Innocent Kirumbuyo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,642
- 4,476
Mkuu wanawake wa rwanda tatizo wanadharau sanaTabia zao Kuu wanawake kutoka Rwanda Na Burundi ni hizo; ukabila kati ya utusi Na uhutu umepelekea waingie kwenye mashindano ya utawala kuanzia familia hadi siasa. Ukimuoa hao? Jiandae kukaa chini Yake kwa kupenda au kutopenda. Wa zamsni ilikuwa mwiko kuzaa nje ya Watusi wenziwe. Kila likizo walirudi kwao kuzaa huko.