Kwa hili; kweli mbowe ana upeo mdogo sana!

Hata Tendwa Alisema Hawezi Kuifuta ccm kwa sababu atafanya mapinduzi, Hivyo Hivyo Hawezi Kuifuta Chadema Kwa7bu Atafanya Mapinduzi Maeneo Yote Yanayoongozwa Na Chadema..... Hamy-D We Pusi Nn????
 
Sasa nimeshaamini mafuta ya Ubuyu yana adhari zake! @ HAMY-D
 
Yaani we ndio bure kabisa bora hata usingeuandika huu upuuzi wako maana umefichua umbumbumbu wako uliouficha kwa muda mrefu.Swali kwako wewe mbumbumbu wa hata mambo madogo madogo kama haya:Kwanini Tendwa alisema hawezi kuifuta CCM?Nijibu tafadhali kisha tuhamie katika kipengele kingine ndani ya hoja hiyo hiyo

TECH WIZ,

Ingawa umetumia lugha ya kejeli na dharau, mimi nitajitahidi kuvumilia yote hayo na wala usiwe na hofu kuhusu kunitukana, wewe ukijisikia tukana tu kwa kuwa I can handle punches.

Kuhusu swali lako, jaji Tendwa alikuwa sawa kabisa alivyosema kuwa hawezi kuifuta CCM.

Hapa ningependa uwe mwepesi kidogo kuelewa na uvue ushabiki ili kuliwezesha hilo. Kwa mfumo uliopo, rais wa nchi ataondolewa madarakani kwa mambo ambayo yameainishwa kwenye katiba ya nchi, sasa msajili wa chama anapofuta chama tawala maana yake yeye kapindua serikali kwa kufuta madaraka ya rais, mkuu, hata kwa usalama wa nchi tu jambo hili ni hatari.

Kiuhalisia chama tawala hakiwezi kufanya mambo ya uvunjifu wa sheria, kwani hakina sababu ya kufanya hivyo, haya ambayo CCM imekuwa ikituhumiwa na wapinzani ni porojo tu za waganga njaa na hazina mashiko.
 
Last edited by a moderator:
Sasa nimeshaamini mafuta ya Ubuyu yana adhari zake! @ HAMY-D

Mkuu,

Hemu acha majungu yako na uweke yale mauno yako ambayo uwa unayaweka, maana kwangu mimi ule ni kama utambulisho wako, hahaha..
 
Bro yu are right!!! kwa hoja ya wingi wa wawakilishi haingiii kwa akili mvunje sheria eti 7bu mpo wengi,, lets talk the green story!!! no mbwa wala silaha inayopokonya wake za watu. lets talk the green story!!!!
 
Rejea taarifa ya Msajili wa Vyama Tanzania, Ndugu Tendwa, alipoulizwa kama anaweza kifuta CCM usahiwapo kitabainika kukiuka moja ya sheria za usajili wa vyama Tanzania
 
WanaJF!

Mwenyekiti wa CHADEMA taifa na mbunge wa jimbo la Hai, bwana Mbowe, amethibitisha kuwa yeye ana upeo mdogo sana kuhusu mambo ya sheria.

Bwana Mbowe amethibitisha hilo baada ya kueleza kuwa CHADEMA kufutwa haiwezekani kabisa na hiyo sababu aliyoitumia ndio kichekesho na imemdhalilisha kweli.

Sababu aliyoitoa bwana Mbowe ya kukingia chama chake kifua kuwa hakitaweza kufutwa na msajili si nyingine bali ni idadi ya wabunge, madiwani na wenyeviti wa vijiji.

Bwana Mbowe alieleza kuwa, "kufuta CHADEMA ni sawa na kufuta wabunge 49, madiwani zaidi ya 600 na wenyeviti wa vijiji zaidi ya 1000".

Kama bwana Mbowe angekuwa na maarifa kidogo sana ya sheria (kwa kupitia tu ile sheria ya vyama vya siasa) asinge weza kuongea hayo maneno ya ovyo kabisa kuhusu kufutwa kwa CHADEMA.

