Kwa hili, Rostam Aziz hutasameheka

Kwa hili, Rostam Aziz hutasameheka

Hahahaha, hahaha, sikwambii mpaka Mkandara mwenyewe anipe ruksa. Najuwa kuwa unamjuwa sana tu. Litoto la kwenu hilo na mumeo atakuwa anamjuwa sana tu. Lakini mwiko kutajana, kila asiyetaka kujificha humu anakuja kwa jina lake la ukweli. Nakusifu kwa kutumia jina lako.

Halo Gozi lako vipi, mbona simpati kwenye simu, mwambie kesho saa nne ntampigia, please.

OK. No problem.
 
Hahahaha, hahaha, sikwambii mpaka Mkandara mwenyewe anipe ruksa. Najuwa kuwa unamjuwa sana tu. Litoto la kwenu hilo na mumeo atakuwa anamjuwa sana tu. Lakini mwiko kutajana, kila asiyetaka kujificha humu anakuja kwa jina lake la ukweli. Nakusifu kwa kutumia jina lako.

Halo Gozi lako vipi, mbona simpati kwenye simu, mwambie kesho saa nne ntampigia, please.
Miye sijifichi hata siku moja kwa sababu siogopi mtu wala kitu kwani niyaandikayo yanatoka moyoni mwangu. Na bila kujificha labda nimkumbushe tu Bibie kwamba enzi za Nyerere nilikuwa na duka pale Udoe kwa kina Asha nilipotia timu nilimwachia Katimba - washikaji zangu enzi hizo kina Twaa to London...Upo!
 
Kenge anaeuza Mix au mwingine> huyo mama BP ndio nani? mimi namjuwa Baba Agip na Dad Caltex. lol.
Haswa kenge huyo huyo,Mama BP alikuwa anaishi mkabala wa nyumba ya Kenge kabla zote hazijavunjwa,naongelea miaka ya 80-90.
 
Miye sijifichi hata siku moja kwa sababu siogopi mtu wala kitu kwani niyaandikayo yanatoka moyoni mwangu. Na bila kujificha labda nimkumbushe tu Bibie kwamba enzi za Nyerere nilikuwa na duka pale Udoe kwa kina Asha nilipotia timu nilimwachia Katimba - washikaji zangu enzi hizo kina Twaa to London...Upo!

Sasa Udoe si ndio kwetu. Kama rafikiyo ni Twaa, unajuwa kuwa limekuwa teja heavy na juzi kafungwa miaka 5, Mungu amsaidie, unaongea watu wa mtaani kwangu halafu wewe nisikujuwe? haiwezekani.

Ndio nini kuwa magwanda? au umeoa Mchaga? Unanchekesha.
 
Sasa Udoe si ndio kwetu. Kama rafikiyo ni Twaa, unajuwa kuwa limekuwa teja heavy na juzi kafungwa miaka 5, Mungu amsaidie
Najua sana!..ndio mitihani yenyewe hiyo - "Show forgiveness, speak for justice and avoid the ignorant." (Qur'an 7:199)
 
unaongea watu wa mtaani kwangu halafu wewe nisikujuwe? haiwezekani.

Ndio nini kuwa magwanda? au umeoa Mchaga? Unanchekesha.
Dah si ndio ubaguzi unaokataa wee au kwa Wachagga inakuwa tofauti. Kunijua wanijua isipokuwa hukumbuki watu wote wa mtaani..
 
Dah si ndio ubaguzi unaokataa wee au kwa Wachagga inakuwa tofauti. Kunijua wanijua isipokuwa hukumbuki watu wote wa mtaani..

Wala si ubaguzi huo, kwani wewe hujui hicho chama wenyewe kina nani? Na ukioa au kuolewa na Mchaga ujuwe na wewe ushakuwa Mchaga kama wangazija hawa, maana wangazija hata jirani nae huwa mngazija. lol.

Halafu mtaani, Bi Asha kafariki, Ahmed Yanga kafariki, Abu mdogo wake Ahmed Yanga kafariki, wazee wote wale kina Mzee bumbura, Mama Fatuma masamaki, Bi Khadija wa Biriani (kwa kina Ahmed Yanga), Killer kule Udoe chini karibu ya Msimbazi, Dahhh, Its time turudi kwa mola wetu kwa bidii zote.

Ntamuuliza Zomba atanikumbusha na ntakujuwa tu, lakini yule misimamo yake ya kikoloni, kisha sema haniambii basi haniambii kweli.
 
Faiza Foxy said:
Mkandara nakuelewa sana humu JF, miaka mingi sana tumekuwa pamoja (bahati mbaya id yangu ya zamani ilikula ban ya maisha) humu JF
Ndo ulikuwa ukijiita nani vile?Mugongo mugongo ama Hasara?Ama mswahili?Waliopigwa ban ya maisha humu sidhani kama ni wengi sana wameipata.Hili ulojipachika kwa sasa nalo Mhn mhn!Ka la kujilipuwa flani hivi.Faiza gani ambaye ni Foxy at the same time ka si kujilipuwa huku?Teh teh teh teh!
 
