Kwa hili; kweli mbowe ana upeo mdogo sana!

njaa zinakusumbua ukishiba utaacha ujinga huo mwehu mkubwa wewe
 
WanaJF!

Mwenyekiti wa CHADEMA taifa na mbunge wa jimbo la Hai, bwana Mbowe, amethibitisha kuwa yeye ana upeo mdogo sana kuhusu mambo ya sheria.

Bwana Mbowe amethibitisha hilo baada ya kueleza kuwa CHADEMA kufutwa haiwezekani kabisa na hiyo sababu aliyoitumia ndio kichekesho na imemdhalilisha kweli.

Sababu aliyoitoa bwana Mbowe ya kukingia chama chake kifua kuwa hakitaweza kufutwa na msajili si nyingine bali ni idadi ya wabunge, madiwani na wenyeviti wa vijiji.

Bwana Mbowe alieleza kuwa, "kufuta CHADEMA ni sawa na kufuta wabunge 49, madiwani zaidi ya 600 na wenyeviti wa vijiji zaidi ya 1000".

Kama bwana Mbowe angekuwa na maarifa kidogo sana ya sheria (kwa kupitia tu ile sheria ya vyama vya siasa) asinge weza kuongea hayo maneno ya ovyo kabisa kuhusu kufutwa kwa CHADEMA.

Ieleweke kuwa, chama cha siasa hakifutwi kwa kuangalia idadi ya wabunge, madiwani na hata wenyeviti wa vijiji waliotokana na chama hicho, bali kinacho angaliwa ni kama vigezo ama masharti yaliyo kwenye sheria yamevunjwa.

Huwa nakucheka sana kwa sababu elfu saba za nape zinakufanya unakuwa bize sana kwa mambo ya kipuuzi
 
message sent an delivered.msema kweli ndo mpenzi wa mungu.'truth will set u free'.
 
Mbowe uwa anaongea ongea tu, sasa idadi ya hao viongozi anadhani ndio kinga ya CDM kuchukuliwa hatua?
 
WanaJF!

Mwenyekiti wa CHADEMA taifa na mbunge wa jimbo la Hai, bwana Mbowe, amethibitisha kuwa yeye ana upeo mdogo sana kuhusu mambo ya sheria.

Bwana Mbowe amethibitisha hilo baada ya kueleza kuwa CHADEMA kufutwa haiwezekani kabisa na hiyo sababu aliyoitumia ndio kichekesho na imemdhalilisha kweli.

Sababu aliyoitoa bwana Mbowe ya kukingia chama chake kifua kuwa hakitaweza kufutwa na msajili si nyingine bali ni idadi ya wabunge, madiwani na wenyeviti wa vijiji.

Bwana Mbowe alieleza kuwa, "kufuta CHADEMA ni sawa na kufuta wabunge 49, madiwani zaidi ya 600 na wenyeviti wa vijiji zaidi ya 1000".

Kama bwana Mbowe angekuwa na maarifa kidogo sana ya sheria (kwa kupitia tu ile sheria ya vyama vya siasa) asinge weza kuongea hayo maneno ya ovyo kabisa kuhusu kufutwa kwa CHADEMA.

Ieleweke kuwa, chama cha siasa hakifutwi kwa kuangalia idadi ya wabunge, madiwani na hata wenyeviti wa vijiji waliotokana na chama hicho, bali kinacho angaliwa ni kama vigezo ama masharti yaliyo kwenye sheria yamevunjwa.

Tendwa alisema ccm haiwevi kufutwa kwa sababu inaongoza nchi. Nini tofauti ya mantiki ya jaji Tendwa na Mbowe?
 
Hivi huu utaratibu mpaka lini? hatuwezi kujadili hoja bila ya kujaribu kuikimbia hoja kwa kutaja majina ya watu wengine?

Nimeeleza kuhusu Mbowe, kauli yake ni kosa, wewe unaleta habari za Kikwete, tutafika kweli?
Unajua precedents kwenye sheria?
Au unaongea tu kama parrot.
 
Back
Top Bottom