Kwa hili mimi nitaoa Rwanda

Kwa hili mimi nitaoa Rwanda

Yaani humu ndani unaweza kupona ugonjwa wako hata kwa kusoma tu post za watu.
Ukweli wanyarwanda ni wazuri hasa kutoka ktk kabila la watusi yaani ni wazuri mno.
Kasoro zao hizi hapa
Atakuzalia watoto ila lazima mtoto mmoja aje kuzaa na mtusi mwenzie ikiwa wewe si mtusi pasipo wewe kujua ili mbegu yao isife.
Ni makabila ya wafugaji wana mali hivyo hakikisha kwenu mna mali za kutosha uwe tajiri siyo vihela vya kuhesabia chooni huwapati ng'oo.
Ni wakarimu,wacheshi,wazuri na maumbo ya asili huchoki kuwatazama machoni wanahamasisha hata lile tendo hutahamgaika na michepuko.
Waone hawa kama sampo wapo wazuri kuliko hawa sasa.
Mweeee kwa kweli Mungu ni fundi.
2928d92a2c69673731dbbf56828932c1.jpg
daah watoto hawa kama nawafaham vile wanakaaa kinondonii
 
Rwanda..Uganda Wanyankore….ni balaaa real wife material...unapata kitu roho inapenda na Zaidi wanajua ile...TECH....tamuuuuu ...all the best mzeee
 
Wanaume wamkoani bwana mna mambo ya ajabu sana na hii yote ni sababu ya kukosa exposure,yani hao ndo umeona ni mademu wakaali,hivi umetembea kweli,hao wa sampuli uloweka hapo pichani mtaani kwetu tu wako zaidi ya 20,na wapo wazuri zaidi ya hao na hyo ni mtaa mmoja tu.kwa taarifa yako afrika mademu wazuri wako TZ,sio rwanda

We hujafika Rwanda acha kabisaaa!
 
80af8045a29f23c6301f884b65c2c6ad.jpg

wakuu kwa mara ya kwanza najitokeza hapa MMU hii nikutoka na usumbufu niliupata toka kwa wabongo wenzangu baada ya uzi huu.

Kuna siri gani wanaume warefu kupendwa na wanawake wengi?

0356db117a5cf7eb68b37640672f8fb3.jpg

wasichana wengi wa kibongo wamekuwa wakinisumbua PM wengine ni wale famous humu ndani majina kapuni. ila msimamo wangu ndo huu mimi nitaoa Rwanda kwa mjomba kagame sijaona binti wa kibongo mwenye sifa na uzuri kama hawa wanyarwanda.
ce69cc372788f5a1c40da313c7f19cc7.jpg

kwahiyo wadada wa humu wala msijisumbue na PM yangu.
19a5e297f4afed73441d95cb57e8390d.jpg
Ukioa hao utachapiwa kinoma,hawataki kuchanganya damu,ukifika wakati wa kushika mimba lazima atatafuta mtutsi mwenzake ampachike mimba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazuri wa kuangalia tu utamu NEHI.

Back
Top Bottom