Kwa jicho la kiroho: Sakata la Dr. Slaa

Kwa jicho la kiroho: Sakata la Dr. Slaa

Acha apambane na hali yake akabebe mabox huko Cjui ile hela ameshamaliza aliyopewa abebe mabox mpaka akome
 
Kwanza tufahamu kuwa yaliyotokea na yanayotokea hayana budi kutokea na hakuna mwenye uwezo wa kuyazuia yasitokee.

Pili yote anayoyafanya Kwasasa Slaa hana hiari nayo si kwa maana ya ccm au wale wanaomfadhili kwa sasa bali ni laana ya kiapo na nadhiri zake...hawa wanaomfadhili ni kiambishi tu cha nguvu iliyo nje ya uwezo wa kibinadamu .

Slaa anateswa na haiba na kiapo, nadhiri na ahadi ya kutumikia kiapo.. Nimekutana na viapo Nimeishi maisha ya viapo lakini SIKUAPA. viapo ni vibaya na viapo havifi na kuviuwa kunahitaji mlolongo mrefu na wenye mambo mengi.

Slaa Aliitwa kwa wito kuonyesha na kutumia vipawa vyake kwa njia ya upadri akakubali na kupokea mpaka daraja la upadirisho mbele ya mimbari takatifu...aliingia mkataba na Mungu na kukamilisha wito.

Bahati mbaya sana akakengeuka nakuanguka moja kwa moja na tangu hapo viapo nadhiri na laana vikaanza kumuandama.

Siasa sio dini siasa ni propaganda siasa ni unafiki siasa haina kweli na Siasa haiongozwi na roho mtakatifu.

Kwa laana ile ya kiapo na nadhiri akajikuta anaangukia kwenye Ulimwengu wa mapepo na roho za kutangatanga.. Na tangu hapo ameendelea kutangatanga kuanzia kwenye mahusiano mpaka kwenye maisha.

Hakuna ambacho ameweza kufanya kikakamilika, amekosa ndoa takatifu amekosa maisha ya kudumu Kwenye siasa amekosa Kuacha Heshima na historia ya kutukuka kwenye lolote alilolifanya.

Kila alipoanza alianza vizuri kwa mafanikio na kupendwa sana lakini mwishoni kila kitu kikaenda kombo na kugeuka ubatili.... Kiapo kinamtesa.. Na haya ndio atakuwa maisha yake mpaka kaburini .

Viapo ni vibaya hakikisha unatengua kama hutaki kuendelea nacho viapo vina roho na roho haifi, mengi mabaya yatamtokea Dr na hii ni kanuni ya kidunia katika Ulimwengu wa roho.
Ktk ulimwengu wa Kiroho alikoapa Dk.Slaa,hilo tatizo litamsumbua mno kwani hata alipojigundua kwa viashiria hakujigundua..."hakuna dhambi mbaya kama kumtukana Roho Mtakatifu"
 
Huyu Mzee acha alaaniwe tu, aliwahi kupishana kiswahili na Mzee wangu basi badala yakumjibu Kwa hoja akasema *huna hadhi yakubishana na mimi, huna hata uwezo wakumiliki baiskeli* niliumia sana siku ile

Mwacha nae apambane na hali yake
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji144] [emoji144] [emoji144] pole sana
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji144] [emoji144] [emoji144] pole sana
Niliumia sana, nje wakati tunaondoka, gari lake na LA Mzee wangu, LA Mzee wangu kithamani kamzidi sana. Ikazidi kuniuma, Mzee wangu akaniambia *ndio siasa mama angu,kajibu vile kwakuwa hakuwa na hoja za kupangua hoja zangu* tukaondoka
 
Niliumia sana, nje wakati tunaondoka, gari lake na LA Mzee wangu kithamani kamzidi sana. Ikazidi kuniuma, Mzee wangu akaniambia *ndio siasa mama angu,kajibu vile kwakuwa hakuwa na hoja za kupangua hoja zangu* tukaondoka
Wakati si milele.... Yuko wapi leo... Anaishi maisha ya kutangatanga ukimbizini......
 
Sio Mbowe kwa wenye kufikiri kwa makini. Slaa ni mkiristo mzuri kuliko wengi wakristo maana alifikia ngazi ya Upadri. Hivyo anaijua vizuri Biblia. Kutokana na Biblia kuna yafuatayo:
1. Upatapo hasira jua linachomoza usikae na hasira hiyo hadi jua likazama.
2. Dhambi hata iwe nyekundu kama damu ukitubu inakuwa nyeupe kama karatasi.
3. Sauli alikuwa mwiba mkali kwa wafuasi wa Yesu, aliua kupindukia baadae akageuka na kuwa mtume.
4. Mussa alikaa kwa faraho akiwatesa Waisrael lakini ndiye aliongoza msafara wao kuwapeleka kuelekea nchi ya ahadi japo hakuwafikisha.
5. Yapo mengi.