Ieleweke kuwa, chama cha siasa hakifutwi kwa kuangalia idadi ya wabunge, madiwani na hata wenyeviti wa vijiji waliotokana na chama hicho, bali kinacho angaliwa ni kama vigezo ama masharti yaliyo kwenye sheria yamevunjwa.
Mimi nilijua usingeelewa alicho maanisha mh MBOWE! Advanced politics is not for every one! NGUVU YA CHAMA CHA SIASA NI WAFUASI WAKE.Mtandao wa CDM ni mkubwa kuliko unavyofikiria wewe.akitaka kuona machafuko makuu basi aifute CHADEMA, PATACHIMBIKA.
 
WanaJF!

Mwenyekiti wa CHADEMA taifa na mbunge wa jimbo la Hai, bwana Mbowe, amethibitisha kuwa yeye ana upeo mdogo sana kuhusu mambo ya sheria.

Bwana Mbowe amethibitisha hilo baada ya kueleza kuwa CHADEMA kufutwa haiwezekani kabisa na hiyo sababu aliyoitumia ndio kichekesho na imemdhalilisha kweli.

Sababu aliyoitoa bwana Mbowe ya kukingia chama chake kifua kuwa hakitaweza kufutwa na msajili si nyingine bali ni idadi ya wabunge, madiwani na wenyeviti wa vijiji.

Bwana Mbowe alieleza kuwa, "kufuta CHADEMA ni sawa na kufuta wabunge 49, madiwani zaidi ya 600 na wenyeviti wa vijiji zaidi ya 1000".

Kama bwana Mbowe angekuwa na maarifa kidogo sana ya sheria (kwa kupitia tu ile sheria ya vyama vya siasa) asinge weza kuongea hayo maneno ya ovyo kabisa kuhusu kufutwa kwa CHADEMA.

Ieleweke kuwa, chama cha siasa hakifutwi kwa kuangalia idadi ya wabunge, madiwani na hata wenyeviti wa vijiji waliotokana na chama hicho, bali kinacho angaliwa ni kama vigezo ama masharti yaliyo kwenye sheria yamevunjwa.
huwa nakufikiria ulivyo hasa ukizingatia akili yako ilivyo kutokana na mada zako lakini huwa naishia kukufananisha na mbwa kumfurahia bwana wake kwa kutikisa mkia wake kila amuonapo,unakazi sana aisee!! lakini naamini mda wako bado muda utakapo fika utajiona ulivyo zumbukuku.
 
WanaJF!

Mwenyekiti wa CHADEMA taifa na mbunge wa jimbo la Hai, bwana Mbowe, amethibitisha kuwa yeye ana upeo mdogo sana kuhusu mambo ya sheria.

Bwana Mbowe amethibitisha hilo baada ya kueleza kuwa CHADEMA kufutwa haiwezekani kabisa na hiyo sababu aliyoitumia ndio kichekesho na imemdhalilisha kweli.

Sababu aliyoitoa bwana Mbowe ya kukingia chama chake kifua kuwa hakitaweza kufutwa na msajili si nyingine bali ni idadi ya wabunge, madiwani na wenyeviti wa vijiji.

Bwana Mbowe alieleza kuwa, "kufuta CHADEMA ni sawa na kufuta wabunge 49, madiwani zaidi ya 600 na wenyeviti wa vijiji zaidi ya 1000".

Kama bwana Mbowe angekuwa na maarifa kidogo sana ya sheria (kwa kupitia tu ile sheria ya vyama vya siasa) asinge weza kuongea hayo maneno ya ovyo kabisa kuhusu kufutwa kwa CHADEMA.

Ieleweke kuwa, chama cha siasa hakifutwi kwa kuangalia idadi ya wabunge, madiwani na hata wenyeviti wa vijiji waliotokana na chama hicho, bali kinacho angaliwa ni kama vigezo ama masharti yaliyo kwenye sheria yamevunjwa.

Hivi huwezi kupost kitu kingine kisichohusiana na siasa tena za CHADEMA na CCM? You always talk politics politics politics,ipo siku utakuwa kitandani na mwandani wako utaje CHEDEMA ama Mbowe ama Slaa maana ndiyo maneno uliyozoea tu mdomoni mwako.Mbona tuna mambo kibao ya kijamii ya kuongelea na sio kila siku CHADEMA na CCM
 
WanaJF!

Mwenyekiti wa CHADEMA taifa na mbunge wa jimbo la Hai, bwana Mbowe, amethibitisha kuwa yeye ana upeo mdogo sana kuhusu mambo ya sheria.

Bwana Mbowe amethibitisha hilo baada ya kueleza kuwa CHADEMA kufutwa haiwezekani kabisa na hiyo sababu aliyoitumia ndio kichekesho na imemdhalilisha kweli.

