Kwa hili, Rostam Aziz hutasameheka

Kwa hili, Rostam Aziz hutasameheka

Mkuu nafikiri pia ni Waziri kivuli wa kazi na Ajira? A shadow Minister ‘shadows' or keeps an eye on the activities of the corresponding government Minister. This is a very important role within the system of checks and balances that is part of responsible government. A shadow Minister is the Opposition's spokesperson for a particular portfolio or policy area.

Shadow Ministers also develop their own policies for what they would do if they were in government. Being a Shadow Minister means you must act like a Minister-in-waiting. You have to keep a close eye on what the respective government Minister does, and let the public know what you would do differently.

Kwa vile alijionea mwenyewe hali ilivyo Igunga, as a shadow minister inabidi aje na policy on how Chadema ita address tatizo la ajira na kazi sio tuu Igunga bali pia nchi nzima. Kumtolea tuu povu Rostam haitoshi. As a shadow minister I am sure Chadema watakuwa wame allocate funds kwenye ministry yake kutembelea sehemu mbalimbali za nchi na kujionea hali halisi ya ajira na kazi. Otherwise, ina maana kama Rostam asingejivua gamba Regia Mtema asingeona aliyoyaona huko Igunga which is shocking really kwa a minister in waiting.
Mkuu nitakujibu kwa kukusanya maswali yote..
Kwanza, Wana Igunga:-
Swala la WanaIgunga kuendelea kumchagua Rostam ni makosa yaleyale yanayofanywa na Watanza nia wote ikiwa ni pamoja na wewe kuendelea kukichagua chama cha CCM. Kamam utaweza kunieleza sababu ya kuwachagua CCM ndio sababu hiy hiyo ina apply kwa wana Igunga. Kifupi Rostam ndiye CCM na hana tofauti na viongozi wengine wa CCM na ndio maana tunasema matatizo ya Umaskini yapo Tanzania nzima na sii Igunga peke yake.

Swala la mtu kubadilika,
Bado nitakwambia ya kwamba binadamu hubadilika inategemea na mazingira yaliyoandaliwa. Leo hii tunatawaliwa na CCM tunaipokea Demokrasia na kumpa heshima zote rais wetu kama mkuu wa majeshi na kadhalika kwa sababu Mazingira yenyewe yamepangwa hivyo. Tunachoweza kupinga na kubalidika ni kumpinga rais na chama CCM lakini bado tutakuwa ktk mazingira ya kumchagua rais na mawaziri wake. Tazama dini na mila zetu vyote hivi ni katiba ama mwongozo ambao unatupa mwanga wa jinsi ya kuyaweka mazingira hayo ya ktaifa na ndio tunakuja ktk sera na ilani zake yote haya ni ktk kuandaa mazingira hayo. Kwa wale wasiotaka kubadilika basi elewa wanafaidika na mazingira yaliyopo sii kwamba hawatabadilika ikiwa mazingira yatabadilishwa. Kwa mfano CCM leo siii kwamba hawataki mabadiliko isipokuwa wanafaidika na hali iliyopo leo lakini kama tutaweza kuibadilisha Katiba watakuwa hawana hila isipokuwa kubadilika kulingana na mazingira yatakayo wekwa.

Swala la Umeme:-
Nadhani tusipoteze maana halisi ya hoja kwa sababu wananchi wanataka umeme wanataka nchi nzima iwe na umeme isipokuwa CCM wanaofaidika na mfumo binafsi ndio hawataki kuwapelekea wananchi umeme kwa sababu za Ubinfsi. Na sii kwamba hawa viongozi hawataki maendeleo ama hawajui faida za umeme isipokuwa Ignorance, greed and selfishness ndio imetawala nafsi zao...Vipaumbele ni nafsi zao wenyewe kutajirika wakati nchi ikiwa ktk transition ya Ubepari ili wapate kuziweka familia zao ktk kundi la Matajiri. Ubepari unatanguliwa na hulka ya mwanadamu ktk Kupuuza, ulafi na Ubinafsi..

