Activist100
Senior Member
- Apr 10, 2013
- 133
- 12
Hauna jipya wewe gamba
Mnajitahidi sana lakini kumbukeni watu wanaosoma humu JF wana akili zao.
HAMY-D kachukue 7000 yako, ushaingiza siku.
Dada Hamida chukua kopo ukaipige maji ndiyo urudi hapa.Kwenye siasa hakuna adui na wala CCM haina maadui, hayo niliyoweka hapa ni marekebisho tu kwa mwenyekiti wa CDM kwamba ameenda chaka.
WanaJF!
Mwenyekiti wa CHADEMA taifa na mbunge wa jimbo la Hai, bwana Mbowe, amethibitisha kuwa yeye ana upeo mdogo sana kuhusu mambo ya sheria.
Bwana Mbowe amethibitisha hilo baada ya kueleza kuwa CHADEMA kufutwa haiwezekani kabisa na hiyo sababu aliyoitumia ndio kichekesho na imemdhalilisha kweli.
Sababu aliyoitoa bwana Mbowe ya kukingia chama chake kifua kuwa hakitaweza kufutwa na msajili si nyingine bali ni idadi ya wabunge, madiwani na wenyeviti wa vijiji.
Bwana Mbowe alieleza kuwa, "kufuta CHADEMA ni sawa na kufuta wabunge 49, madiwani zaidi ya 600 na wenyeviti wa vijiji zaidi ya 1000".
Kama bwana Mbowe angekuwa na maarifa kidogo sana ya sheria (kwa kupitia tu ile sheria ya vyama vya siasa) asinge weza kuongea hayo maneno ya ovyo kabisa kuhusu kufutwa kwa CHADEMA.
Ieleweke kuwa, chama cha siasa hakifutwi kwa kuangalia idadi ya wabunge, madiwani na hata wenyeviti wa vijiji waliotokana na chama hicho, bali kinacho angaliwa ni kama vigezo ama masharti yaliyo kwenye sheria yamevunjwa.
Klkwyete angekuwa na upeo angalao kidogo tu wa sheria, asingewaambia wezi wa fedha za Umma wazirudishe na waondoke zao.
Sasa hapa ukiweka Mbowe alichosema na huyo jamaa alichosema, ni nani hajui sheria?
Au tuseme nani mbulula kati yao?
WanaJF!
Mwenyekiti wa CHADEMA taifa na mbunge wa jimbo la Hai, bwana Mbowe, amethibitisha kuwa yeye ana upeo mdogo sana kuhusu mambo ya sheria.
Bwana Mbowe amethibitisha hilo baada ya kueleza kuwa CHADEMA kufutwa haiwezekani kabisa na hiyo sababu aliyoitumia ndio kichekesho na imemdhalilisha kweli.
Sababu aliyoitoa bwana Mbowe ya kukingia chama chake kifua kuwa hakitaweza kufutwa na msajili si nyingine bali ni idadi ya wabunge, madiwani na wenyeviti wa vijiji.
Bwana Mbowe alieleza kuwa, "kufuta CHADEMA ni sawa na kufuta wabunge 49, madiwani zaidi ya 600 na wenyeviti wa vijiji zaidi ya 1000".
Kama bwana Mbowe angekuwa na maarifa kidogo sana ya sheria (kwa kupitia tu ile sheria ya vyama vya siasa) asinge weza kuongea hayo maneno ya ovyo kabisa kuhusu kufutwa kwa CHADEMA.
Ieleweke kuwa, chama cha siasa hakifutwi kwa kuangalia idadi ya wabunge, madiwani na hata wenyeviti wa vijiji waliotokana na chama hicho, bali kinacho angaliwa ni kama vigezo ama masharti yaliyo kwenye sheria yamevunjwa.
Mbona hukumkosoa Tendwa aliposema hawezi kukifuta CCM? nae alitoa sababu zinazoendana na hizo za Mbowe.
Mimi ni miongoni mwa wanachama wa zamani wa chama tawala. Ni miongoni mwa wale tulio apa kulinda chama. Hata kama kuna kasoro zinazojitokeza, mimi naamini, dawa yake ni kuzungumza, na siyo kutoroka matatizo. Nilizaliwa ndani ya TANU, nikaipokea CCM, na nikaapa kuilinda. Hata hivyo, Nguvu iliyopo ya mageuzi ni kubwa, kiasi kwamba kuzuia mabadiliko ni sawa na kuzuia maji ya mto kwa viganja. Nawahurumia kina N*p*, Mw*g*l*, na kwa bahati mbaya hata watoto wadogo, kina Mw*mp*mb* na Sh*nz*, ambao hawakuwahi hata kuionja tamu ya chama, wanajaribu kuzuia maji ya mto kwa viganja vya mkono. Sitahama chama, wala 2015, sitajisumbua kupanga foleni ya kupiga kura, kwa kuwa naamini, kama Tume itakuwa huru na ya haki, hatuna uwezo wa kupata hata nusu ya kura. (This is a hard cold fact), na jitihada zozote za kupata kura kwa ujanja, naamini zitakuwa chanzo cha machafuko, ambayo, mimi siko tayari kuwa sehemu ya dhambi hiyo, ambayo sijui watakao sababisha umwagaji wa damu watatubu wapi. "Mungu tuhurumie"Una busara sana lakini unasubili nini kutoka huko ulipo maana kukaa huko ni dhambi hata kama ww hutendi dhambi!
Tattizo ni akili ndogo kutaka kuongoza akili kubwa. Akili ndogo huw ahaoni zaidi ya hapo alipoona yaani yeye hafikiri zaidi ya hapo.Kasikia na kukariri vijineno havyo basi, anataka kuuza gazeti. Ndugu CHADEMA ni mziki mkubwa mno kwenu mtawapiga watu mabomu, lakini wataenda kwenye mikutano yao na hawataiacha Chadema. Jiandaeni kuwa wapinzani.