Kwa hiyo wafuasi walikuwa wagumu kama wanaisraeli siyo??. Na wengine wao hawataona Nchi ya Ahadi. Nimekulewa.
 
Sawa tumekusoma.. vipi na kwa TUNDU LISSU[emoji13]
Tundu Lissu anayo mema yake na mabaya yake. Mema yake ni utetezi wa rasilimali za nchi kwa miaka mingi aliyokuwa hai kitaaluma, kwa maana ya mwanasheria.

Udhaifu wa Lissu ni kushindwa kuidhibiti arrogance yake, kushindwa kuufanyia kazi udhaifu walionao wasomi wengi wa nchi hii, akishakuwa na hadhi fulani basi anajiona kama vile ameshapata namba ya simu ya moja kwa moja ya walio mbinguni!!.

Lissu anashindwa kutawala jeuri ya kisomi, matokeo yake anageuka kuwa mtumishi wa hawa hawa mabeberu, anaitisha jamii nzima ya watanzania huku akisahau kuwa miongoni mwao ni waliomfundisha yeye pale Mlimani na kote alikopitia!!.

Kuna msemo usemao ukiwa jeuri basi dawa yako ni kiburi. JK alikuwa ni rais muungwana, mtu rahimu asiyependa mkwaruzano usio na sababu, huyu wa sasa hawezi kuvumilia kejeli au dhihaka ya aina yoyote ile.

Ni ubatizo wa moto ambao unaendelea katika awamu ya tano.
 
Kwanza tufahamu kuwa yaliyotokea na yanayotokea hayana budi kutokea na hakuna mwenye uwezo wa kuyazuia yasitokee.

Pili yote anayoyafanya Kwasasa Slaa hana hiari nayo si kwa maana ya ccm au wale wanaomfadhili kwa sasa bali ni laana ya kiapo na nadhiri zake...hawa wanaomfadhili ni kiambishi tu cha nguvu iliyo nje ya uwezo wa kibinadamu .

Slaa anateswa na haiba na kiapo, nadhiri na ahadi ya kutumikia kiapo.. Nimekutana na viapo Nimeishi maisha ya viapo lakini SIKUAPA. viapo ni vibaya na viapo havifi na kuviuwa kunahitaji mlolongo mrefu na wenye mambo mengi.

Slaa Aliitwa kwa wito kuonyesha na kutumia vipawa vyake kwa njia ya upadri akakubali na kupokea mpaka daraja la upadirisho mbele ya mimbari takatifu...aliingia mkataba na Mungu na kukamilisha wito.

Bahati mbaya sana akakengeuka nakuanguka moja kwa moja na tangu hapo viapo nadhiri na laana vikaanza kumuandama.

Siasa sio dini siasa ni propaganda siasa ni unafiki siasa haina kweli na Siasa haiongozwi na roho mtakatifu.

Kwa laana ile ya kiapo na nadhiri akajikuta anaangukia kwenye Ulimwengu wa mapepo na roho za kutangatanga.. Na tangu hapo ameendelea kutangatanga kuanzia kwenye mahusiano mpaka kwenye maisha.

Hakuna ambacho ameweza kufanya kikakamilika, amekosa ndoa takatifu amekosa maisha ya kudumu Kwenye siasa amekosa Kuacha Heshima na historia ya kutukuka kwenye lolote alilolifanya.

Kila alipoanza alianza vizuri kwa mafanikio na kupendwa sana lakini mwishoni kila kitu kikaenda kombo na kugeuka ubatili.... Kiapo kinamtesa.. Na haya ndio atakuwa maisha yake mpaka kaburini .

Viapo ni vibaya hakikisha unatengua kama hutaki kuendelea nacho viapo vina roho na roho haifi, mengi mabaya yatamtokea Dr na hii ni kanuni ya kidunia katika Ulimwengu wa roho.
Nakubaliana na wewe Mshana Jnr.kwamba viapo vinatesa.Hata hivyo Mshana naomba tukubaliane kwamba vipo viapo batili.Kiapo cha useja cha Dr.Slaa ni batili Mshana,kwa kuwa Mungu ameamuru watu wote waoe!(Soma Mwanzo1:28; 2:24;1Korintho7:2;8-9 na especially 1Timotheo 4:1-3).What does this mean,this means that kiapo chake is not binding,kwa kuwa hakina misingi ya Mungu wa kweli.

Mshana do you know that the origins of the Illuminati can be traced back to the Vatican?Do you also know that other esoteric sects like the Knights of Malta,Templars,Rocicrusians,the Golden Dawn and the Freemasons evolved from the so called Catholic Church,which is infact not a church, but an order?With all that in mind my brother, I can't see how a covenant with an order like the Catholic can be binding,from the standpoint of the God of Israel.I however stand to be corrected.

Finally Mshana, Slaa anaweza kuonekana as if hajafanikisha lolote,lakini mwenzio ndio yuko kazini hivyo.Hivi Unajua ni nani analipia kukaa kwake Canada?Kalagabaho.
 
Back
Top Bottom