Kitu kibaya ingawa ndio ukweli wa hali halisi dunia hakuna Usawa! na Ubepari unatambua kutokuwepo kwa usawa huo hivyo sera zake zimejengwa ktk mfumo wa madaraja (class) baina ya wananchi yaani kuna - Matajiri, Middleclass na maskini... Huu ndio ushindi wa Ubepari ktk mufumo wa kiuchumi tofauti na Ujamaa ambao unajaribu kulazimisha usawa wa binadamu ktk mahitaji na kuutumia ktk Uchumi bila kuzingatia kwamba binadamu tumeumbwa na tamaa, ulafi na hitalafu zote ambazo huwezi kuziondoa kwa mahubiri ya kisiasa.

Kwa hiyo, kwa taifa maskini kaamletu tunapoupokea Ubepari lazima tukubali kuwepo kwa madaraja ya watu na ndipo hao viongozi wetu walipoona mwanya wa kujikomboa wao toka daraja la umaskini hadi utajiri wakati wa transition hii kwani hatujawa bado Mabepari bali tunafuata mfumo wa kibepari hali tukiwa maskini.

Swala la Regia:-
Kuwa mbunge na waziri kivuli, nakuomba ufahamu kwamba ni kutokana na wadhifa huo ndio maana alikwenda Igunga na kuwa mmoja wa wajumbe hivyo kujiionea mwenyewe maendeleo ya wanaIgunga. tena tushukuru alikuwa mmoja wa watu waliotazama nje ya propaganda za uchaguzi akaweza kuyaona mabaya yote haya na pengine sisi tusingejua lolote. Kuna viongozi wengi wa serikali na vyama walikwenda Igunga kufanya kampeni za Uchaguzi na hawakuweza kuyaona haya ama waliyaona na wakayapuuza wasiyazungumzie wakazungumzia zaidi maswala ya Tindikali na mwanamke kuvuliwa Mtandio.. Regia kaweza kuyaleta kwetu matatizo ya wananchi na hali halisi ya Igunga leo mnamwona hana maana wakati kuna watu wengi sana hapa leo hii wameipata picha halisi ya Igunga.

Mkuu wangu Bi Regia kaingia Bungeni majuzi tu baada ya uchaguzi mkuu, hivi mlitaka afanye kipi kama waziri kivuli bila kuwa asigned kwa kazi ama jukumu la kutembelea Tanzania nzima ati apate kujua matatizo ya wananchi. Toka ameingia Bungeni nawasikia tu wabunge wengine wakipewa kazi kwenda huku na kule wengine wakifuatana na rais nje...Mlitaka Regia atafute fedha zake mwenyew na kujiingiza ktk misafara hii au kutembelea Tanzania nzima within 12 month alizoingia bungeni..Je, kwa nini isiwe kazi yetu sisi wananchi kumpasha habari huyu waziri kivuli ili aweze kuwakilisha mawazo yetu, matatizo yetu na kadhalika isipokuwa yeye atembelee nchi nzima wakati kuna urahisi wetu sisi wote kumjulisha yeye.

Halafu sikubaliani na hizi fikra za waziri kutembelea Tanzania nzima ili kuyajua matatizo ya wananchi..It's a waste of time and money! nitakwambia kwa nini na nitakupa mfano..
Nilipokwenda Tanzania nililalamikiwa sana na baadhi ya marafiki na wanafamilia kwa nini sikukwenda makwao kuwatembelea? Lakini hii akili kweli yaani mimi mtu mmoja nitembelee nyumba 100 niwe na kumbukubmu ya marafiki wote, ndugu wote na makazi yao niwatembelee wote wakati ingekuwa rahisi sana kwao wao wote kuja nyumbani kunisalimia mgeni wao na hata kunikaribisha kwao kwa kunipa maelekezo wanapokaa na kadhalika!..Kila mmoja wao angekuwa na safari moja tu kuja nyumbani kwetu kuliko mimi nitembelee nyumba nisizojua hesabu yake wengine sikumbuki wanaishi wapi..

