
Kiprotokali Makonda ni mdogo sana, hawezi kumwamrisha Waziri Mkuu.
😃😂😂😂acha tu...jf si jf tena
Mara mia shida yako uandike public kuliko pm😃
Sasa naanzaje sasa kuweka public!Mara mia shida yako uandike public kuliko pm
Yupo mdau kasema kipo chama kimezamishwa mfukoni kwa Ntu,isije kuwa ndio lilikuwa dingo lenyewe🤣Kwa uteuzi, matamshi na hasa kama kuwaumbua viongozi wakuu nchini, Makonda anaenda kukisambaratisha chama CCM.
Kwa sasa Makonda kampa Waziri Mkuu miezi sita kutekeleza majukumu yake.
Kiprotokali Makonda ni mdogo sana, hawezi kumwamrisha Waziri Mkuu.
Waziri Mkuu anasimamiwa na Mama Samia kama Mwenyekiti wa CCM na kama Rsis wa nchi.
Na hata ndani ya chama, kuna vikao mahsusi ya kuzungumzia utendaji wa serikali, vikao hivyo havijatumika.
Sasa, aidha Makonda katumwa na Mama Samia, au ni kiherehere chake tu.
Lakini kwa vyovyote kutakuwa na consequences.
Wanaokuwa lambasted hadharani sitegemei kuwa watakaa kimya.
Chama kinaenda kusambaratika na 2025 si mbali.
Sasa hilo lina uhusiani gani na Makonda kumwamuru Waziri Mkuu?Yupo mdau kasema kipo chama kimezamishwa mfukoni kwa Ntu,isije kuwa ndio lilikuwa dingo lenyewe🤣
😂😂😂Sasa naanzaje sasa kuweka public!
Huo utapita ila wa bima utakwama,katiba mpya na tume huru ya uchaguzi🤔Kiutani utani hata mswada wa kuwapa wake za vigogo mafao utapitaa.....nchi ipo bize na makonda
Anyway ngoja nijikaze😂😂😂
Yeah,ivo yaan....Anyway ngoja nijikaze
Kwahiyo ile tabia ya magu na watu wake ilikua mbaya au nzuriKwa uteuzi, matamshi na hasa kama kuwaumbua viongozi wakuu nchini, Makonda anaenda kukisambaratisha chama CCM.