certified mdokozi
JF-Expert Member
- Jan 20, 2016
- 1,403
- 809
the strongest ruler hii sifa haiitaj sana ueledi kama.unamabavu
Ukishapita kwenye magumu sana then unaona kawaida tu.Hongera yako we pga kaz ila uombe uzma tu wawazaz wako waspatwe na majanga halaf uambiwe hii kijan yote unaomba msaada
.Hadi naandika hayo. Manaake nimezielewa.
Hujajibu nilichokuuliza!!
Hizo theory umezileta kwa nia gani kama siyo kuwa na lengo la kutetea Lumumba?
Mkuu, hiyo ilikuwa chombeza tu. Nimemsikia kwa macho yangu, ni mwaka wa majanga tu huu.Niweke chumvi ili nipate faida gani?
Lema ni mbunge, anatafuta pia uungwaji mkono na wapiga kura, katika kufanya hivyo huenda akapotoka kiasi Fulani.
Lema alitumia lugha Kali sana kwa Raid wetu pia kwa mkuu wa mkoa wa Arusha, cha kufanya awaagize viongozi wa chama chake wayamalize kwa kuomba msamaha kwa alio wakosea, kisha aje hadharanj kuomba msamaha kwa Gambo na Rais kwa ujumla, pia watanzania wote,kuwa mbishi sio ustaarabu ukikosea kili, kisha omba msamaha.Huo ndio ungwana, hata mahakama ikimshikilia zaidi, kwa kuwa Alisha kili basi wakiona inafaa watamuadhibu ki sheria.