Kwa hiyo mkuu wangu tujaribu kufikiria tofauti kama kuna jambo basi ni jukumu letu kuliwakilisha kwa mbunge wetu Regia naye atalifanyia kazi badala ya kuchukua msafara mrefu wa mawasiliano ili kutimiza jambo moja...
 
Mimi sijawahi kufika Igunga, ila najua mtu akisema umasikini Tanzania anamaanisha nini. It's self explanatory, 14% ya wartanzania wana umeme. sasa mnataka kuniambia hiyo 86% hamjui ipo maeneo gani?
Kwani haijulikani ni maeneo gani hayana maji safi?, hudumaza afya,low literacy,high malnutrition etc?
Haya mambo yanajulikana, hata mimi najua.Sasa kwanini mnatueleza hapa kama sio propaganda za kisiasa ambazo watanzania tunmezichoka?
Mpelekeni mahakamani, it's possible.
 
Mkuu bado tupo ktk transition, uongozi mbaya lazima uzungumziwe na tunazungumzia haya yote kwa sababu asilimia 14 tu ndio wana umeme, hatuna maji safi huduma za Afya, elimu na kadhalika kwa sababu ya SIASA na ukumbi huu ni wa SIASA kama unashindwa kuelewa hivyo sijui tutakusaidia vipi?

Mwenzako Faiza anasema tunatakiwa kuzungumzia kiongozi aliyefanya kitu hakikufanikiwa lakini sio yule ambaye hakufanya kitu hivyo sidhani kama tuna mjadala hapa. yaani tusimzungumzie JK aliyeahidi maisha bora kwa kila mwananchi hali kashindwa kuweka umeme, maji safi, Afya bora, elimu na kadhalika ila tumjadili rais yule aliyeweka na vikashindikana! - Ama kweli tutafika
 
Nadhani nyie ndio mnahitaji msaada, mna play politics. Mna glorify hatred towards a person that arguably was loved by the majority in his constituency wether we like him or not.
Zungumza how are you going to solve those issues, ukisema hatasamehewa na bora ahame Africa. huu ni (neno baya) ambao hautatufikisha popote pale,it doesn't matter upo chama gani, ni wananchi ndio watao kupa ridhaa. Ukisema uongozi mbaya, be specific as pertaining to what? Because he didn't share his riches?
Hivi wewe huoni kama kuna hatred towards non-indigenous Tanzanians hapo? Mimi pia nipo mtoni na wenyeji wanaonionea wivu huwa nawapa live, they are everywhere!
 
Munamshambulia Rostam Aziz bure wakati uozo umo kwenye systrem yenyewe. From Day 1 Tanganyika ilipopata UHURU wake, manyago yalianza. Kuiuwa systema uliokuwepo wakati ule na kuleta UJAMAA ni kosa lislio sameheka. Akina Rostam et al wamo kuendeleza SYSTEM ile.
 
Nadhani nyie ndio mnahitaji msaada, mna play politics. Mna glorify hatred towards a person that arguably was loved by the majority in his constituency wether we like him or not.
Zungumza how are you going to solve those issues, ukisema hatasamehewa na bora ahame Africa. huu ni (neno baya) ambao hautatufikisha popote pale,it doesn't matter upo chama gani, ni wananchi ndio watao kupa ridhaa. Ukisema uongozi mbaya, be specific as pertaining to what? Because he didn't share his riches?
Hivi wewe huoni kama kuna hatred towards non-indigenous Tanzanians hapo? Mimi pia nipo mtoni na wenyeji wanaonionea wivu huwa nawapa live, they are everywhere!

