Kwa hili; kweli mbowe ana upeo mdogo sana!

Ahaa! Kumbe unajua kuwa kinaweza kufutwa na itabidi uchaguzi urudiwe sio? Basi muelimisheni huyo Disco Jocker kuwa chama kinaweza kufutwa regardless mitakwimu ya madiwani na wabunge! Aende shule kwanza sio king'ang'ania siasa uchwara!

:bored::bored::bored::bored:...........GHARAMA YA KURUDIA UCHAGUZI UNAIJUWA AU NI USHABIKI TU?.........FYI KILA UCHAGUZI UJAO IWE WA BY-ELECTION AU GENERAL CHADEMA ITAONGEZA WAWE WABUNGE AU MADIWANI.......THAT IS A COST TO CCM
 
Wewe ndio mbumbumbu kabisa........hujaelewa effects za kurudia chaguzi zote hizo?

una upeo mdogo sana kuliko hata wa huyo mbowe. eti effects! kwa hiyo chama kivunje sheria kiachwe eti kwa sababu effects za kurudia chguzi.............
 
Hivi chama kinavunjaje sheria? Sheria ipi? Anyway go ahead mkifute muone......mkiweza watu watapata chama kingine......sijui mtafuta vingapi kama sio kuturudisha kwenye chama kimoja maana mnatamani hilo usiku na mchana!
 
kitafutwa chama kinacho acha siasa za kawaida na kuhamia kwenye uanaharakati na ugaidi. imeshaeleweka bayana kuwa chdm kina chembechembe za ugaidi. kuanzia bungeni hadi mitaani. ushahidi wa ugaidi unakusanywa. ukikamilika kitafutwa papo hapo. msajili sheria imempa rungu hilo. hamzuiwi kuanzisha chama kingine lkn jina chdm halitokuepo abadan
 
Keep on brooding....
 
Na aanze kwa kuwafuta magamba kwa kuanzisha green guard, shame upon you
 
Hiyo kauli aliitoa wapi mkuu?
sisi wengine habari kama hizi tunazipataga hapa. Saidia majibu na source yako please

WanaJF!

Mwenyekiti wa CHADEMA taifa na mbunge wa jimbo la Hai, bwana Mbowe, amethibitisha kuwa yeye ana upeo mdogo sana kuhusu mambo ya sheria.

Bwana Mbowe amethibitisha hilo baada ya kueleza kuwa CHADEMA kufutwa haiwezekani kabisa na hiyo sababu aliyoitumia ndio kichekesho na imemdhalilisha kweli.

Sababu aliyoitoa bwana Mbowe ya kukingia chama chake kifua kuwa hakitaweza kufutwa na msajili si nyingine bali ni idadi ya wabunge, madiwani na wenyeviti wa vijiji.

Bwana Mbowe alieleza kuwa, "kufuta CHADEMA ni sawa na kufuta wabunge 49, madiwani zaidi ya 600 na wenyeviti wa vijiji zaidi ya 1000".

Kama bwana Mbowe angekuwa na maarifa kidogo sana ya sheria (kwa kupitia tu ile sheria ya vyama vya siasa) asinge weza kuongea hayo maneno ya ovyo kabisa kuhusu kufutwa kwa CHADEMA.

Ieleweke kuwa, chama cha siasa hakifutwi kwa kuangalia idadi ya wabunge, madiwani na hata wenyeviti wa vijiji waliotokana na chama hicho, bali kinacho angaliwa ni kama vigezo ama masharti yaliyo kwenye sheria yamevunjwa.
 
Shabaniii? nini bana kuja hapa fagia jumba yangu.
Daah yani bosi diii, yaani daah
 
Mbona idadi yenu mumepungua sana huko Lumumba wamewademote nini manake wewe zamu ya wiki hii ni Mbowe haya wiki ijayo atakuwa nani manake naona Dr Slaa umeona ni kisiki cha mpingo endelea tu ili mradi wanao wanakula
 
Ovyoooooooo kwa mara nyengine tena U-Pinda wako ni mbaya zaidi
 
unahitaji miaka mingi sana wewe na ukoo wako kuweza kufanya siasa level ya Mbowe ..
 
Unakumbuka nani alitoa kauli hiyo ulosema kwanza. Unakumbuka habari hii baada ya bomu la Soweto "Msajili wa vyama vya siasa nchini, John Tendwa,
amesema uamuzi wa kuvifuta vyama hivyo unaweza kuwa na athari kubwa kwani
utahitaji gharama kubwa za kufanyika uchaguzi jambo ambalo sio la
kukimbilia"
Acha kutumia ma------ kufikiri.
 
Kwenye siasa hakuna adui na wala CCM haina maadui, hayo niliyoweka hapa ni marekebisho tu kwa mwenyekiti wa CDM kwamba ameenda chaka.

Huyo mumeo nyumbani kazi anayo maana mwanamke una gubu sijapata kuona
 
WanaJF!

Mwenyekiti wa CHADEMA taifa na mbunge wa jimbo la Hai, bwana Mbowe, amethibitisha kuwa yeye ana upeo mdogo sana kuhusu mambo ya sheria.

Bwana Mbowe amethibitisha hilo baada ya kueleza kuwa CHADEMA kufutwa haiwezekani kabisa na hiyo sababu aliyoitumia ndio kichekesho na imemdhalilisha kweli.