Sijui kama Regia atarudi tena humu, kipigo alicho kipata ni cha kiutu uzima, amekimbia na chupi mkononi. Huyo ndio Faiza jamani. Tahadhari kwa wabunge njaa wengine, usifananishe JF na vijiwe vya mtaani . Hapa lazima uwe fiti ndio uweze mpambano, lasivyo utaumbuka.
 
Ndo ulikuwa ukijiita nani vile?Mugongo mugongo ama Hasara?Ama mswahili?Waliopigwa ban ya maisha humu sidhani kama ni wengi sana wameipata.Hili ulojipachika kwa sasa nalo Mhn mhn!Ka la kujilipuwa flani hivi.Faiza gani ambaye ni Foxy at the same time ka si kujilipuwa huku?Teh teh teh teh!

Faiza ni Orijino Foxy ni nick:


[TD="class: index"] 1. [/TD]
[TD="class: word"] foxy[/TD]
[TD="class: tools"][/TD]

[TD="class: text, colspan: 2"] Not referring to a fox itself but is instead o young and beautiful women. Deriving from the ancient British word of Foxismonitism, meaning attractive or sexually appealing, has evolved along the years to become a more well known, and someone slang word, foxy. Laura Harlow is one foxy babe.
Source:
http://www.urbandictionary.com/define.php?term=foxy

[/TD]


Nijilipuwe kwani mie mkimbizi? kwa raha zangu. Unanchekesha.
 
nimeamua kuandika habari hii baada ya kujishauri tangu nikiwa igunga!

Rostam aziz amekuwa mbunge wa igunga tangu mwaka 1994 ambapo mpaka sasa ni takribani miaka 17 chini ya uongozi wake. Nilikuwa sijawahi kufika igunga kabla hivyo sikuifahamu ilivyo.siku rostam anajiuzulu alieleza mafanikio mengi aliyoyafanya igunga nikadhani igunga hali ni shwari na watu wanamaendeleo mazuri,nilivyofika sikuamini nilichokiona. Rostam alitudanganya. Katika tembea yangu yote hapa nchini sijawahi kuona wananchi wanashida kama wa igunga.

Mambo yafuatayo nimeyagundua katika jimbo la igunga;

1. Wananchi wengi wa jimbo la igunga hawajui kusoma na kuandika mpaka vijana wadogo

2. Wananchi wengi wa igunga wanatembea hadi kilomita 13 kufuata maji kwenye makomero tena maji yenyewe sio safi wala salama

3. Wananchi wengi wa igunga wanatembea hadi kilomita 10 kufuata shule,wengine wanaenda hadi 20

4. Kwenye kata nilizopita hawaelewi wala kuzijua shule za awali.

5. Wananchi wengi wanatembea umbalimrefu kufuata zahanati na hayo majengo yenyewe ya zahanati unaweza kulia.

6. Hakuna barabara za kuunganisha kijiji kimoja na kingine,njia zilizopo ni mapitio ya ng'ombe.

7. Wananchi wengi hawana vyoo wala hawana mpango wa kujenga vyoo,wao wajenga mabafu tu yanayotumika kuogea na kujisadia haja ndogo,haja kubwa utajua mwenyewe.

8. Zipo kata ambazo hazing mawasiliano ya simu

9. Lipo kabila mpaka leo wanatembea uchi kama kwa king muswati.

10. Wapo wanaotembea karibu kilomita 13 kufuata tv waone taarifa ya habari na mambo mengine. Hii ni kata anayotoka dr. Kafumu

11. Na mengine mengi madogo madogo.

Rostam alikuwa na uwezo wa kupunguza hayo niliyoyataja kwasababu zifuatazo

1. Alikuwa ni mbunge hivyo alikuwa na fursa ya kupiga kelele ndani na nje ya bunge na akasililizwa.
2. Alikuwa mbunge mwenye ushawishi ndani ya chama chake hivyo angeweza kushawishi mawaziri ili miradi iende jimboni kwake.
3. Alikuwa mbunge tajiri sana,kama aliweza kuipa ccm,mabilioni ya shillingi,kama aliweza kuhonga watu mbalimbali mamilioni ya shilingi alishindwaje kusaidia jimboni kwake? Aliishia kuwanunulia tu simu mabalozi wa nyumba kumi ili wamfanyie kampeni.
4. Alikuwa anafahamiana na wafadhili wengi tu wa maendeleo wa ndani na nje ya nchi alishindwaje kuwashawishi wawekeze kwake?