Sababu aliyoitoa bwana Mbowe ya kukingia chama chake kifua kuwa hakitaweza kufutwa na msajili si nyingine bali ni idadi ya wabunge, madiwani na wenyeviti wa vijiji.

Bwana Mbowe alieleza kuwa, "kufuta CHADEMA ni sawa na kufuta wabunge 49, madiwani zaidi ya 600 na wenyeviti wa vijiji zaidi ya 1000".

Kama bwana Mbowe angekuwa na maarifa kidogo sana ya sheria (kwa kupitia tu ile sheria ya vyama vya siasa) asinge weza kuongea hayo maneno ya ovyo kabisa kuhusu kufutwa kwa CHADEMA.

Ieleweke kuwa, chama cha siasa hakifutwi kwa kuangalia idadi ya wabunge, madiwani na hata wenyeviti wa vijiji waliotokana na chama hicho, bali kinacho angaliwa ni kama vigezo ama masharti yaliyo kwenye sheria yamevunjwa.

CCM haifutwi kwakuwa iko madarakani - Tendwa,
 
jembe mbowe alimaanisha madhara ya kurudia chaguzi, na si kutofutwa chadema, usiongee kishabiki ongea uhalisia
 
Kwenye siasa hakuna adui na wala CCM haina maadui, hayo niliyoweka hapa ni marekebisho tu kwa mwenyekiti wa CDM kwamba ameenda chaka.

Kwahiyo kwa kuwa kuna effect ya kurudia hizo chaguzi ndio maana chadema mnaamua kuvunja sheria makusudi kisa tu mnadhani kuna gharama katika chaguzi hivyo serikali haitachukua hatua?

Usijidanganye mkuu.

Hivi huu utaratibu mpaka lini? hatuwezi kujadili hoja bila ya kujaribu kuikimbia hoja kwa kutaja majina ya watu wengine? Nimeeleza kuhusu Mbowe, kauli yake ni kosa, wewe unaleta habari za Kikwete, tutafika kweli?

Siasa sio vita, kingine, uchaguzi una wadia hivi karibuni sasa kwanini tusisubiri matokeo tu badala ya kupeana hivi vitisho? CCM ni chama cha kidemokrasia, hivyo tunatambua kuwa kuna kushinda na kushindwa.

HAMY-D anajuwa kuwapa za uso magwanda, tazama wanavyohaha humu utafikiri mbogo kajeruhiwa. Duh!

Kilicho kwenye sheria ni kwamba vyama vimeruhusiwa kuwa na ulinzi, ulinzi ni jambo ambalo lipo wazi kabisa, ila kilicho pigwa marufuku ni hicho wanachotaka kukiimarisha CHADEMA, ni kwanini CHADEMA maimarishe vijana waliopo sasa? mafunzo gani hayo ya nguvu ambayo vijana wa CHADEMA watafundishwa mpaka wawe imara kama jeshi la polisi? Hapo ndipo sheria na katiba vyote viwili kwa pamoja vinapo vunjwa.

Mkuu heshima kwako,

Furaha ya Hamy-D ni:
1. Buku 7
2. Kuona wengi tumejaa kuchangia upuuzi wake

There are currently 247 users browsing this thread. (33 members and 214 guests)

3. Kuona pg nyingi zinajaa:
Page 7 of 7First...567
4. Kujaza posti
user-online.png
HAMY-D
Today 19:44

​

JF Senior Expert MemberArray
Join Date : 18th September 2011
Location : NDICHI.
Posts : 2,130
Rep Power : 18409
Likes Received521
Likes Given10​
 
HAMY D ni mtu au taasisi?
Ni taasisi.. 1. Inaundwa na watu wenye viwango tofauti vya elimu. Wengine kiingereza wanacho kipachika kibovu na wengine kinasomeka. 2. Waajiriwa wa Lumumba kwa buku 7 au laki 2 na 10 kwa mwezi. 3. Wanakesha mtandaoni. Hii ID ni muda wote iko online. 4. Wameagizwa kuzungumzia viongozi wa CHADEMA na CHADEMA yenyewe (Hasa dr. Slaa na Mbowe).
 
Dr.W.Slaa,

Tendwa ambacho anasimamia ni sheria tu, na si jambo lingine.

CHADEMA mnapanga kuimarisha kikundi chenu cha kujilinda, lakini kwa kufanya hivyo bila uangalizi maalumu kunazua maswali kama vile;

Je, ni mambo gani hasa ambayo mmepanga kuboresha kwenye mafunzo yenu tofauti na yale mliokuwa mkiwapa awali (kama yalikuwepo)?

Je, kutakuwa na matumizi ya silaha katika mafunzo hayo?

Je, ni nguvu kiasi gani itatumika katika kutoa mafunzo hayo?

Je, CHADEMA ina tuhakikishia vipi sisi kama raia hatuta athiriwa kwa namna yoyote na vijana wenu mnaopanga kuwapa mafunzo hayo?

Je, mnatambua jukumu la polisi kwenye shughuli zenu za siasa? kama jibu ni ndiyo, kwanini uwa hamuwashirikishi kama sheria inavyo wataka mfanye?

Mbona unapenda kuuliza maswali hila upendi kujibu maswali ya wengine? Dr slaa amekuuliza ni sheria gani lakini umeshindwa kujibu wewe unasema ana simamia sheria. unaijua sheria anayotumia tendwa? Tendwa anasema ana uwezo wa kuifuta chadema lakini hawezi kuifuta ccm na sababu za kushindwa kuifuta ccm anazo ziongelea hazina tofauti na alizo sema Mbowe ambazo zinge mbana Tendwa.

Hivi una taarifa kwa sheria za Tendwa ccm haiwezi kufutwa hata kama hitakiuka hizo sheria unazo sema? kwa mantiki hii wewe na Tendwa mnaongea lugha tofauti.
 
Hamy-D ,
Jibu maswali niliyokuuliza. Vinginevyo sina sababu ya kuendelea kujibizana nawe. Lakini wasomaji wajue pia kuwa hun a hoja yeyote zaidi ya kutupotezea muda, na ikiwezekana wakutoe kwenye listi ya GT katika jamvini letu tukufu.

Dr.W.Slaa,

Tendwa ambacho anasimamia ni sheria tu, na si jambo lingine.

CHADEMA mnapanga kuimarisha kikundi chenu cha kujilinda, lakini kwa kufanya hivyo bila uangalizi maalumu kunazua maswali kama vile;

Je, ni mambo gani hasa ambayo mmepanga kuboresha kwenye mafunzo yenu tofauti na yale mliokuwa mkiwapa awali (kama yalikuwepo)?

Je, kutakuwa na matumizi ya silaha katika mafunzo hayo?

Je, ni nguvu kiasi gani itatumika katika kutoa mafunzo hayo?

Je, CHADEMA ina tuhakikishia vipi sisi kama raia hatuta athiriwa kwa namna yoyote na vijana wenu mnaopanga kuwapa mafunzo hayo?

Je, mnatambua jukumu la polisi kwenye shughuli zenu za siasa? kama jibu ni ndiyo, kwanini uwa hamuwashirikishi kama sheria inavyo wataka mfanye?
 
Wewe ndugu mbona unapenda sana kuleta vihabari vya kijingajinga humu ni wapi ambapo CHADEMA wamevunja sheria? Hapo ulipo huwezi kujiringanisha na Mbowe kwa lolote lile.

Mkuu hii thread hujaielewa kumbe....
 
Hatimaye yale yaliyosemwa kwamba wafuasi wa Mhe.Mwigulu Nchemba wamepoteza matumaini tunayaona.Wamebaki kuokoteza mada ambazo hazina mchango wowote chanya kwa Chama Cha Mapinduzi!
 
upeo mdogo sana kuhusu mambo ya sheria.

Bwana Mbowe amethibitisha hilo baada ya kueleza kuwa CHADEMA kufutwa haiwezekani kabisa na hiyo sababu aliyoitumia ndio kichekesho na imemdhalilisha kweli.

Sababu aliyoitoa bwana Mbowe ya kukingia chama chake kifua kuwa hakitaweza kufutwa na msajili si nyingine bali ni idadi ya wabunge, madiwani na wenyeviti wa vijiji.

Bwana Mbowe alieleza kuwa, "kufuta CHADEMA ni sawa na kufuta

naamini kama chadema ikifutwa si ni mtaji mzuri kwenu ccm? mbona unajichanganya kafie mbali kule unaishauri nini chadema anza na -------- wenu pm ndio uende kwa chadema
 
Back
Top Bottom