Exactly! hatred because of jeolous
 
Exactly! hatred because of jeolous

Topical,
Wakati mwingine penye maslahi ya nchi tuungane tuache udini. Rostam ana hisa 35 % Vodacom na Vodam hawamo hata kwenye makampuni kumi bora ya ulipaji kodi TZ wakati ndo kampuni kubwa kuliko yote TZ. Rostam ni mmliki wa Dowans/Richmond. Rostam kaiba bilioni 40 serikalini kupitia Kagoda. Rostam ana kampuni za uwindaji haramu huko kwenye mbuga zetu za wanyama etc. Sasa mtu kama huyu asiye na mapenzi mema kwa nchi yetu bado unamtetea tu jamani?
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Na ya kwako pia imenigusa ila nataka kui-comment kama kweli unataka Kilombero i change hiyo concept kwenye signature yako siyo strategy nzuri...inaongeza burden kwa locals na kama huo mfuko utawekezwa na externals utaondoa ile sense of ownership kwa Locals na kuwa na impact sawa na aid...Angalia watu wa Sonjo walivyokuwa discouraged na promisses walizo pewa za micro crediting na moja ya miradi iliyowahi kuwapo hapo Kwa details contact me privately tu discuss jinsi ya kuibadili Kilombero na wewe kuwa mbunge mpaka uchokee mwenyewe...Money is a media of exchange and never on its own a resource....

Good comment Mkuu.NakuPM ili tuzungumze kw kina.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Mkuu bado tupo ktk transition, uongozi mbaya lazima uzungumziwe na tunazungumzia haya yote kwa sababu asilimia 14 tu ndio wana umeme, hatuna maji safi huduma za Afya, elimu na kadhalika kwa sababu ya SIASA na ukumbi huu ni wa SIASA kama unashindwa kuelewa hivyo sijui tutakusaidia vipi?

Mwenzako Faiza anasema tunatakiwa kuzungumzia kiongozi aliyefanya kitu hakikufanikiwa lakini sio yule ambaye hakufanya kitu hivyo sidhani kama tuna mjadala hapa. yaani tusimzungumzie JK aliyeahidi maisha bora kwa kila mwananchi hali kashindwa kuweka umeme, maji safi, Afya bora, elimu na kadhalika ila tumjadili rais yule aliyeweka na vikashindikana! - Ama kweli tutafika

Hapo ndipo pazuri, nakuomba nioneshe haya kama uyasemayo yana ukweli:

1) Umeme: Nioneshe Kikwete kawekeza mpaka sasa MegaWatt ngapi kwenye umeme halafu nioneshe Rais yoyote wa kabla yake pamoja na mkoloni uzijumlishe halafu uniambie hapa Kikwete hajafanya. Nangoja.

2) Elimu, swali ni kama namba 1.

3) Maji safi: swali ni kama namba moja.

4) Na kadhalika: swali ni kama namba moja.

Na ukija na data za uhakika kuhusu maji, shule, umeme na kadhalika (yako), kuwa Kikwete katika kuwekeza kwenye hayo amepitwa na japo Uongozi wote uliomtangulia, leo hii ntaachana na CCM, Its an open challenge.
 
Nadhani nyie ndio mnahitaji msaada, mna play politics. Mna glorify hatred towards a person that arguably was loved by the majority in his constituency wether we like him or not.
Zungumza how are you going to solve those issues, ukisema hatasamehewa na bora ahame Africa. huu ni (neno baya) ambao hautatufikisha popote pale,it doesn't matter upo chama gani, ni wananchi ndio watao kupa ridhaa. Ukisema uongozi mbaya, be specific as pertaining to what? Because he didn't share his riches?
Hivi wewe huoni kama kuna hatred towards non-indigenous Tanzanians hapo? Mimi pia nipo mtoni na wenyeji wanaonionea wivu huwa nawapa live, they are everywhere!

Huo ni mtazamo wako,Mimi siyasema hayo na wala sina chuki na mtu yeyote particulary Rostam,kwanini nimchukie?muwe miasma hoja and then mzichambue kwa kina,soma flow toka mwanzo mpaka mwisho utapata concept. Non indigenous Tanzanians ndo kina nani hasa and why should I hate them?
 