Rostam aliyaweza haya yote lakini hakujali kwakuwa hakuwa na lengo la kuwatumikia wananchi wa igunga. Kwasababu hizo basi nashawishika kusema kuwa rostam ni zaidi ya dubwana ni mtu anayeongoza kwa roho mbaya hapa nchini. Hana huruma hata kidogo, anajali maslahi yake tu.. Bora ulivyojiuzulu, ungejiuzulu na utanzania kabisa, ukaombe uraia wa nchi nyingine huko ughaibuni sio afrika!

Nawasilisha!

tumpeleke kwa bi kalibwene akanyolewe huko kwenu morogoro
 
hii nchi ni ya demokrasia wana igunga wameipenda ccm waacheni loh? Hata ra walimlilia sana hadi wengine walizimia
 
Nimeamua kuandika habari hii baada ya kujishauri tangu nikiwa Igunga!

Rostam Aziz amekuwa Mbunge wa Igunga tangu mwaka 1994 ambapo mpaka sasa ni takribani miaka 17 chini ya uongozi wake. Nilikuwa sijawahi kufika Igunga kabla hivyo sikuifahamu ilivyo.Siku Rostam anajiuzulu alieleza mafanikio mengi aliyoyafanya Igunga nikadhani Igunga hali ni shwari na watu wanamaendeleo mazuri,nilivyofika sikuamini nilichokiona. Rostam alitudanganya. Katika tembea yangu yote hapa nchini sijawahi kuona Wananchi wanashida kama wa Igunga.

Mambo yafuatayo nimeyagundua katika jimbo la Igunga;

1. Wananchi wengi wa Jimbo la Igunga hawajui kusoma na kuandika mpaka vijana wadogo

2. Wananchi wengi wa Igunga wanatembea hadi Kilomita 13 kufuata maji kwenye Makomero tena maji yenyewe sio safi wala salama

3. Wananchi wengi wa Igunga wanatembea hadi Kilomita 10 kufuata shule,wengine wanaenda hadi 20

4. Kwenye kata nilizopita hawaelewi wala kuzijua shule za awali.

5. Wananchi wengi wanatembea umbalimrefu kufuata Zahanati na hayo majengo yenyewe ya Zahanati unaweza kulia.

6. Hakuna barabara za kuunganisha kijiji kimoja na kingine,njia zilizopo ni mapitio ya ng'ombe.

7. Wananchi wengi hawana vyoo wala hawana mpango wa Kujenga vyoo,wao wajenga mabafu tu yanayotumika kuogea na kujisadia haja ndogo,haja kubwa utajua mwenyewe.

8. Zipo Kata ambazo hazing mawasiliano ya simu

9. Lipo Kabila mpaka leo wanatembea uchi kama kwa King Muswati.

10. Wapo wanaotembea karibu Kilomita 13 kufuata TV waone taarifa ya habari na mambo mengine. Hii ni Kata anayotoka Dr. Kafumu

11. Na mengine mengi madogo madogo.

Rostam alikuwa na uwezo wa kupunguza hayo niliyoyataja kwasababu zifuatazo

1. Alikuwa ni Mbunge hivyo alikuwa na fursa ya kupiga kelele ndani na nje ya Bunge na akasililizwa.
2. Alikuwa Mbunge mwenye ushawishi ndani ya chama chake hivyo angeweza kushawishi Mawaziri ili miradi iende Jimboni kwake.
3. Alikuwa Mbunge tajiri sana,kama aliweza kuipa CCM,Mabilioni ya shillingi,Kama aliweza kuhonga watu mbalimbali mamilioni ya shilingi alishindwaje kusaidia Jimboni kwake? aliishia kuwanunulia tu simu Mabalozi wa Nyumba Kumi ili wamfanyie Kampeni.
4. Alikuwa anafahamiana na wafadhili wengi tu wa Maendeleo wa ndani na nje ya nchi alishindwaje kuwashawishi wawekeze kwake?

Rostam aliyaweza haya yote lakini hakujali kwakuwa hakuwa na lengo la kuwatumikia Wananchi wa Igunga. Kwasababu hizo basi nashawishika kusema kuwa Rostam ni zaidi ya DUBWANA ni mtu anayeongoza kwa roho mbaya hapa nchini. Hana huruma hata kidogo, anajali maslahi yake tu.. Bora ulivyojiuzulu, ungejiuzulu na utanzania kabisa, ukaombe uraia wa nchi nyingine huko ughaibuni sio Afrika!

Nawasilisha!

mtazamo wako sio mbaya japo ni kibinafsi zaidi, umeulizia kabla ya rostam labda hali ilkuwaje, na kwann miaka yote hiyo wameendelea kumchagua mpaka kajiuzulu, ni mafanikio yapi kaleta igunga..kisha linganisha na wilaya nyingine tanzania zipo nyingi tu mfano chukua, BUNDA kwa mjomba wako wasira..au kwimba kwa kaka yako...kisha mlaumu rostam
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom