BigBaba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,908
- 9,040
wakuu kwa mara ya kwanza najitokeza hapa MMU hii nikutoka na usumbufu niliupata toka kwa wabongo wenzangu baada ya uzi huu.
Kuna siri gani wanaume warefu kupendwa na wanawake wengi?
wasichana wengi wa kibongo wamekuwa wakinisumbua PM wengine ni wale famous humu ndani majina kapuni. ila msimamo wangu ndo huu mimi nitaoa Rwanda kwa mjomba kagame sijaona binti wa kibongo mwenye sifa na uzuri kama hawa wanyarwanda.
kwahiyo wadada wa humu wala msijisumbue na PM yangu.