Mimi sijawahi kufika Igunga, ila najua mtu akisema umasikini Tanzania anamaanisha nini. It's self explanatory, 14% ya wartanzania wana umeme. sasa mnataka kuniambia hiyo 86% hamjui ipo maeneo gani?
Kwani haijulikani ni maeneo gani hayana maji safi?, hudumaza afya,low literacy,high malnutrition etc?
Haya mambo yanajulikana, hata mimi najua.Sasa kwanini mnatueleza hapa kama sio propaganda za kisiasa ambazo watanzania tunmezichoka?
Mpelekeni mahakamani, it's possible.

Kama umezichoka ni wewe mkuu, sisi tunapambana nazo hadi kieleweke...
 
Topical,
Wakati mwingine penye maslahi ya nchi tuungane tuache udini. Rostam ana hisa 35 % Vodacom na Vodam hawamo hata kwenye makampuni kumi bora ya ulipaji kodi TZ wakati ndo kampuni kubwa kuliko yote TZ. Rostam ni mmliki wa Dowans/Richmond. Rostam kaiba bilioni 40 serikalini kupitia Kagoda. Rostam ana kampuni za uwindaji haramu huko kwenye mbuga zetu za wanyama etc. Sasa mtu kama huyu asiye na mapenzi mema kwa nchi yetu bado unamtetea tu jamani?

Hayo ni mawazo finyu yasiyo namaana:

1) Kuwa na kampuni hakumaanishi ndio ulipe kodi kubwa zaidi. Kodi kubwa hulipwa kutokana na faida kubwa na si ukubwa wa kampuni.

2) a) Huwezi kutuaminisha kuwa Rostam ndio mmiliki wa Dowans na hata tukikubaliana na wewe kuwa mmiliki wa Dowans ni Rostam, hivi Dowans wanakosa lipi?

b) Richmond: Hakuna asiyejuwa kuwa hata Richmond haina kosa kisheria, kama walikuwa hawajatimiza walichoahidi mikataba yao, wakuwashika na kuwasulubu ni wale waliowapa Richmond kazi waifanye. Na hilo kwa upande wa Serikali limefanyika tena vizuri tu, tumeona kwa mara ya kwanza Waziri Mkuu na wenzake wawili wakishinikizwa kujiuzulu na imekuwa hivyo. Na tumeona Mkurugenzi wa Richmond akishtakiwa na kushinda kesi kwa kuwa kaonekana hana kosa. N ahili pia huwezi kutuamnisha mmiliki ni Rostam kwa kuwa unasema kuwa ni mmiliki. Tupe ushahidi.

3) Rostam kaiba: Na hili nalo kama ni kweli unangoja nini kumpeleka mahakamani? si kuna mtu kaenda kushtaki na anatokea hapahapa JF, vipi imeishia wapi?

4) Hili la kuwa na vitalu Haraamu, hebu tupe ushahidi maana sasa kila dongo na maharo ni Rostam, hivi na hili la vitalu haram kama unalo unangoja nini kwenda mahakamani kama unaipenda nchi yako?

Rostam kwa sasa si mbunge na anashtakika kama kuna ukweli uusemao, kinakushinda nini> angalia tu, kama huna ushahidi na uyasemayo yakithibitishwa kuwa ni uongo utakuwa na mshataka ya kujibu.
 
Huo ni mtazamo wako,Mimi siyasema hayo na wala sina chuki na mtu yeyote particulary Rostam,kwanini nimchukie?muwe miasma hoja and then mzichambue kwa kina,soma flow toka mwanzo mpaka mwisho utapata concept. Non indigenous Tanzanians ndo kina nani hasa and why should I hate them?

