Kwa Hotuba ya Kagera, ni bora angekaa kimya

Bukoba chakula chao ni ndizi kwa hiyo wanataka serikali iwapelekee ndizi na wana mashamba mahekta ya migomba mi nimekaa bukoba sehem moja inaitwa kiziba kwa wazba na buyango nimekaaa sasa wanataka chakula cha serikali kwani hata ndizi zimekaushwa na tetemeko !!

Huo ni uhuni ni kisingizio tu kwamba hawana chakula ila wanatala kupiga mzigo bora kawambia ukweli
 
Sina hakika na hilo!! Kwan ile hotuba ameandaliwa au alikua anangea kujibu maneno ya mitandaoni na ya wanasiasa!!pia yawezekana dunia aliyopo yeye hizo nchi hazipo, swali ni kwamba mbona hapo awali hakuomba pesa za kujenga miundo mbinu!!?none sense!!
Shida sana hii.Michezo hii ilianza tukiwa wadogo,Naomba hela ya sadaka halafu naenda kununulia ice cream na kacholi.Na ndio tabia tulizokuwa nazo mpaka ukubwani.Kipindi kingine likitokea janga basi watu tusitangaziwe kuchangia wahanga iwe hivyo tu.Na huko makanisani wakome kabisa hii tabia,nakumbuka jinsi ilivyokuwa.
 
Watanzania tunataka kuwa na kiongozi ambaye anajua namna ya kuwatia matumaini Watanzania hata ule wakati mgumu wa kiuchumi kwa sababu mbali mbali hata zile ambazo zinasababishwa na mabadiliko ya hali ya hewa.

Watanzania tunajua kwamba Serikali haina shamba, lakini kupatwa na balaa nchini hii haitakuwa mara ya kwanza. Njaa nchini kutokana na hali mbaya ya hewa imetokea katika awamu zote katika sehemu mbali mbali nchini, waliokuwa madarakani wakati huo kuanzia Baba wa Taifa walikuja na kauli za kuwapa matumaini Watanzania kwamba Serikali itajitahidi kadri iwezavyo kuhakikisha maeneo hayo yanakuwa na chakula cha kutosha.

Wengine waliwahamasisha Watanzania waliokumbwa na balaa la njaa walime mazao ambayo yanahitaji muda mfupi mpaka mavuno.

Lakini si huyu kauli zake ni za hovyo hovyo tu hajui kuhamasisha Watanzania hajui kuwapa matumaini Duh! Hivi anafikiri Watanzania ambao wanakabiliwa na hali mbaya ya hewa na hivyo kukosa mvua waliomba ukame uingie katika maeneo yao wanayoishi ili waathirike na njaa!? Huyu mtu ni wa ajabu sana! Dah!

(i) "Waambie hao wanasiasa wawajengee hizo nyumba zenu wenyewe.. "

(ii) "kwa hiyo kila mmoja katika upande wake abebe msalaba wake mwenyewe..,"

(iii) "jukumu la serikali ni kurejesha miundombinu ya serikali, siyo kujenga nyumba za wananchi"

(iv) "asitokee mtu kuwadanganya kwamba serikali itagawa chakula., hauwezi kugawa chakula ardhi ni ya kijani"

(v) "sasa mkuu wa wilaya nataka nikueleze hapa.., sitaleta chakula hapa, hakuna chakula cha serikali, serikali haina shamba "

(vi) " nimekuja kuwapa ujumbe huu, na mwenye kusikia asikie"

>>>> Hayo ni ya maneno ya 'FARAJA' kutoka kwa Rais John Pombe Magufuli akiwa Kagera leo.., una maoni yapi katika kauli hizo za Rais wa watanzania wakiwepo wale wahanga qa tetemeko kule Kagera!!?

Binafsi; sina deni hata chembe.., hii dhambi haiwezi kunitafuna (ya kuichagua CCM).., siyo mmoja kati ya wale ambao walichagua CCM.., siyo mmoja wapo kabisa!
 
Iko wapi Tanzania yenye upendo na mshikamano naona imeanza kupotea tena kwa kasi sijui tunaelekea wapi
 
(i) "Waambie hao wanasiasa wawajengee hizo nyumba zenu wenyewe.. "

(ii) "kwa hiyo kila mmoja katika upande wake abebe msalaba wake mwenyewe..,"

(iii) "jukumu la serikali ni kurejesha miundombinu ya serikali, siyo kujenga nyumba za wananchi"

(iv) "asitokee mtu kuwadanganya kwamba serikali itagawa chakula., hauwezi kugawa chakula ardhi ni ya kijani"

(v) "sasa mkuu wa wilaya nataka nikueleze hapa.., sitaleta chakula hapa, hakuna chakula cha serikali, serikali haina shamba "

(vi) " nimekuja kuwapa ujumbe huu, na mwenye kusikia asikie"

>>>> Hayo ni ya maneno ya 'FARAJA' kutoka kwa Rais John Pombe Magufuli akiwa Kagera leo.., una maoni yapi katika kauli hizo za Rais wa watanzania wakiwepo wale wahanga qa tetemeko kule Kagera!!?