Sababu aliyoitoa bwana Mbowe ya kukingia chama chake kifua kuwa hakitaweza kufutwa na msajili si nyingine bali ni idadi ya wabunge, madiwani na wenyeviti wa vijiji.

Bwana Mbowe alieleza kuwa, "kufuta CHADEMA ni sawa na kufuta wabunge 49, madiwani zaidi ya 600 na wenyeviti wa vijiji zaidi ya 1000".

Kama bwana Mbowe angekuwa na maarifa kidogo sana ya sheria (kwa kupitia tu ile sheria ya vyama vya siasa) asinge weza kuongea hayo maneno ya ovyo kabisa kuhusu kufutwa kwa CHADEMA.

Ieleweke kuwa, chama cha siasa hakifutwi kwa kuangalia idadi ya wabunge, madiwani na hata wenyeviti wa vijiji waliotokana na chama hicho, bali kinacho angaliwa ni kama vigezo ama masharti yaliyo kwenye sheria yamevunjwa.

Mtatokwa povu sana na viposti vyenu vya propaganda - haya nenda uwahii buku 7 zako!
 
"Ni lazima jamii ikatambua kuwa maamuzi haya yanahusu CCM ambayo ipo madarakani
ambapo matokeo yake ni kuvunja Serikali na kwa CHADEMA ni kuwaondoa wabunge wake hivyo uchaguzi kufanyika tena.

Kauli hiyo imetolewa na Msajili wa vyama vya siasa ikiwa ni siku chache baada ya kutokea kwa mlipuko wa bomu kwenye mkutano wa kampeni ya udiwani uliokuwa unaendeshwa na CHADEMA katika viwanja vya Soweto mjini Arusha
 
WanaJF!

Mwenyekiti wa CHADEMA taifa na mbunge wa jimbo la Hai, bwana Mbowe, amethibitisha kuwa yeye ana upeo mdogo sana kuhusu mambo ya sheria.

Bwana Mbowe amethibitisha hilo baada ya kueleza kuwa CHADEMA kufutwa haiwezekani kabisa na hiyo sababu aliyoitumia ndio kichekesho na imemdhalilisha kweli.

Sababu aliyoitoa bwana Mbowe ya kukingia chama chake kifua kuwa hakitaweza kufutwa na msajili si nyingine bali ni idadi ya wabunge, madiwani na wenyeviti wa vijiji.

Bwana Mbowe alieleza kuwa, "kufuta CHADEMA ni sawa na kufuta wabunge 49, madiwani zaidi ya 600 na wenyeviti wa vijiji zaidi ya 1000".

Kama bwana Mbowe angekuwa na maarifa kidogo sana ya sheria (kwa kupitia tu ile sheria ya vyama vya siasa) asinge weza kuongea hayo maneno ya ovyo kabisa kuhusu kufutwa kwa CHADEMA.

Ieleweke kuwa, chama cha siasa hakifutwi kwa kuangalia idadi ya wabunge, madiwani na hata wenyeviti wa vijiji waliotokana na chama hicho, bali kinacho angaliwa ni kama vigezo ama masharti yaliyo kwenye sheria yamevunjwa.

JULIANA SHONZA NENDA KAFUNDISHE,KWA NINI UNAANZA KUVUTA BANGI UKUBWANI.hAYO NI MAMBO YA FORM TWO WE UNAFANYA BAADA YA KUMALIZA CHUO
 
Mzee mwanya aanze kukifuta CCM kwanza halafu CDM ifuate! Aaache unafiki wa kisiasa!
WanaJF!

Mwenyekiti wa CHADEMA taifa na mbunge wa jimbo la Hai, bwana Mbowe, amethibitisha kuwa yeye ana upeo mdogo sana kuhusu mambo ya sheria.

Bwana Mbowe amethibitisha hilo baada ya kueleza kuwa CHADEMA kufutwa haiwezekani kabisa na hiyo sababu aliyoitumia ndio kichekesho na imemdhalilisha kweli.

Sababu aliyoitoa bwana Mbowe ya kukingia chama chake kifua kuwa hakitaweza kufutwa na msajili si nyingine bali ni idadi ya wabunge, madiwani na wenyeviti wa vijiji.

Bwana Mbowe alieleza kuwa, "kufuta CHADEMA ni sawa na kufuta wabunge 49, madiwani zaidi ya 600 na wenyeviti wa vijiji zaidi ya 1000".

Kama bwana Mbowe angekuwa na maarifa kidogo sana ya sheria (kwa kupitia tu ile sheria ya vyama vya siasa) asinge weza kuongea hayo maneno ya ovyo kabisa kuhusu kufutwa kwa CHADEMA.

Ieleweke kuwa, chama cha siasa hakifutwi kwa kuangalia idadi ya wabunge, madiwani na hata wenyeviti wa vijiji waliotokana na chama hicho, bali kinacho angaliwa ni kama vigezo ama masharti yaliyo kwenye sheria yamevunjwa.
 
jamani mbowe ni dj haya mambo ya sheria yeye atayajulia wapi.
 
Ngoja nikakae pale barabara ya lLumumba nione wanaoingia kuchukua 7000 leo
 
Back
Top Bottom