Kwa jicho la kiroho: Sakata la Dr. Slaa

Kwa jicho la kiroho: Sakata la Dr. Slaa

jspo
mshana jr

I cant believe CHADEMA mnaimba nyimbo zile zile tulizozizowea kuzisikia kutoka kwa wanaCCM dhidi ya Dr Slaa,kisa?kapishana na Mbowe.Ila sishangai,yalianza kwa Dr Kaborou,akaja Wangwe,Zitto akafuatia na sasa ni zamu ya Dr Slaa,nani atafuatia?Oh yeah ni yule atakayepishan na --------- Mbowe.
japo laigwenan lowassa kanunua cdm kwa bei mbaya kuna kila dalili makabidhiano hayatakuepo. mbowe atamrusha kama ilivyo tabia ya baadhi ya akina mangi. edo atakapodai haki yake ndio itakua mwanzo wa yale yaliyowakuta kina zitto slaa et al
 
uwezo wangu katika kupambanua jambo haulingani na uwezo wako unaoendeshwa na hisia za kisiasa. hivyo sihitaji kukujibu katika hilo. kama unajua kinachomsababisha kusahau kila wakati basi kaulize parkinson disease huathiri nini na kwa nini nimesema lowasa anaumwa. endelea na imani yako ya kuwa upo kwenye njia sahihi.

Wewe kama sio agent wa Lusifa au shetani basi ni lusifa mwenyewe: Tafakari
 
Kwanza tufahamu kuwa yaliyotokea na yanayotokea hayana budi kutokea na hakuna mwenye uwezo wa kuyazuia yasitokee.

Pili yote anayoyafanya Kwasasa Slaa hana hiari nayo si kwa maana ya ccm au wale wanaomfadhili kwa sasa bali ni laana ya kiapo na nadhiri zake...hawa wanaomfadhili ni kiambishi tu cha nguvu iliyo nje ya uwezo wa kibinadamu .

Slaa anateswa na haiba na kiapo, nadhiri na ahadi ya kutumikia kiapo.. Nimekutana na viapo Nimeishi maisha ya viapo lakini SIKUAPA. viapo ni vibaya na viapo havifi na kuviuwa kunahitaji mlolongo mrefu na wenye mambo mengi.

Slaa Aliitwa kwa wito kuonyesha na kutumia vipawa vyake kwa njia ya upadri akakubali na kupokea mpaka daraja la upadirisho mbele ya mimbari takatifu...aliingia mkataba na Mungu na kukamilisha wito.

Bahati mbaya sana akakengeuka nakuanguka moja kwa moja na tangu hapo viapo nadhiri na laana vikaanza kumuandama.

Siasa sio dini siasa ni propaganda siasa ni unafiki siasa haina kweli na Siasa haiongozwi na roho mtakatifu.

Kwa laana ile ya kiapo na nadhiri akajikuta anaangukia kwenye Ulimwengu wa mapepo na roho za kutangatanga.. Na tangu hapo ameendelea kutangatanga kuanzia kwenye mahusiano mpaka kwenye maisha.

Hakuna ambacho ameweza kufanya kikakamilika, amekosa ndoa takatifu amekosa maisha ya kudumu Kwenye siasa amekosa Kuacha Heshima na historia ya kutukuka kwenye lolote alilolifanya.

Kila alipoanza alianza vizuri kwa mafanikio na kupendwa sana lakini mwishoni kila kitu kikaenda kombo na kugeuka ubatili.... Kiapo kinamtesa.. Na haya ndio atakuwa maisha yake mpaka kaburini .

Viapo ni vibaya hakikisha unatengua kama hutaki kuendelea nacho viapo vina roho na roho haifi, mengi mabaya yatamtokea Dr na hii ni kanuni ya kidunia katika Ulimwengu wa roho.
 
