Kwa hili mimi nitaoa Rwanda

Kwa hili mimi nitaoa Rwanda

80af8045a29f23c6301f884b65c2c6ad.jpg

wakuu kwa mara ya kwanza najitokeza hapa MMU hii nikutoka na usumbufu niliupata toka kwa wabongo wenzangu baada ya uzi huu.

Kuna siri gani wanaume warefu kupendwa na wanawake wengi?

0356db117a5cf7eb68b37640672f8fb3.jpg

wasichana wengi wa kibongo wamekuwa wakinisumbua PM wengine ni wale famous humu ndani majina kapuni. ila msimamo wangu ndo huu mimi nitaoa Rwanda kwa mjomba kagame sijaona binti wa kibongo mwenye sifa na uzuri kama hawa wanyarwanda.
ce69cc372788f5a1c40da313c7f19cc7.jpg

kwahiyo wadada wa humu wala msijisumbue na PM yangu.
19a5e297f4afed73441d95cb57e8390d.jpg
mbona wanafana na WABONDEI wa tanga
 
1dd4be016cd3b05da4ecda903b9d4739.jpg
kwA hivi uoe mnyarwanda? Hhhh
 
Tabia zao Kuu wanawake kutoka Rwanda Na Burundi ni hizo; ukabila kati ya utusi Na uhutu umepelekea waingie kwenye mashindano ya utawala kuanzia familia hadi siasa. Ukimuoa hao? Jiandae kukaa chini Yake kwa kupenda au kutopenda. Wa zamsni ilikuwa mwiko kuzaa nje ya Watusi wenziwe. Kila likizo walirudi kwao kuzaa huko.
 
zibitisha wewe kama si warwanda
Wewe ndiye uliyesema hao ni wanyarwanda. Ujinga mlio nao unatokana na kutotembea nje ya nchi. Siku ukifika Burundi au Uganda ukaona wanawake wa kitutsi utasema ni wanyarwanda kwa sababu ya ujinga wako. Na humu jf mmekuwa mkidanganya na kudanganyika kwa mambo msiyoyajua. Kwa ufupi ni hivi, hao wanawake ni watutsi, wapo Burundi, Uganda na Rwanda. Kama wewe ni mtanzania basi bado ni mgeni ndani ya nchi yako maana kama ni wanawake wenye mvuto wa nje wapo zaidi ya hao.
 
Back
Top Bottom