Baada ya kusema haya niliyo ku "quote" hapa chini, kweli leo unaweza kusema hayo (kwenye nyekundu hapo juu) na ukaeleweka? Unanshangaza!
Regia Mtema
JF Premium Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

Rostam ni zaidi ya DUBWANA ni mtu anayeongoza kwa roho mbaya hapa nchini. Hana huruma hata kidogo, anajali maslahi yake tu.. Bora ulivyojiuzulu, ungejiuzulu na utanzania kabisa, ukaombe uraia wa nchi nyingine huko ughaibuni sio Afrika
 
Baada ya kusema haya niliyo ku "quote" hapa chini, kweli leo unaweza kusema hayo (kwenye nyekundu hapo juu) na ukaeleweka? Unanshangaza!

Tatizo lako unakurupuka kujibu kabla hujmuelewa mtu.Soma unielewe bibie/ babuye
 
[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD="class: contentheading"]Mbunge aanza kuchimba visima 60 jimboni [/TD]
[TD="class: buttonheading, width: 100%, align: right"] Send to a friend [/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD="class: createdate"] Friday, 07 October 2011 18:41 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 0diggsdigg

Mwanja Ibadi-Kilwa
MBUNGE wa Kilwa Kaskazini Muktadha Mangungu, ameanza kuchimba visima 60 vitakavyogharimu zaidi ya Sh720 milioni, katika vijiji na shule za sekondari zenye tatizo la maji.Hatua hiyo inalenga katika kuwawezesha wapiga kura wake, kuondokana na kero ya muda mrefu ya kukosa huduma za maji.
Akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa uchimbaji wa visima hivyo, uliofanyika katika Shule ya Sekondari Ilulu, Mangungu alisema kwa muda mrefu, wananchi wa jimbo hilo wamekuwa wakikabiliwa na tatizo wa kukosa huduma za maji safi na salama.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Mungu amzidishie hiyo ni sadaka lakini isiwe ni rushwa tu hiyo? achunguzwa hizo fedha za visima sitini kazitowa wapi? Mtu kama Rostam akifanya biashara zake zinajulikana huyu hata sijui kama si kuzihalalisha pesa za haramu.
 
Tatizo lako unakurupuka kujibu kabla hujmuelewa mtu.Soma unielewe bibie/ babuye

Unataka ueleweke nini zaidi ya ulivyoeleza? na ueleweke nini wakati ni wewe uliyekuja ukaomba radhi kwa kauli zako za kibaguzi au umesahau tukukumbushe? Hivi ni kipi kinachokupa kibri hii? huo Ubunge? nakuasa kiongozi hawi hivyo unavyofanya wewe, nimekuasa ukatafute kitabu nilichokuandikia ukakisome, kitakusaidia sana. Kumbuka kuongoza si kuongea, ni vitendo. Hakuna aliyekuwa muongeaji mzuri kama Nyerere, lakini nchi ilimshinda hii kukawa hakuna hata dawa za meno na wakati wake tukawa ni nchi ya mwisho kwa umaskini duniani. Na akianza kuongea Nyerere na kutoa hoja kama huujuwi utendaji wake ulivyo mbovu utasema hakuna kiongozi kama huyu duniani.

Wewe Regia nakuasa usome sana, poteza muda mwingi kusoma wale viongozi wenye mafanikio walikuwa kuwaje, na mazuri yao uyafate na mabaya yao uyaache, hata Nyerere aliwahi kusema hili, yale mabaya yake tusiyarudie.

Kupakazana matope "gutter politics" huwa hazina mshiko, kwa kuwa ujuwe kama wewe ni wa namna hiyo na watu watakupeleka hukohuko. Lakini ukiwa ni kiongozi wa kutenda zaidi na watu watakupeleka huko huko na itabidi washindane na vitendo vyako na si madongo yako.

Leo tukisema tuonesheni mlichokifanya/ Mnacho? kama kipo tuonesheni zaidi ya kurusha madongo.
 
