Kwa hili mimi nitaoa Rwanda

Kwa hili mimi nitaoa Rwanda

Yaani humu ndani unaweza kupona ugonjwa wako hata kwa kusoma tu post za watu.
Ukweli wanyarwanda ni wazuri hasa kutoka ktk kabila la watusi yaani ni wazuri mno.
Kasoro zao hizi hapa
Atakuzalia watoto ila lazima mtoto mmoja aje kuzaa na mtusi mwenzie ikiwa wewe si mtusi pasipo wewe kujua ili mbegu yao isife.
Ni makabila ya wafugaji wana mali hivyo hakikisha kwenu mna mali za kutosha uwe tajiri siyo vihela vya kuhesabia chooni huwapati ng'oo.
Ni wakarimu,wacheshi,wazuri na maumbo ya asili huchoki kuwatazama machoni wanahamasisha hata lile tendo hutahamgaika na michepuko.
Waone hawa kama sampo wapo wazuri kuliko hawa sasa.
Mweeee kwa kweli Mungu ni fundi.
2928d92a2c69673731dbbf56828932c1.jpg
Looh huyu binti alievaa miwani namfaham vizuri tuuu,mkuu umeitoa wapi hii picha?
 
80af8045a29f23c6301f884b65c2c6ad.jpg



wakuu kwa mara ya kwanza najitokeza hapa MMU hii nikutoka na usumbufu niliupata toka kwa wabongo wenzangu baada ya uzi huu.

Kuna siri gani wanaume warefu kupendwa na wanawake wengi?

0356db117a5cf7eb68b37640672f8fb3.jpg


wasichana wengi wa kibongo wamekuwa wakinisumbua PM wengine ni wale famous humu ndani majina kapuni. ila msimamo wangu ndo huu mimi nitaoa Rwanda kwa mjomba kagame sijaona binti wa kibongo mwenye sifa na uzuri kama hawa wanyarwanda.
ce69cc372788f5a1c40da313c7f19cc7.jpg


kwahiyo wadada wa humu wala msijisumbue na PM yangu.
19a5e297f4afed73441d95cb57e8390d.jpg
Waambie nafasi zipo huku pm kwangu.
 
Halafu mbona wa kawaida sana? Hata Tz kuna vimwana wakali ile mbaya.
 
Ila hawa totoz wa kinyarwanda ni wazuri sn tuache utani utafkiri hawaendi choo
 
Hahaha Naliamsha dudeee unipitieee Mkuu tuka Punguze Maraia wa Jirani
 
Nakuunga mkono mkuu I must join with you. Congrants.
 
Wanaume wamkoani bwana mna mambo ya ajabu sana na hii yote ni sababu ya kukosa exposer,yani hao ndo umeona ni mademu wakaali,hivi umetembea kweli,hao wa sampuli uloweka hapo pichani mtaani kwetu tu wako zaidi ya 20,na wapo wazuri zaidi ya hao na hyo ni mtaa mmoja tu.kwa taarifa yako afrika mademu wazuri wako TZ,sio rwanda
Ameshakubali
 
Naomba unipm namba ya simu ya huyo mwenye T-shirt rangi nyekundu.
🙂🙂😀😀😀😱😵🙄
 
80af8045a29f23c6301f884b65c2c6ad.jpg



wakuu kwa mara ya kwanza najitokeza hapa MMU hii nikutoka na usumbufu niliupata toka kwa wabongo wenzangu baada ya uzi huu.

Kuna siri gani wanaume warefu kupendwa na wanawake wengi?

0356db117a5cf7eb68b37640672f8fb3.jpg


wasichana wengi wa kibongo wamekuwa wakinisumbua PM wengine ni wale famous humu ndani majina kapuni. ila msimamo wangu ndo huu mimi nitaoa Rwanda kwa mjomba kagame sijaona binti wa kibongo mwenye sifa na uzuri kama hawa wanyarwanda.
ce69cc372788f5a1c40da313c7f19cc7.jpg


kwahiyo wadada wa humu wala msijisumbue na PM yangu.
19a5e297f4afed73441d95cb57e8390d.jpg
Ndo maana nachelewa chelewa nikue ili nami niende rwanda
 
Ukioa rwanda 1ukubali kugegedewa ndivo walivo 2wwatoto utakaowazaa wanaweza wote wasiwe damu yako kutokana nasisi wa Tz kwao tunaonekana wabaya kimaumbile hufanya hvo kuepuka kuzaa watoto wanaotufanana hvo huwa tayari kuzaa na kakaye ama babaye kuepusha kuchanganya mbegu zetu mbovu3kabla ya uzee wenu unaweza kutaifishwa mali zote mlizochuma na huyo wife kwa namna yoyote 4ndugu wa kwenu utakuwa umeagana nao kwani kawaida hupendana wao kwa wao na 5ukimkosea atalipa kisasi hata baada ya miaka thelathi kwani no wasiri muno na wasiosamehe 6unaweza kuuliwa kabla ya uzee wako. 7nina ushahidi nimeishi huko mamangu wa huko na alisha nionya nisijaribu. niliyosema ukiona hayakuzuru kazi kwako mkuu.
 
Ukichinjwa baki huko huko na msiba tz hatutaki...
 
Mimi ni muumini wa sheikh kipozeo Rwanda hakuna type yangu kule vimbao mbao wengi sitaki
 
Back
Top Bottom