Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,682
Yaani hata wale walozimia kipindi Rostam anajiuzulu, ni wajinga sana na hawajui kuchanganua mambo!!
Wewe ni mmoja wao ulikuwa ukishabikia makubwa ya Rostam Igunga. Ushahidi uko humu humu JF, you have been challenged for more than a month kuleta angalau kubwa moja ukayeyuka, kimyaaaaaaaaaaa!!!! Kumbuka RA is a king maker, ni jinamizi haongelewi eti kwa kumuonea wivu kama mlivyozoea kuita wanaohoji ujambazi.
Ukilaza kijana sio tusi wala jazba, ni ukweli. Hivi unakuja kama mbunge kuongelea mtu aliyekwisha achia ngazi?
Turudi kwenye mada ipi ya kuongelea mtu? unanchekesha! hebu kuwa kama mbunge wa ukweli na uongelee kuwa nimekuta mapungufu haya na haya na haya na sasa nafanyia kazi haya na haya na haya. Achana na kuwekeza kichawi kwenye vichwa vya watu.
Nenda kawaulize watu wa Igunga kwa nini wameichaguwa tena CCM. wacha porojo za kuongelea watu hapa. Huyu Rostam ndio msingi wenu wa siasa? nawaonea huruma sana kwa kukosa ya maana ya kuongelea. Ongeleeni mto Ruaha huko unakauka maji, mnafanya nini kama chama "politically" na "scientifically" kuokoa watu, wanyama, mimea na uhai wte uliomo kwenye huo mto na pembezoni mwake. halafu huyu Rostam mnakaa hapa kuonesha dhambi zake tuuuuuuu, mbona hamthubutu kumshitaki? Kama chama cha upinzani na dhambi zake zote mnazijuwa na sasa hana "immunity" ya ubunge mnangoja nini? au ni mfupa usiotafunika?
Na bado Kama haya mnastaajabu basi miaka mitano ijayo mtaona na kusikia mengi ndani na nje ya Bunge......
Kama wewe mwenyewe hujishangai mwanaume kujivalisha hijabu na kujipachika majina ya kike,utawezeja kuchambua hoja bila kuwa na bias hasa pale penye ukweli?
Hahaha ahahaha ahahaha!!!!!! unajua huwa unanifurahisha sana pale ambapo ukiwa nyuma ya hii ID yako una msimamo "X" halafu ukiwa hadharani una msimamo "Y". Why flip flopping? Unasimamia upande gani hasa?????????????? Kuwa jasiri msimamo mmoja kwa pen name na pia hadharani. Mbona hujiamini???????
Hata signature yako haiendani na ulichokisema hapa..Kumbe hijab ya bure kabisa!
Hata signature yako haiendani na ulichokisema hapa..Kumbe hijab ya bure kabisa!
Achana na kuongelea watu leta hoja, hayo ndio namwambia na huyu Mbunge wako.
"Great minds talks about ideas, average minds talks about events, poor minds talks about peoples."
"Great minds talks about ideas, average minds talks about events, poor minds talks about peoples."
Mbona sasa unajisema mwenyewe?wewe hapa unafanya nini?duu kweli nyani haoni kundule
Ukilaza kijana sio tusi wala jazba, ni ukweli. Hivi unakuja kama mbunge kuongelea mtu aliyekwisha achia ngazi?
Turudi kwenye mada ipi ya kuongelea mtu? unanchekesha! hebu kuwa kama mbunge wa ukweli na uongelee kuwa nimekuta mapungufu haya na haya na haya na sasa nafanyia kazi haya na haya na haya. Achana na kuwekeza kichawi kwenye vichwa vya watu.
Mbona sasa unajisema mwenyewe?wewe hapa unafanya nini?duu kweli nyani haoni kundule
Rostam kafanya nini cha maana huko Igunga kwa miaka yote 17 hata asifiwe? Au unashabikia tu kwa sababu ni mfadhili wa chama chenu cha magamba!
Hahaha ahahaha ahahaha hehehehe hehehe!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Huwezi kimbia kivuli chako. Haya swali langu hujajibu for a month now, makubwa ya Rostam aliyofanya Igunga ni yepi??????????? Kumbuka hapa hatuongelei mtu just mention the stuff and some few pics pls.
Mbona sasa unajisema mwenyewe?wewe hapa unafanya nini?duu kweli nyani haoni kundule
Dada Regia unajua si vichaa wote wapo hospitali kwenye ile wodi ya vichaa,wengine wapo mitaani kama makamba,wengine wapo serikarini kama Luhanjo;wengine wapo bungeni kama mlema,wengine wamo humu jamvini kama Faizafoxy,ritz na wengine kibao kama hao hivyo wapotezee.ila ndo tujue tunakazi ya ziada kuwabadilisha watu kama hawa maana bongo zao hatujajua zimekaa wapi kama si masaburi
Peoples power alute continua
Nenda kawaulize watu wa Igunga kwa nini wameichaguwa tena CCM. wacha porojo za kuongelea watu hapa. Huyu Rostam ndio msingi wenu wa siasa? nawaonea huruma sana kwa kukosa ya maana ya kuongelea. Ongeleeni mto Ruaha huko unakauka maji, mnafanya nini kama chama "politically" na "scientifically" kuokoa watu, wanyama, mimea na uhai wote uliomo kwenye huo mto na pembezoni mwake.
Isitoshe, huyu Rostam mnakaa hapa kila kukicha kuonesha dhambi zake tuuuuuuu, toka alipokuwa kwenye siasa na ubunge mpaka kaachia siasa na unbunge, mbona hamthubutu kumshitaki? Kama chama cha upinzani na dhambi zake zote mnazijuwa na sasa hana "immunity" ya ubunge, mnangoja nini? au ni mfupa usiotafunika?