Pole kwa kukukwaza was not my intention.But am happy that my message sent and delivered at a right time and for the right people..QUOTE=FaizaFoxy;2616454]Unataka ueleweke nini zaidi ya ulivypeleza? na ueleweke nini wakati ni wewe uliyekuja ukaomba radhi kwa kauli zako kibaguzi au umeshau tukukumbushe? Hivi ni kipi kinachokupa kibri hii? huo Ubunge? nakuaa kiongozi hawi hivyo unavyofanya wewe, nimekuasa ukatafute kitabu nilichokuandikia ukakisome, kitakusaidia sana. Kumbuka kuongoza si kuongea, ni vitendo. Hakuna aliyekuwa muongeaji mzuri kama Nyerere, lakini nchi ilimshinda hii kukawa hakuna hata dawa za meno na wakati wake tukawa ni nchi ya mwisho kwa umaskini duniani. Na akianza kuongea Nyerere na kutoa hoja kama huujuwi endaji wake ulivyo mbovu utasema hakuna kiongozi kama huyu duniani.Wewe Regia nakuasa usome sana, poteza muda mwingi kusoma wale viongozi wenye mafanikio walikuwa kuwaje, na mazuri yao uyafate na mabaya yao uyaache, hata Nyerere aliwahi kusema hili, yale mabaya yake tusiyarudie.Kupakazana matope "gutter politics" huwa hazina mshiko, kwa kuwa ujuwe kama wewe ni wa namna hiyo na watu watakupeleka hukohuko. Lakini ukiwa ni kiongozi wa kutenda zaidi na watu watakupeleka huko huko na itabidi washindane na vitendo vyako na si madongo yako.Leo tukisema tuonesheni mlichokifanya/ Mnacho? kama kipo tuonesheni zaidi ya kurusha madongo.[/QUOTE]
 
Ligi bado inaendelea ni magamba vs magwanda,hapo ni mpaka kieleweke.
 
Pole kwa kukukwaza was not my intention.But am happy that my message sent and delivered at a right time and for the right people..QUOTE=FaizaFoxy;2616454]Unataka ueleweke nini zaidi ya ulivypeleza? na ueleweke nini wakati ni wewe uliyekuja ukaomba radhi kwa kauli zako kibaguzi au umeshau tukukumbushe? Hivi ni kipi kinachokupa kibri hii? huo Ubunge? nakuaa kiongozi hawi hivyo unavyofanya wewe, nimekuasa ukatafute kitabu nilichokuandikia ukakisome, kitakusaidia sana. Kumbuka kuongoza si kuongea, ni vitendo. Hakuna aliyekuwa muongeaji mzuri kama Nyerere, lakini nchi ilimshinda hii kukawa hakuna hata dawa za meno na wakati wake tukawa ni nchi ya mwisho kwa umaskini duniani. Na akianza kuongea Nyerere na kutoa hoja kama huujuwi endaji wake ulivyo mbovu utasema hakuna kiongozi kama huyu duniani.Wewe Regia nakuasa usome sana, poteza muda mwingi kusoma wale viongozi wenye mafanikio walikuwa kuwaje, na mazuri yao uyafate na mabaya yao uyaache, hata Nyerere aliwahi kusema hili, yale mabaya yake tusiyarudie.Kupakazana matope "gutter politics" huwa hazina mshiko, kwa kuwa ujuwe kama wewe ni wa namna hiyo na watu watakupeleka hukohuko. Lakini ukiwa ni kiongozi wa kutenda zaidi na watu watakupeleka huko huko na itabidi washindane na vitendo vyako na si madongo yako.Leo tukisema tuonesheni mlichokifanya/ Mnacho? kama kipo tuonesheni zaidi ya kurusha madongo.

Mimi hujanikwaza bali umeniongezea upeo wa kukujuwa u mtu wa aina ipi na wa upeo upi. Umeeleweka vyema sana kwa kuwa uko happy kwa message yako na kweli tumeipata right time na tumeelewa "siasa" zako. Ahsante sana kwa hayo.

