Hivi ule wimbo"Madaraka ya kulevya" dady umempa Madaraka ya kulevya mlengwa alikuwa nani wakati ule!!!
CCM wasahaulifu Sana Walimpa Jiwe Madaraka akawageuka kina Kinana Nape wakapata joto la Jiwe
Leo anapewa Rungu Makonda
Nimeamini maneno ya Dr Mollel
Watanzani wengi akilizetu zina walakini
Muda kidogo tumesahau madhala ya watu waovu