Binafsi; sina deni hata chembe.., hii dhambi haiwezi kunitafuna (ya kuichagua CCM).., siyo mmoja kati ya wale ambao walichagua CCM.., siyo mmoja wapo kabisa!
"Mimi sikuahidi tetemeko"
 
Samahani kutumia maneno haya ....lakini tunakoenda hata Ras akijamba Chadema watatoa tamko kajamba vibaya ....hatari sana..... kukosoa sawa ...ila inapitiliza ....
Akili ukizoea kuweka mfukoni,baadaye inakuwa sehemu ya maisha yako!Unajikuta tu unawaza kijingajinga!
 
(i) "Waambie hao wanasiasa wawajengee hizo nyumba zenu wenyewe.. "

(ii) "kwa hiyo kila mmoja katika upande wake abebe msalaba wake mwenyewe..,"

(iii) "jukumu la serikali ni kurejesha miundombinu ya serikali, siyo kujenga nyumba za wananchi"

(iv) "asitokee mtu kuwadanganya kwamba serikali itagawa chakula., hauwezi kugawa chakula ardhi ni ya kijani"

(v) "sasa mkuu wa wilaya nataka nikueleze hapa.., sitaleta chakula hapa, hakuna chakula cha serikali, serikali haina shamba "

(vi) " nimekuja kuwapa ujumbe huu, na mwenye kusikia asikie"

>>>> Hayo ni ya maneno ya 'FARAJA' kutoka kwa Rais John Pombe Magufuli akiwa Kagera leo.., una maoni yapi katika kauli hizo za Rais wa watanzania wakiwepo wale wahanga qa tetemeko kule Kagera!!?

Binafsi; sina deni hata chembe.., hii dhambi haiwezi kunitafuna (ya kuichagua CCM).., siyo mmoja kati ya wale ambao walichagua CCM.., siyo mmoja wapo kabisa!
Huyo ndio mshindi wa Tuzo ya Forbes , kazi ipo !
 
_20170102_232447.JPG

Huyu mwana Kagera ana bahat kweli
 
CCM mbel kwa mbeleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
 
Kwanza nikupongeze kwa kuja kutuona, tulitegemea umekuja kutufariji hila umetonesha kidonda kilichokuwa kuimepunguza maumivu.
Mh raisi najua Uraisi ni Taasisi we ndo msemaji wa mwisho hivyo naamini wasaidizi wako wamekupa taarifa za uongo hili kukufurahisha hila mh Raisi hotuba yako haijabeba uhalisia.
Sitaongelea swala la Tetemeko ebu nijikite ktk swala la NJAA.
MH Raisi we ulikuwa mjumbe wa kamati ya maendeleo ya mkoa wa Kagera unajua fika wilaya za Muleba, Karagwe, Kyerwa, Ngara na Misenyi jinsi hali ya hewa na kilimo chao kilivyo. Mh raisi kuona ukijani sio kuwa mazao yamestawi la hasha.
Kagera mvua unyesha mwezi wa 8 hadi wa 1(january) hizi ndo mvua tegemeo kwa kupanda. mh kilichotokea mvua zilinyesha mwezi wa 7 watu wakapanda baada ya kupanda mvua zikakata mh mahindi na maharage hayajastawi kwani yalikauka. Mh Raisi mvua zilirejea tena mwezi wa 10 watu wakapanda tena mahindi yamefika hatua ya kuzaa mvua imekata mpaka sasa twajiuliza mwakani itakuwa je?
mh Raisi Mda huu tumepata maharage kidogo na viazi kwa baadhi ya maeneo tu si maeneo yote. Migomba ilikauka na we si mgeni unajua kweli ndizi zilivyo tegemeo kwetu.
Mh Raisi Kweli Twafa kama ulivyosema kwani mfariji wetu, kiongozi wetu, baba yetu huajaona matatizo tuliyonayo.
Mfariji wetu ni Mungu tu. ametuvusha ktk majaribu haya naamini atakupa moyo pia wa kutufikiria.

TETEMEKO.
Mh Raisi umedanganywa kuwa kuna watu wamebomoa nyumba zao yawezekana hila si kweli kwani kuna nyumba zilipata nyufa kubwa mpaka ukigusa ukuta unatikisika mkuu ilibidi nyumba hizo zobomolewe kwa usalama wa wakaaji. Kuna wengine kwa sababu ya hali ngumu nyumba zina nyufa na kuta zinataka kudondoka hila bado wanaishi humo.
Mh Raisi Tunashukuru kwa Kuja hila mkuu hatujabarikiwa na kuja kwako pia wasaidizi wako wanakupotosha au wanaogopa kukupa hali halisi. Kana kuna mkuu wa wilaya na mkuu wa mkoa anakuambia hakuna shida tumbua haraka.
Mh Raisi tunakutakia safari njema kurudi dar. Karibu bukoba tena 2019.
 
Anavyoongea utasema ni muasi aliyebahatika kupindua nchi, kazi ipo awamu hii aisee.
 
Back
Top Bottom