A good leader is a person who takes a little more than his/her share of the blame and a little less than his/her share of the credit.
 
Unataka ueleweke nini zaidi ya ulivypeleza? na ueleweke nini wakati ni wewe uliyekuja ukaomba radhi kwa kauli zako kibaguzi au umeshau tukukumbushe? Hivi ni kipi kinachokupa kibri hii? huo Ubunge? nakuaa kiongozi hawi hivyo unavyofanya wewe, nimekuasa ukatafute kitabu nilichokuandikia ukakisome, kitakusaidia sana. Kumbuka kuongoza si kuongea, ni vitendo. Hakuna aliyekuwa muongeaji mzuri kama Nyerere, lakini nchi ilimshinda hii kukawa hakuna hata dawa za meno na wakati wake tukawa ni nchi ya mwisho kwa umaskini duniani. Na akianza kuongea Nyerere na kutoa hoja kama huujuwi endaji wake ulivyo mbovu utasema hakuna kiongozi kama huyu duniani.

Wewe Regia nakuasa usome sana, poteza muda mwingi kusoma wale viongozi wenye mafanikio walikuwa kuwaje, na mazuri yao uyafate na mabaya yao uyaache, hata Nyerere aliwahi kusema hili, yale mabaya yake tusiyarudie.

Kupakazana matope "gutter politics" huwa hazina mshiko, kwa kuwa ujuwe kama wewe ni wa namna hiyo na watu watakupeleka hukohuko. Lakini ukiwa ni kiongozi wa kutenda zaidi na watu watakupeleka huko huko na itabidi washindane na vitendo vyako na si madongo yako.

Leo tukisema tuonesheni mlichokifanya/ Mnacho? kama kipo tuonesheni zaidi ya kurusha madongo.

Faiza Foxy hakuna mtawala anayeweza kuwa 100%, kinachomsuta mtawala/kiongozi ni azma yake binafsi kwa wanachi wake; Nyerere alijitahidi sana kama kiongozi, miundo mbinu tuliyonayo sasa hivi ni matunda yake kama kiongozi; sikatai yapo mambo hakufanikiwa na alikuwa akisema hadharani; tofauti kubwa iliyopo kati Nyerere na viongozi wetu tulionao ni UBINAFSI; Nyerere angeweza kufa akiwa na milionea lakini fedha hazikuwa kusudio lake la kutafuta uraisi/uongozi ndio sababu alikufa akiwa mtu wa kawaida sana mada hii ifungulie thread yake ni muhimu tukaelemishana hasa katika kipindi hiki cha kusheherekea MIAKA 50 YA UHURU NA UMASKINI ULIOTOPEA. Sasa turudi kwa Regia Mtema na Chadema; inafurahisha sana kuona tuna mbunge mwenye hisia za kibaguzi amejaribu kukanusha lakini ningeomba arudi kuisoma tena; umaskini wa Igunga hautokani na Rostam; ni makosa ya serikali yetu kwa kuwatekeleza wana Igunga; viongozi kama Rostam wapo Chadema, labda Regia ajaribu kutufafanulia mh. Mbowe alipataje tenda ya kufanya biashara na Chadema; tenda likuwa ni zaidi ya mil.150, ilitangazwa wapi na vilitumika vigezo gani? Je mh. Mbowe tangu awe mbunge kuna jambo gani la maendeleo jimboni mwake? Mbowe hana tofauti Rostam. Je Mbowe anaonekana msafi kimatendo kutokana na rangi yake? Wote wamejiingiza kwenye siasa si kwa mantiki ya kuwatumikia wananchi bali kufanikisha biashara zao, Regia ameonyesha jinsi alivyomfinyu kifikra; kama mbunge anapaswa kupitia anachokiandika; Rostam hayupo tena Bungeni kesho tutamlaumu nani; maeneo mengi Tanzania ikiwamo Kilombero yanafanana sana kimaendeleo sasa sijui atatueleza nini au Rostama anahusika na maendeleo yao?

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom