Wewe na Rostam mnafanana?, nasikia utanzania wake ni wa kupretend zaidi, eti wanasema ana urai wa nchi tatu, huyu si mzalendo, ikiwemo Tanzania, unafikiri pesa zake ni kwa ajili ya kuiendeleza Tanzania, sijui kwanini alikuwa mbunge, kama mtu ana uraia mwingine zaidi ya wa Tanzania, asipewe uongozi kwenye serikali wala sekta muhimu za taifa, kwasababu atafanya hapa ndio pakuchuma utajiri ili akautumie kwa manufaa yake na hiyo nchi ambayo iko rohoni mwake, wahindi tu, wanafanya biashara kihuni, kodi wanatoa kidogo, wanachuma kwetu, wanaenda kuendeleza India yao, huyo Rostam nafikiri ni mtanzania wa kwenye kitambulisho tu, kuwa ana urai wa Bongo, but kimoyoni, si mtanzania na wala hafikirii kuiendeleza Tanzania hata kidogo, anataka kujichotea utajiri tu, watu wa aina hiyo wasipewe uongozi, embu wabunge wawe ni wakazi halisi wa maeneo wanayotawala ili angalau wawajali zaidi ndugu zao na wawaonee aibu kuwafanyia unafiki kwasababu watakuwa wanakutana nao kila mahali, kwenye nyumba za ibada, mahospitalini n.k, na pia atasemwa na ikiwezekana, kuondolewa kwenye uongozi na jamii yake kama hatoweza kuwaendeleza kama mikoa mingine, lazima atakuwa na adabu ili asigombane na ndugu wala kuwalia hela maendeleo ya mkoa wao kupita kiasi, mtu kama Rostam hana uchungu na watu wa Igunga, wala hawaonei aibu kwasababu hakutani nao misibani wala msikitini na wala haonji adha wanazozipata kila siku katika maisha yao, huwezi kumtumia jirani yako ambaye mmenunua kiwanja eneo moja pesa wakati wewe uko Ulaya ili asimamie ujenzi wa nyumba yako, lazima akuchakachue, nyumba yako inamuhusu nini!, lazima akuibie vigae na cement akajenge kwake pia, bora umuombe Dada yako aisimamie, kama uongozi wao hauwezi kufuatiliwa kwa makini na wakubwa wao kwasababu labda ya kuwaonea aibu, bora basi waongoze maeneo wanakotoka ili wapambane ana kwa ana na ndugu zao, wanapoboronga, embu wamcheck mbunge wa Rombo anavyochakarika!.