Kwa jicho la kiroho: Sakata la Dr. Slaa

Kwa jicho la kiroho: Sakata la Dr. Slaa

Umejibu kwa defensive mechanism zaidi kuliko constructive argumentation, huku ukilaumu na kuona... Sio kosa lako ni upofu wa kiroho, unaangalia lakini huoni
haaa heee - ulitaka niandike vipi ? Unaweza kuandika au umekuwa Magu unataka kila mmoja aandike unachopenda kusoma? Kumbuka hapa ni JF sio kwa mkuu wa mkoa wa DSM
 
Sijakuzuia kuandika mtazamo wako nimetafsiri ulichoandika kwa mtazamo wangu
 
kama kaanza kuwa muuzaji kwenye super market kafulia.
 
Kwanza tufahamu kuwa yaliyotokea na yanayotokea hayana budi kutokea na hakuna mwenye uwezo wa kuyazuia yasitokee.

Pili yote anayoyafanya Kwasasa Slaa hana hiari nayo si kwa maana ya ccm au wale wanaomfadhili kwa sasa bali ni laana ya kiapo na nadhiri zake...hawa wanaomfadhili ni kiambishi tu cha nguvu iliyo nje ya uwezo wa kibinadamu .

Slaa anateswa na haiba na kiapo, nadhiri na ahadi ya kutumikia kiapo.. Nimekutana na viapo Nimeishi maisha ya viapo lakini SIKUAPA. viapo ni vibaya na viapo havifi na kuviuwa kunahitaji mlolongo mrefu na wenye mambo mengi.

Slaa Aliitwa kwa wito kuonyesha na kutumia vipawa vyake kwa njia ya upadri akakubali na kupokea mpaka daraja la upadirisho mbele ya mimbari takatifu...aliingia mkataba na Mungu na kukamilisha wito.

Bahati mbaya sana akakengeuka nakuanguka moja kwa moja na tangu hapo viapo nadhiri na laana vikaanza kumuandama.

Siasa sio dini siasa ni propaganda siasa ni unafiki siasa haina kweli na Siasa haiongozwi na roho mtakatifu.

Kwa laana ile ya kiapo na nadhiri akajikuta anaangukia kwenye Ulimwengu wa mapepo na roho za kutangatanga.. Na tangu hapo ameendelea kutangatanga kuanzia kwenye mahusiano mpaka kwenye maisha.

Hakuna ambacho ameweza kufanya kikakamilika, amekosa ndoa takatifu amekosa maisha ya kudumu Kwenye siasa amekosa Kuacha Heshima na historia ya kutukuka kwenye lolote alilolifanya.

Kila alipoanza alianza vizuri kwa mafanikio na kupendwa sana lakini mwishoni kila kitu kikaenda kombo na kugeuka ubatili.... Kiapo kinamtesa.. Na haya ndio atakuwa maisha yake mpaka kaburini .

Viapo ni vibaya hakikisha unatengua kama hutaki kuendelea nacho viapo vina roho na roho haifi, mengi mabaya yatamtokea Dr na hii ni kanuni ya kidunia katika Ulimwengu wa roho.

Pole sana.Angalia usije ukawa umelaanika. ....Maana ukimnyooshea mwezio vile vingine binakutazama wewe.
Toa boriti kwenye jicho lako kwanza.......

Uzuri jicho la Mungu si la Mwanadamu
 
Mpe pole yeye sio mimi.. Mimi nimeandika mtazamo wa kiroho angalia tangu mwanzo nilichoandika
 
Dr Slaa ni mtu mwenye msimamo - mtoa mada acha kupotosha - alisema anaacha siasa mnataka nini zaidi kaamua kupumzika - angekuwa TZ angekuwa nachunga Ng'ombe wake mbulu mngesema vilevile -

Acheni kuchejuka - hakuna mtu kafanya kazi ya ukombozi ndani ya vyama vya upinzani kama Dr Slaa - hawa wengine wote ni masilahi tu. Acheni kabisa kelele za kijinga - Dr Slaa was real deal Upinzani.

Kuwa padri ni sawa na kiapo cha ndoa - kuna watu wanavunja amri ya sita kama mashetani wengine wanapiga wake zao mpaka wanalazwa muhimbili ila wapo ikulu.

Watu wana machangudoa kila kijiji na wanasepa hao hawakuapa ?

Mungu sio mganga wa kienyeji acheni mzebudo.

Hakuna uhusiano wa kiapo cha upadri na maisha ya mtu - biblia hajailazimisha mtu awe padri wala haisemi usioe wala hailazimishi kutokuwa ndio kuwa mhubiri wa dini.

Hapo kwenye bold sijui unaongelea wapi wanaopiga wake zao hadi kulazwa ila wapo ikulu???
 
Dr. Slaa ni mwanasiasa ambaye wale wapinzani halisi wataendelea kuthamini kila alichokifanya akiongozwa na uzalendo. Alikuwa tayari kuumizwa na kukutana na majanga ya kila aina kwa ajili ya CHADEMA, alikuwa na malengo ya kutengeneza succession plan ya uongozi. Leo hii hawa UKAWA walioshindwa kupambana na nguvu ya fedha, wanamkejeli kama vile hakuna cha maana alichokifanya. Lakini bahati nzuri ni kwamba Mungu husikiliza maombi ya waja wake, hatimaye ile mitandao ya rais wa awamu ya nne na yule mzee wa monduli, imepotezwa kisiasa.

Sasa tumerudi kwenye siasa za ukweli, zisizoongozwa na wanamtandao, marafiki wawili yaani mkwere na mmeru walikuwa wanataka kulivunjavunja Taifa ambalo wazalendo aina ya Dr. Slaa walitumia kila aina ya hekima ili liweze kufika pazuri. Mungu ametuepisha majanga makubwa, kwani mtandao unaomuingiza mtu madarakani, ni lazima utumikiwe, madhara ya mitandao ni ubaguzi ndani ya jamii, watu kutazamana kikabila na kikanda. Yule asiyekuwa wa upande wa mitandao inabidi awanyenyekee wanamtandao ili aweze kupata maisha mazuri.

Kwangu mimi Dr. Slaa alisaidia sana katika kuwakumbusha watanzania kwamba anayefaa ni muadilifu mwenye hulka ya unyenyekevu kwa umma na sio mwanasiasa aliyetumia nguvu nyingi katika kujijengea ngome ya kumpeleka Ikulu.
Sawa tumekusoma.. vipi na kwa TUNDU LISSU[emoji13]
 
Kwanza tufahamu kuwa yaliyotokea na yanayotokea hayana budi kutokea na hakuna mwenye uwezo wa kuyazuia yasitokee.

Pili yote anayoyafanya Kwasasa Slaa hana hiari nayo si kwa maana ya ccm au wale wanaomfadhili kwa sasa bali ni laana ya kiapo na nadhiri zake...hawa wanaomfadhili ni kiambishi tu cha nguvu iliyo nje ya uwezo wa kibinadamu .

Slaa anateswa na haiba na kiapo, nadhiri na ahadi ya kutumikia kiapo.. Nimekutana na viapo Nimeishi maisha ya viapo lakini SIKUAPA. viapo ni vibaya na viapo havifi na kuviuwa kunahitaji mlolongo mrefu na wenye mambo mengi.

Slaa Aliitwa kwa wito kuonyesha na kutumia vipawa vyake kwa njia ya upadri akakubali na kupokea mpaka daraja la upadirisho mbele ya mimbari takatifu...aliingia mkataba na Mungu na kukamilisha wito.

Bahati mbaya sana akakengeuka nakuanguka moja kwa moja na tangu hapo viapo nadhiri na laana vikaanza kumuandama.

Siasa sio dini siasa ni propaganda siasa ni unafiki siasa haina kweli na Siasa haiongozwi na roho mtakatifu.

Kwa laana ile ya kiapo na nadhiri akajikuta anaangukia kwenye Ulimwengu wa mapepo na roho za kutangatanga.. Na tangu hapo ameendelea kutangatanga kuanzia kwenye mahusiano mpaka kwenye maisha.

Hakuna ambacho ameweza kufanya kikakamilika, amekosa ndoa takatifu amekosa maisha ya kudumu Kwenye siasa amekosa Kuacha Heshima na historia ya kutukuka kwenye lolote alilolifanya.

Kila alipoanza alianza vizuri kwa mafanikio na kupendwa sana lakini mwishoni kila kitu kikaenda kombo na kugeuka ubatili.... Kiapo kinamtesa.. Na haya ndio atakuwa maisha yake mpaka kaburini .

Viapo ni vibaya hakikisha unatengua kama hutaki kuendelea nacho viapo vina roho na roho haifi, mengi mabaya yatamtokea Dr na hii ni kanuni ya kidunia katika Ulimwengu wa roho.
 
Wee Mzee Unajua Mambo Mengi Sana Najitaid Kuwa Karibu Yako Lakin......!!!!

Kwa Maana Ya Kujifunza Lakin

Kiviere Wa Usangi
 
Hakuna padre aliyehasi/kukengeuka maisha yake yakanyooka... Kama unamjua toa ushahidi hapa...
Watawa wengine wanakuwa vichaa kabisa...!!

Baada ya slaa kusema anaachana na siasa na kuanza kuwasifia ccm sikushangaa hata kidogo...wala sikuitazama kisiasa au kwa sababu ya njaa zake....niliitazama kiroho...mwaka 2015 kama slaa angepitishwa kuwa mgombea angepata umaarufu mkubwa sana na alikuwa na nafasi hata ya kushinda urais... Mungu atabaki kuwa Mungu...naomba twendee kuishi tutajua mwisho wake...ipo siku atarudi bongo amepigika...si kwa sababu namchukia...la hasha... Ni kwa sababu najua kiapo tena cha upadre..huwezi kuwa salama

Usiwe mjinga wa kuaminishwa kwa kusikia! Post hoc ego propter hoc!Hiyo ni fallacy ndugu! Jimbo Kuu la Dar es Salaam peke yake lina mapadre watano wameacha na wako vizuri zaidi yako!!!
 
Kwanza tufahamu kuwa yaliyotokea na yanayotokea hayana budi kutokea na hakuna mwenye uwezo wa kuyazuia yasitokee.

Pili yote anayoyafanya Kwasasa Slaa hana hiari nayo si kwa maana ya ccm au wale wanaomfadhili kwa sasa bali ni laana ya kiapo na nadhiri zake...hawa wanaomfadhili ni kiambishi tu cha nguvu iliyo nje ya uwezo wa kibinadamu .

Slaa anateswa na haiba na kiapo, nadhiri na ahadi ya kutumikia kiapo.. Nimekutana na viapo Nimeishi maisha ya viapo lakini SIKUAPA. viapo ni vibaya na viapo havifi na kuviuwa kunahitaji mlolongo mrefu na wenye mambo mengi.

Slaa Aliitwa kwa wito kuonyesha na kutumia vipawa vyake kwa njia ya upadri akakubali na kupokea mpaka daraja la upadirisho mbele ya mimbari takatifu...aliingia mkataba na Mungu na kukamilisha wito.

Bahati mbaya sana akakengeuka nakuanguka moja kwa moja na tangu hapo viapo nadhiri na laana vikaanza kumuandama.

Siasa sio dini siasa ni propaganda siasa ni unafiki siasa haina kweli na Siasa haiongozwi na roho mtakatifu.

Kwa laana ile ya kiapo na nadhiri akajikuta anaangukia kwenye Ulimwengu wa mapepo na roho za kutangatanga.. Na tangu hapo ameendelea kutangatanga kuanzia kwenye mahusiano mpaka kwenye maisha.

Hakuna ambacho ameweza kufanya kikakamilika, amekosa ndoa takatifu amekosa maisha ya kudumu Kwenye siasa amekosa Kuacha Heshima na historia ya kutukuka kwenye lolote alilolifanya.

Kila alipoanza alianza vizuri kwa mafanikio na kupendwa sana lakini mwishoni kila kitu kikaenda kombo na kugeuka ubatili.... Kiapo kinamtesa.. Na haya ndio atakuwa maisha yake mpaka kaburini .

Viapo ni vibaya hakikisha unatengua kama hutaki kuendelea nacho viapo vina roho na roho haifi, mengi mabaya yatamtokea Dr na hii ni kanuni ya kidunia katika Ulimwengu wa roho.
Aisee bro mshana Umeongea logic km siyo fact mtani wangu
 
Usiwe mjinga wa kuaminishwa kwa kusikia! Post hoc ego propter hoc!Hiyo ni fallacy ndugu! Jimbo Kuu la Dar es Salaam peke yake lina mapadre watano wameacha na wako vizuri zaidi yako!!!
Tuwekee majina ya hao mapadri walioacha utumishi wao ndani ya kanisa.
Hivi mnajua nadhiri ya upadri ni tofauti na ndoa!!
Mafunzo ya ndoa si zaidi ya mwezi, lakini mafunzo ya upadri ni miaka kadhaa.
Mapadri hula kiapo chao kwa kulala kifudifudi mbele ya altare, lakini ndoa husimama na kula kiapo na kuvishana pete.
Kisaikolojia ukiacha upadri lazima utaathirika tu achilia mbali kiroho!!
 
Nimekupa source fanya your home work! au ni prove wrong! Sio kila mtu anapenda kutangazwa!
 
Back
Top Bottom