Wewe ni mtu usie na busara unaendeshwa na mihemko na hujui historian ya ukristo
Inawezekana maneno yangu yakaashiria kukosa busara, na inategemea kwenu busara munaifasiri vipi. Historia safi ya Ukristo inayotolewa na Wakristo wenyewe huwa sihangaiki nayo maana nimeisoma hiyo tangu utoto mpaka chuo kikuu.
Sasa hivi napekua historia ya upande wa pili ya ushoga, ubasha, ujambazi, ulaghai, biashara ya utumwa na kadhalika... Hata wewe unaweza kuitafiti pia!
 
pic%2Bslaa.jpg
 
Dr Slaa ni mtu mwenye msimamo - mtoa mada acha kupotosha - alisema anaacha siasa mnataka nini zaidi kaamua kupumzika - angekuwa TZ angekuwa nachunga Ng'ombe wake mbulu mngesema vilevile -

Acheni kuchejuka - hakuna mtu kafanya kazi ya ukombozi ndani ya vyama vya upinzani kama Dr Slaa - hawa wengine wote ni masilahi tu. Acheni kabisa kelele za kijinga - Dr Slaa was real deal Upinzani.

Kuwa padri ni sawa na kiapo cha ndoa - kuna watu wanavunja amri ya sita kama mashetani wengine wanapiga wake zao mpaka wanalazwa muhimbili ila wapo ikulu.

Watu wana machangudoa kila kijiji na wanasepa hao hawakuapa ?

Mungu sio mganga wa kienyeji acheni mzebudo.

Hakuna uhusiano wa kiapo cha upadri na maisha ya mtu - biblia hajailazimisha mtu awe padri wala haisemi usioe wala hailazimishi kutokuwa ndio kuwa mhubiri wa dini.
 
Hakuna padre aliyehasi/kukengeuka maisha yake yakanyooka... Kama unamjua toa ushahidi hapa...
Watawa wengine wanakuwa vichaa kabisa...!!

Baada ya slaa kusema anaachana na siasa na kuanza kuwasifia ccm sikushangaa hata kidogo...wala sikuitazama kisiasa au kwa sababu ya njaa zake....niliitazama kiroho...mwaka 2015 kama slaa angepitishwa kuwa mgombea angepata umaarufu mkubwa sana na alikuwa na nafasi hata ya kushinda urais... Mungu atabaki kuwa Mungu...naomba twendee kuishi tutajua mwisho wake...ipo siku atarudi bongo amepigika...si kwa sababu namchukia...la hasha... Ni kwa sababu najua kiapo tena cha upadre..huwezi kuwa salama
 
Umejibu kwa defensive mechanism zaidi kuliko constructive argumentation, huku ukilaumu na kuona... Sio kosa lako ni upofu wa kiroho, unaangalia lakini huoni
 
Dr Slaa ni mtu mwenye msimamo - mtoa mada acha kupotosha - alisema anaacha siasa mnataka nini zaidi kaamua kupumzika - angekuwa TZ angekuwa nachunga Ng'ombe wake mbulu mngesema vilevile -

Acheni kuchejuka - hakuna mtu kafanya kazi ya ukombozi ndani ya vyama vya upinzani kama Dr Slaa - hawa wengine wote ni masilahi tu. Acheni kabisa kelele za kijinga - Dr Slaa was real deal Upinzani.

Kuwa padri ni sawa na kiapo cha ndoa - kuna watu wanavunja amri ya sita kama mashetani wengine wanapiga wake zao mpaka wanalazwa muhimbili ila wapo ikulu.

Watu wana machangudoa kila kijiji na wanasepa hao hawakuapa ?

Mungu sio mganga wa kienyeji acheni mzebudo.

Hakuna uhusiano wa kiapo cha upadri na maisha ya mtu - biblia hajailazimisha mtu awe padri wala haisemi usioe wala hailazimishi kutokuwa ndio kuwa mhubiri wa dini.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji115] [emoji115] [emoji116] [emoji116] [emoji116] just witness this [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]

Back
Top Bottom