Kazi za mbunge zimegawanyika katika makundu matatu. Mbunge anawajibika jimboni kwake, bungeni na kwenye chama chake. Bungeni ana wajibu wa kushiriki kwenye debates, kupitisha sheria, n.k. Kwenye chama, anaunga mkono chama chake na kukisaidia katika nyanja mbali mbali kama ku advocate polices zake, msemaji wa chama, nk. Kwenye jimbo lake, mbunge ana jukumu la kushauri jinsi ya kutatua matatizo yanayowakabili wanajimbo hasa yale yanayotakiwa kutatuliwa na serikali, kuwakilisha concerns za wanajimbo bungeni na ku act as a figurehead wa jimbo lake.
Tatizo tulilonalo ni kuwa wabunge wetu wamejikita zaidi kwenye kusaidia vyama vyao kwa njia yoyote ile. Wabunge wengi tuu hawajishughulishi na majadiliano yanayokuwa yanaendelea bungeni. Wengine mpaka wanapigwa picha wakiwa wamelala wakati majadiliano makali yakiendelea. Kubwa zaidi wabunge wengi hawatekelezi majukumu yao kwenye majimbo yao.
Rostam Aziz ni mfano tuu. Sijawahi kumsikia Rostam amesimama bungeni akitetea jambo fulani linalohusu jimbo lake. Wengine walidhani hana haja ya kufanya hivyo kwa vile jimbo lake tayari lina maendeleo ya kutosha. Igunga ni mfano tuu. Kwa wale ambao wamebahatika kutembelea vijijini utalia na roho yako. Hali ni mbaya. Hawa watu wana wawakilishi lakini wanaishi Dar. Wakati Rostam anajiuzuli ilimbidi apande ndege aende Igunga kujiuzulu. Wengine wakijiuzulu watafanya hivyo hivyo.
Lakini the root cause ni sisi wenyewe Watanzania. Politicians use us for their own benefits because we Tanzania don't really bother anymore. Ili mradi tunaenda haja kubwa, that's what matter to us now. Our future generation tumeisahau kabisa. And we will be punished for this. Asha Dii alianzisha thread moja muhimu sana juu ya trend ya African Politics (
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-politics-historia-itajirudia-tanzania-5.html) ambapo nilisema: We create problems, which in turn we use them to buy votes from voters. Whether wangeshinda Chadema, CUF au walivyoshinda CCM, by 2015 hali mbaya ya maendeleo jimbo la Igunga itaendelea kuwa vile vile. Trust me on this.
Our political game is based on manipulating the poor and illiterate. We create opportunities of dependency to the government and this way the poor always put the same leader, leadership style in power. We the people make our leaders whether new or old what they are. Our leaders in a large measure a reflection of the totality of our attitude to everything. Leadership is sustained by fellowship.