Eti kwanini kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2010, karatasi ya kupigia kura ziliandikwa namba zetu za shahada, ili wajue ulimpigia nani kura au, eh, wasije wakatutimua kwenye ofisi zao, tukienda kuomba kazi, maana hata kazi kwenye ofisi zao wanapeana kichama badala ya kuwajali wananchi wote, hii sio poa, mpaka mtu apretend kuwa mshikaji wao!, kina Mama huko bush waliikoma mikopo iliyopelekwa huko, kuna mkoa watu walilalamika kabisa kuwa wanatakiwa watoe kadi ya kuwa wao ni wa chama tawala, ili wapate zile hela za JK, watu wengine wahuni sana, tusinyanyase watu kwa tofauti za kisiasa n.k, tuwajali wote, kila mtu ana mtazamo wake wa mambo mbalimbali, ilimradi tu, yasiwe ya kuliharibu na kulifilisi Taifa.