Kwa hili mimi nitaoa Rwanda

Kwa hili mimi nitaoa Rwanda

Hapa dawa ni kusoma kisw ili ukafundishe rwanda, nami nakuambia hata kama siyo mwl mtafanya kila namna nkafundishe rwanda ata kwa kujitolea niko tayari pindi walimu wa kisw watakapopelekwa uko
Hahaaaaaa........! Unatisha kamanda
 
Yaani humu ndani unaweza kupona ugonjwa wako hata kwa kusoma tu post za watu.
Ukweli wanyarwanda ni wazuri hasa kutoka ktk kabila la watusi yaani ni wazuri mno.
Kasoro zao hizi hapa
Atakuzalia watoto ila lazima mtoto mmoja aje kuzaa na mtusi mwenzie ikiwa wewe si mtusi pasipo wewe kujua ili mbegu yao isife.
Ni makabila ya wafugaji wana mali hivyo hakikisha kwenu mna mali za kutosha uwe tajiri siyo vihela vya kuhesabia chooni huwapati ng'oo.
Ni wakarimu,wacheshi,wazuri na maumbo ya asili huchoki kuwatazama machoni wanahamasisha hata lile tendo hutahamgaika na michepuko.
Waone hawa kama sampo wapo wazuri kuliko hawa sasa.
Mweeee kwa kweli Mungu ni fundi.
2928d92a2c69673731dbbf56828932c1.jpg
Dah, yan hii sampo nmeipenda
 
KESHO jumatatu shule zinafunguliwa

BTW mkuu nenda tu kaoe maana hakuna namna
 
Itakuwa wanahisi wewe ni mwanamke mwenzao
Wana maswali ya kipuuzi asee
Hv bibie Joanah uzuri wako haujaonekana?mbona wanasifiwa wanyarwanda?Mm nahisi huyu jamaa anataka madem wa JF wajitongozeshe kwake,kuweni care na mjue hii ni gea tu
 
Ila mimi naona kuwa bongo ni number one kwa watoto wazuri walio umbika kuliko rwanda
 
e87dae1c4d35441cd2306cad60c10be8.jpg


Picha hii inaonesha n kwa kias gan mleta mada una element za uchochezi na uvunjifu wa amani. Wenye vibamia tuipinge kwa nguvu zoteee
 
bwana weeeee hatari sana jamani duuh na mimi nioe basi mr handsome ahahahaaaa
 
Back
Top Bottom